mama uturn huyu adija ni yule dada yake na malika waliokuwa naishi kwenye flat moja upanga nyuma ya shule ya olimpyo? kama ni yeye anisaidie kujua mdogo wake malika yupo wapi hawa mimi nilisoma nao Muhimbili primary school enzi zile head teacher na Msengenyi na ticha Mnoko Mwl Ndosi

cherrrrssss
Duh umenikumbusha mbali sana mdau.!!! Ndossi Msengeni nk.
uwiii global p..washaibapic ya engagement ya elzia uanjua wamefanayje?wametumia photoshop kudelete maneno yako alafu wamecover na shade ya brown ambayo ukichunguza utaona iko darker than her hand skin tone..mhh
MIMI MGENI WA U TURN,, NIMEANZA KUINGIA HUMU MWAKA JANA KIPINDI KILE MANGE ANAKARIBIA OLEWA,,SINCE THEN HUNIKOSI HUMU. ILA TABU YANGU MOJA KILA NIKITAKA KUANGALIA PAGES ZA NYUMA NASHINDWA,,,, YAANI KUFUNGUA MOJA MOJA NIFIKE HADI PAGE 92 NAONA TAABU. MFANO NATAKA PG 80 IS THERE ANYWAY NAWEZA KWENDA DIRECT @ DAT PARTICULAR PAGE???? IF YES, HOW???? WADAU MSAADA TUTANI PLIIIIIZ!! SIO MUANZE KUTUKANA,, COZ WAOSHA VINYWA HAWAKOSAGI NENO.