|
hi mange na wana u-turn
Natumai unaendelea vizuri na kitumbo,,kwa ufupi naomba
nishee na hili nililonalo na wana uturn na kupata ushauri ambao
naona utaweza kunisaidia,ni hivi mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28
nina ishi na boyfriend wangu ndani ya 2yrs now,Na nimekuwa kidogo addicted na hii
uturn,Sasa basi ni Huyu mpenzi wangu ananikosesha raha ya kujiuliza mimi mwenyewe maswali zaidi ya 100?ni hivi anajua mimi ni mpenzi sana wa uturn,lakini nahisi sasa yeye
amekuwa mpezi zaidi ya kwangu kwenye hii blog,mara nyingi huwa nambamba,yupo kwenye
u-turn,kila baada ya saa namuona kwenye pc!nikimchungulia nini anafanya yupo kwenye u-turn,ooh??najiuliza kwa nini anapenda sana kuangalia hii blog???? nasijui nimfanyaje aache kuwa anachungulia kwenye hii u-turn
plzzzz wadau wa hii u-turn nisaidieni,na cha kushangaza sio mwafrika ni MZUNGUUUUUUUUU?nimfanyajeeeeee,
|