sasa mbona comment umeikata kwakuwa nimezungumzia ramadhani? imekutouch hee! cool.any way nimegunduwa glass mbili sio chumbani kumbe. nilifikiri balcony ya chumba nimeangalia tena nikagunduwa ITS MA BAD.picture nzuri hazichokeshi wenye mabwana wanao ingia humu roho zenu juu juu saizi wangu haingii humu na hapajui Nna sio mbeya.
utakushika sana kidaka mate we shughuli sio yako cha kuikatia sale...ngoma yapita ilala wewe wa temeke kukata mauno wapi na wapi heeeeeeeeee UNALO miwivu inakumwagika bishosti mimate yakutoka hebu nenda shifti ya usiku usije chelewa ukakosa cha kududundulizia rent ya kiji-studio hicho kikachukuliwa..........
wewe nawe hovyooooooo huwezi hata elewa compliments sasa umeandika nini hapa uswahili tuuuuuuuu! mwenzio nimemwagia Aisha compliments wewe unazungumzia ngoma na mafumbo cheap ya kiswahili ,uswahili tuuuu!
mwenzio sina wivu hata chembe hayo mambo ya ramadhani nilikuwa namtukuza mungu sasa wivu unakujaje hapa.huoni kipande kilichowekwa ni cha kumsifia AISHA? wewe unawaza negative tu unamatatizo.mwenzio sijahajiliwa sina cha shift wala nini.ACHA KUROPOKA! "mimi naletewa ndani wewe watanga tanga njiani"ndo mana unayajuwa mambo ya ilala na temeke mswahili sana wewe mh!
yani bado naziangalia tuu hizi picture ni nzuri jamani.WARUSHE ROHO ! mimi nachochea hapa na kushabikia najuwa hapa ni kama kitchen party wanake watupu kama kuna dume yatakushindaa!
nimeangalia blog kibao na picture za wasichana wanajishauwa eti summer vacation .waje hapa waone summer vacation.lol :kiss:
CHUMBANI KUNA GLASS MBILI HUYO MWENZIO NANI????? UMBEYA UMENISHIKA EMBU TUELEZE
BIDADA HIZO SIO GLASS NI TAA ZA UKUTANI! LOH! UMESHAZOEA KUTUMIA KANDILI NINI????
huna macho sio eeh , picha ya 3 dizain aisha anakunywa lemon something na hiyo glass nyingine ni ice tea!! tena kuna galss nne mbili zina maji nyingine vunywajiiiiiiii, kula raha maaaaaa
jamani people stop hating, appreciate once in a while..wivu ni kidonda ukishiriki utakonda..aisha hun, life is too short, enjoy every moment of ur vacation..xoxo
swali hivi mtu akiweka lessfront anapiga mbizi kweli au ndo anaingia kwenye maji kupiga picture tu.kama mcheza movie za kinaijeria wa TX naona na yeye anapose tu kwenye maji hamna cha kuogelea wala nini si mvae kofia (swimming cup) mfaidi maji?ushauri tu mkinishambulia jibu hili
swali hivi mtu akiweka lessfront anapiga mbizi kweli au ndo anaingia kwenye maji kupiga picture tu.kama mcheza movie za kinaijeria wa TX naona na yeye anapose tu kwenye maji hamna cha kuogelea wala nini si mvae kofia (swimming cup) mfaidi maji?ushauri tu mkinishambulia jibu hili
"TRUTH HURTS"
...wewe nawe !! ushamba ndio unakusumbua !!
sasa akipiga picha akiwa ndani ya maji utaona nini /?? lazima mtu apige picha akiwa nje ya maji.. vuvuzela tu !! tena sio original , la kariakoo!! ..
nenda kapige picha ukiwa ndani ya maji utuletee au zaidi sana tunaweza fikiri ni samaki mtu !!
au hizo picha akipiga anaogelea tutaona huku akitutumia ??au basi atume video akiwa anaogelea !!
WATU WENGINE BWANA MAISHA YA WATU YANAWATOA ROHO HATA WAFANYE NINI ..!!
swali hivi mtu akiweka lessfront anapiga mbizi kweli au ndo anaingia kwenye maji kupiga picture tu.kama mcheza movie za kinaijeria wa TX naona na yeye anapose tu kwenye maji hamna cha kuogelea wala nini si mvae kofia (swimming cup) mfaidi maji?ushauri tu mkinishambulia jibu hili
"TRUTH HURTS"
TRUTH HURTS..kitu gani wewe !!
hata kama kapiga tu picha kwenye hayo maji inahusu nini ?? vizabi zabina na ushambenga na wivu na visokonoko vyenu!! looh mwaka huu mtasema yote ..ila hamuwezi kuwafikia kwa lolote !! nyoooo ...
uso umekushuka kama umesahaulika stand !!!
wewe anonymous ulijibu kwamba kwamba wewe ndo unawajiibu watu.........basi wewe ndo unalooo tena zito tu, mwenzio anaingiza hela wewe unaingiza nini?.......au anakulipa?.......pole sana. Afu usinijibu tena maana sina muda sorry