Mama u turn nilishasema mtt wetu no ushindi ukabana! Yametimia! Aangalie ustaarabu wa kupata ajira ya modeling tu na makampun makubwa slowly atatoka kwa juhudi!
Mama u turn nilishasema mtt wetu no ushindi ukabana! Yametimia! Aangalie ustaarabu wa kupata ajira ya modeling tu na makampun makubwa slowly atatoka kwa juhudi!
tena wakakushambulia wakati wee ni kiona mbali ha ha haa!
bora useme wewe,,, maana hata mm nilikoment akamute ila it was obvious kawasindikiza wenzie,,, na mbona hamtuambii ameshika nafasi ya ngapi au hajaingia ata top 50!! pole,
wewe ushawahi kushika hata ya mia moja, chongeni malizeni wahini kwenye vibarua mwenzenu ndo huyoooooo ANGA ZA KIMATAIFA HALIPWI KWA VIJISENTI SHOSTI BALI MIJICHEKI HEEEEE POLE WEWE ULIEJAA ROHO YA HUSDA NA WINGI WA CHOYO KWANI WENGINE WOTE WAMESHINDA AU...HAAAA LAKO BIBI WEKA SURA YAKO TUONE

we naye kama huna cha kuandika sio lazima uandike aahh!! sasa unachotetea kitu gani?? hellen alishika nafasi ya ngapi kama sio alitolewa round ya kwanza...mmnnnzzxxxxyyyy!!!! kachemsha thats all and its not a matter of sura...kama ingekuwa sura angeshinda jamaica sio mexico..so kaa kimya kama huna la kucomment unatia kichefuchefu
na mie nilisema jamani mfundisheni kupozi atlist tungepata miss photogenic,,naomba ijulikane na kura nilimpigia mrembo wetu na coment yangu kuhusu posing ilikua ya kujenga tu,,,lakni watu wakanikemea kama am the devil himself hehehee..mwee tushazoea maumivu lakini ngoja tuendelee kujikongoja
to be honest sio kwamba chik ni mbaya hapana shez very beautiful tatizo hana vigezo kama vya wenzie waliopita esp yule wa mwaka 2007 yani body wise sura etc helen mrembo sanaaaa ila ukiangalia hata pozi hana kabisa inakuwa kama kuforce flani ivi.
watu wanatoa maoni kwa mema tu, ss mara unaanza sijui sura yako! Mmmmh siyo poa coz ukishindwa unaangalia weaknesses for future competition so wasipotoa maoni tutajengana kweli, nyie msio na aibu acheni kila kitu kushushua tuuu,
Anonymous |2010-08-25 02:56:17
bora useme wewe,,, maana hata mm nilikoment akamute ila it was obvious
kawasindikiza wenzie,,, na mbona hamtuambii ameshika nafasi ya ngapi au
hajaingia ata top 50!! pole,
Bora useme wewe..hata mimi alinibania.... nini top 50 sidhani hata kama ameingia top80..hahaha..ukweli lazima tuongee hee! angekuwa na mvuto zake sifa tungempa!!
huyo naetuuliza sie kama tumeingia top 100 kwani tulienda kugombania taji??si tunajijua hatuna mvuto huo ndo mana hatukwenda..hii ni positive criticsm tunajua nyie na washkaji zake labda mnamtetemea mtoto mzuri ila pozi nasema NEHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!
juamani lakini kunahitaji changes bongo maandalizi yanatakiwa yaanze mapema sana,kuna nchi wanaaanza right afta mashindano kuisha ya kumuandaa mtu wao na sio kuandaa tu kwa kupitisha mara huku mara kule kunadinadi kienyeji ni a mth of makeup studies,a mth of catwalks n modeling,pyisical exarcises,speech training,self grooming etc etc yaani after miezi ikiisha anakua tayari kakomaa na sio mwoga lakini wetu utakuta wanatembelea maofisi,mara parties mara bars yaani mradi tu kuwachosha for nothing.na kama wanaenda viwandania au maofisini ni kujifunza sio naowaona ga hata notebook hwana,ni kama tour tu,na meaning ya kwenda historical sites na sehemu zingine ni kuijfunza na kuelewa,mi nadhani wakitoka hizo tour wamgekua wanafanya kama ki test fulani hivi,wengi tumeenda ktk mbuga n sehemu zingine za makumbusho lakini tatizo we dont keep in our heads tumejifunza nini,its abt time waandaaji na contestant kuangalia upande mwingine w...
wala msiumize kichwa sana miss tanzania kushinda is not in the books if it were she would win no matter what. Miss mexico won for a reason. You may think this is just a beauty contest but a political statement was made. Ndio maana hata miss usa wa an arab it was a political statement and move. Right now in america there is issues concerning immigration and miss mexico won...even in her interview that is what she talked about immigration. So unless tanzania is in the right place at the right time we aint gonna win shit! Flavia that time was able to go ahead for a reason as well, it has to do with her look.(not beauty per se)...
look pple..Hellen yuko juu sana whether u like it or not, but she aint perfect, kama ana vitu u dnt approve, aproach wahusika to share ur contributions..see hw easy that is??
Ila waswahili kwa kuchonga hamjambo! kazi kukosoa kinafki kwenye mablog na sura zenu mbayaaaaaa ndo maana wivu umewajaa hahaha pole weee kazi ku'comment pozi poziiii wakati mwenyewe hauangaliki mara mbili..grow up and learnt to communicate effectively sio mnabwabwaja kama wanawake wa manzese..

shost usizani sisi wabaya na hatujiamini kama wewe na ukweli lazima tuseme ...hahahaha halo halo utajj kama umenuna ...tupe offer ya juice
Anonymous |2010-08-25 02:56:17
bora useme wewe,,, maana hata mm nilikoment akamute ila it was obvious
kawasindikiza wenzie,,, na mbona hamtuambii ameshika nafasi ya ngapi au
hajaingia ata top 50!! pole,
Bora useme wewe..hata mimi alinibania.... nini top 50 sidhani hata kama ameingia top80..hahaha..ukweli lazima tuongee hee! angekuwa na mvuto zake sifa tungempa!!
hahahahaha watu mnanifurahisha na comment zenu ..ila me naona TZ haya mambo ya umiss waache waanze mambo ya fashion and style tu modelling .......Mtajiju
Kwa upande wangu hata mavazi ni vema sasa tubadilike. Lile vazi la evening la mis mexico lilikuwa linavutia sana na akajua kabisa with that maruni and her complexion akachagua pia mekapu inayoendana na ule mng'ao wa gauni na hereni. Tuna njia ndefu but binti alijitahidi kadri alivyoweza. Cha msingi tuanze maandalizi mapema. Maria Sarungi Tsehai ni changamoto kwako hivyo buni mbinu na jinsi ya kufanikisha maandalizi ya mwakilishi mapema sana.
I ken c kuna baadhi ya watu wanacomment sense hapa! Tukiacha mbali mashushu na kukosoa its hi tym waandaaji wangeinvite comments kwenye mitandao yao watu interested wachangie mawazo positive kama hawa! Coz mm pia naamini wakijipanga vizuri na mapema pia wachague warembo kwa vigezo vya ukweli kbs cio mtt wa fulani au vile! Tutaweza sogea taratib Tz kuna wtt warembo na wenye mvuto sana! We are blessed ni kujiorganize tu! Maria Sarungi na Lundenga badilikeni kimtazamo kdg mtaona tofauti!