Who's Online
We have 284 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday7100
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week7102
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month54174
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933741
Login



BREAAAKIING NEEEWWWSSS.......ELIZABETH GUPTA AVALISHWA PETE YA UCHUMBA NA KEVIN PAM....
Written by Mange   
Monday, 23 August 2010 20:12

NA PETE NDIIO HIYOOOOOO...iking'aa kwenye mkono wa Elizabeth...

diamond ya ukweli......REMEMBER U SAW IT HERE FIRST...LOL

 

 

 

Kumbe ilikuwa true love all along…haya mtoto wa kibongo bidada Elizabeth Gupta mshiriki wa big brother Africa 4 got engaged to Big Brother Africa 4 winner ,Kevin Pam huko Nigeria a few days ago….

Kama mnakumbuka Elizabeth alikuwa hamtaki kabisa Kevin walipokuwa ndani ya big brother house, sijui what changed her mind, ila nasikia familia ya Kevin imempenda sana Elizabeth….

Congrats guys…very very happy for u

 

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-08-23 15:47:57
basi kesho magazeti yote ya udaku yatajitia kurusha hii story ,hiyo picha ya
pete sijui watai edit vipi.umewaweza kweli magazeti ya udaku.
Anonymous   |2010-08-23 18:44:40
si wanakata tu kidole cha mwisho vinabaki viwili lol
Anonymous   |2010-08-24 05:57:39
Jamani kwani ni issue wakiandika hata kama wakiiweka na hiyo logo ya u-turn.
mbona wewe mshamba kwani vyanzo vya habari lazima uwe wewe kwani jini mpaka
upate habari zote acha ulimbukeni kwani hata mama u-turn kaitoa blog za Nigeria
basi hilooooooo. kwa taarifa yako habari ni kutokana na vyombo vingine vya
habari
Anonymous   |2010-08-23 15:50:07
what changed her mind? si kevin kashinda dola laki moja,ana ujanja wa kumkataa?
wanawake wa kitanzania siku hizi kwa ugold digger
Anonymous   |2010-08-23 18:06:07
dollar laki moja nayo hela? i have that much in my savings, anybody wants to
dig it!
Anonymous   |2010-08-23 19:10:57
kwani alipata laki moja tu? double ya hiyo halafu wewe umesave for years! but
aliamka akapata na lazima baada ya hapo kapata deals kibao za pesa!...anyways
hongera kwa kuwa na zaidin ya hiyo ktk saving.. :unsure:
Anonymous   |2010-08-25 16:31:38
Heheheheheh na baba yake ana mapesa kwa hivyo laki moja haikuwa kitu. Wewe
unayesema una hizo kwenye savings account umezitolea jasho na kujinyea
kuzipata...
Anonymous   |2010-08-23 15:57:20
we anonymous apo juu acha umbea weukifatwa na mwenye hela utakataaa???
nyooooooooooooo wivu tu go eliza mwaya mungu ukubariki mwaya udumu na mchumba
wako hakuna vya kuchill hapa wanaume wapenda vya bureeeeee hamna hela tu hapa
horyaaaaaaaaaaaa
GOLDDIGGER ORIGINAL   |2010-08-23 16:17:21
MAMBO YOTE PESA BWANA!KHA!AKATAE ANA GUTS ZA KUKATAA...HELA NDO KILA KITU BWANA
YANI HOW I LOVE MONEY I ADMIT EVEN MA SELF AM A GOLDDIGER KWAKWELI..WHO
ISNT?WEWEEEE NYAMAZA....
UYO ELIZA ALIKUA ANASEMA HADATE WANAUME WEUSI YE NIWEPE
NOW WHAT HAPPEND?SABABU PESA IMEFANYISHA KELVIN KAWA MZUNGU BIBI WEEE..HELA CAN
DO ANYTHING IN DIS WORLD...KAMA MFUPI UTAREFUKA,KAMA MBAYA UTAKUA
MZURIII

HALOHALO HOW I LOVE MONEYYYYYYYY!!!

KWIIIKWIIIKWIII
Anonymous   |2010-08-24 06:00:07
Pesa pesa ndo maana mnaiba wanaume wa watu mpaka mnatekwa na kubakwa sehemu zote
waziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. haja mwa mwa mwa, mtatembea na mamitambara mpaka
lini
Anonymous   |2010-08-23 16:50:10
Mwanaume pesa aruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, kama huna pesa wewe tambala bovu.Ila be
carefuliiiiiiiiiii ohoooooooooooooooooooooooooooo!!
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Anonymous   |2010-08-23 16:53:22
Kwanza mange umefurahisha saaaaana! Hilo lichata la u turn kama nilivokuelekeza
mchana! Nimefurahi ili wa udaku wakicopy wajiju! Umenifurahisha sanaaaaaaaaa!
Pili bidada Hongera saana na Mungu akubariki achana na wendawazimu waosha vinywa
walitaka wao ndo wampate? We mtt mzuri tulizana na uishi maisha yko kama kawaida
na mungu atakubariki! Kama namuona vile mama yako da way she is happy mama wa
kinyiramba weeeeee! Kakuza ati! Go go go beautiful! We wish yu luck!
Anonymous   |2010-08-23 16:56:38
Mweleze huyooo! Cjui yukoje, ila si kosa lake Mange kauliza so expect majibu ya
kila aina ngoja kesho waingie maofsini utapata comments uchoke!
Anonymous   |2010-08-23 16:57:13
Nilifikiri anatoka na mzungu.
Anonymous   |2010-08-24 06:01:36
Wazungu wanang'ang'ania rivasi sana kaona dini hairuhusu
Anonymous   |2010-08-23 16:58:08
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!! Be carefuliiiiiiiiii ohooooooooooo.
Anonymous   |2010-08-24 08:10:24
careful of what acheni wivu
Anonymous   |2010-08-23 18:15:19
congrats........wapopo they know how to care na kufanyana. akitokezea nyumbani
kwako atakuja walau na kafurushi ka groceries or something he know u need.
mijianaume ya kibongo inatoa order tu.....pika nyama ya kondoo, hapo utazunguka
mji mzima unatafuta nyama ya kondoo
Anonymous   |2010-08-23 21:41:46
hahaha mdau eti pika nyama ya kondoo lol umenivunja mbavu.
Anonymous   |2010-08-24 15:56:40

Nyama ya kondoo mwaya huku ughaibuni ndio rahisi
kupatikana LAMB imejaa tele, ila hataki tu kwenda hapo dukani kununua!

Yote
tisa na limimba lako utapikaa wee mpaka siku unakwenda labour na hakusaidii hata
kukata kitunguu. Mijanaume ya bongo hata huruma haina!
anonymous   |2010-08-26 09:39:45
kama ulie kuwepo mdau mimi nimepigiwa simu sasa ivi eti pika nyama nyingi nakuja
Anonymous   |2010-08-23 18:21:46
yori yori,mwanamke asiependa pesa na ajitaje majina yote matatu HAPA!!
halooooooooooooooooooooooooooooo chezea dola 200000 nani kasema hapendi mweusi!
na bado diamond hiloooooo tunangoka moses busket chotara wa Kinaigeria...Bongo
Dar-es-Salaam
Anonymous   |2010-08-23 19:05:02
mbona hako ka-diamond kenyewe kadogo kama ka-nukta!
Anonymous   |2010-08-23 20:13:00
jamani wadada mna wivu! hamkosi cha kusema! does it matter kama diamond ni ndogo
au kubwa? cha msingi elizabeth amebarikiwa kumpata wa kuspend nae the rest of
her life. tumpongeze na kumuombea mema.
anony   |2010-08-24 00:11:38
unako???
Anonymous  - re:   |2010-08-24 04:23:29
Anonymous wrote:
mbona hako ka-diamond kenyewe kadogo kama ka-nukta!


NDO KAKATAKA, ULITAKA LIKUBWA ILI UMNYAKULIE? YA KWAKO NDOGO ZAIDI YA
HIYO IKO WAPI? PWEZA WEE..
Anonymous  - re:   |2010-08-24 04:33:50
Anonymous wrote:
Hongera maa, ila Waniger mmh! may be huyo tofauti. Nilidate Mniger anakaa
India kupitia mitandaoni, nikajikaza mtt nikanunua ticket kumfuata,
kufika kule nikakuta nyumba moja wanaishi 10 kila mtu na laptop yake
nikaishiwa nguvu! Nilitamani kugeuza kesho yake ila ticket ya Emirates
zilikuwa zimejaa, halafu wanajiita IT students guyz above 35yrs!
Nilipata moyo baada ya kukutanishwa na mdada wa Kitz, tukapiga stori
kiswahili akanipa full mkanda kuwa hawafanyi kazi hawa
kakudanganya, 24/7 wanashinda kwenye internet, mkaka mzuri
huyo ningekuja naye Bongo wakora wangebeba mzigo! lol! wanapenda down
hao mbaya, ikabidi nisingizie nableed maana hata kueleza
siwezi,halafu wamejaliwa stamina nikaona hapa atanitoa kizazi! siku
niliyoondoka akaniomba$ 200, nikaa kimya ili asije akanidhuru, nilipofika
airport nilimtolea uvivu wote, kaka ...
Anonymous   |2010-08-24 15:11:52
Acha kutudanganya, ulisema nableed wapi wakati jamaa alikumega kishenzi!!!
inakuwaje umfuate mtu hadi huko na gharama zote hizo?Du wadada wengine nuksi
huko bongo jamani!! Na bahati yako ungeuzwa kwa wengi tu halafu usimulie
hadithi.
Anonymous   |2010-08-24 18:28:25
NYOOOOOOOOO ndio ukome mbwea wee na njaa zako kazi kutafuta wanume mtandaoni
mungu kakulaani siku nyingine utajua unafata mwanaume kumbe unaenda kwa jini
Anonymous   |2010-08-23 19:45:17
hahahahahaha mniger ni mniger tuuu Eliza nenda na akili kwa mkichwa ukimchukulia
kama mbongo utajiju weee jifanye unapenda umekufaa utakufaa kweli ohhhhooo weee
onyesha MAPENZI HUKU UNAKULA HELA YAKE KAMA UNA KA ACCOUNT KAKO KAJAZEEE
TARAAAAATIIIBU siku akikutimua unatimka vizuri ni kweli mniger akipenda amependa
ila akichoka haachi kama mbongo huku anasikia huruma anakumaliza kabisaa hivyo
narudia tena akili kwa mkichwa tushaishi nao wengi sana ni washenzi kama wakenya
tuu utu kwao ni msamiatii, au sijui ujifanye unacheat na akajua kimbia kabisaa
sababu before u know it au ndugu zako mwili utakuwa kwenye jalala sikutishi ila
nakupa ukweli sasa ukienda huko ukakuta kijana mwingine wa kiniger mdhungu au
mixture ukajimix maana nimesikia unapenda hizo damu ( na waniger wanaume wengi
wazuri wanawake shughuli ndo maana wanakuja bongo),shauri yakoooo akili kwa
mkicho narudia tena.
Anonymous   |2010-08-24 04:20:13
mhhhhhhhhhhhhh na wewe ushawahi kuexperience au ndo maneno ya mitaani,,
hearsay!!
Anonymous   |2010-08-23 22:15:52
Hongera maa, ila Waniger mmh! may be huyo tofauti. Nilidate Mniger anakaa India
kupitia mitandaoni, nikajikaza mtt nikanunua ticket kumfuata, kufika kule
nikakuta nyumba moja wanaishi 10 kila mtu na laptop yake nikaishiwa nguvu!
Nilitamani kugeuza kesho yake ila ticket ya Emirates zilikuwa zimejaa, halafu
wanajiita IT students guyz above 35yrs! Nilipata moyo baada ya kukutanishwa na
mdada wa Kitz, tukapiga stori kiswahili akanipa full mkanda kuwa hawafanyi kazi
hawa kakudanganya, 24/7 wanashinda kwenye internet, mkaka mzuri huyo ningekuja
naye Bongo wakora wangebeba mzigo! lol! wanapenda down hao mbaya, ikabidi
nisingizie nableed maana hata kueleza siwezi,halafu wamejaliwa stamina nikaona
hapa atanitoa kizazi! siku niliyoondoka akaniomba$ 200, nikaa kimya ili asije
akanidhuru, nilipofika airport nilimtolea uvivu wote, kaka alinitukana yule
sitasahau! akaniambia nilenda India kujiuza kwake, pata picha ticket
nilijinunulia n...
Anonymous   |2010-08-23 22:17:53
Hongera, I hope unajua wanigeria walivyo, mitapelli ya kimataifa, muulize mtu
yeyote anayeishi uingereza ndio utapata picha. Jamani akina dada, msidhubutu
kutoka na watu wa west africa ni balaaaaaaa, ukiona wanaume wa kitanzania hutaki
basi ni toka na mzungu lakini siyo hii mipopo, inaitwa mipopo kwasababu ya
utapeli. kila kheri gupta.

mdau, surrey,
south london, UK
Anonymous   |2010-08-24 08:15:52
HAO WAZUNGU WENYEWE TUNAOSKIA WANAUWA WAKE NA WATOTO WAO KILA SIKU KWENYE SKY
NEWS?MBONA MNA STEREOTYPE??WAZUNGU WANYAMA KAMA NINI TENA WA UK NA USA KILA SIKU
TUNASKIA WANAVYOUA FAMILIA ZAO MXCHWWW
Anonymous   |2010-08-25 16:40:50
Na wale weusi wanaopiga wake zao hadi wanakufa? Na wale weusi wanaobaka watoto
zao wa kuwazaa wenyewe?na wale weusi wanaoua alibinos kule east Africa kila
siku? Tutokee hapa, as if you know the meaning of stereo typing. Wabongo kibao
Sweden wanafungwa kwa kubaka hadi aibu mtu akiniuliza where from sisemi
bongoooooo....
Anonymous   |2010-08-23 22:22:02
mdau hapo juu umenena, ni mishenzi mpaka basi, mara kumi utoke na mtanzania,
kama mzungu hujapata, poleeeeeeee gupta, wanapenda kusema abeg abeg
abeeeeeeeeeeg mitapeli hiyo, acha tu , angekuja uingereza walla asingepapatika
naye , njooo upate exposure ndio tatizo la kutotembea hilo
Anonymous   |2010-08-23 22:23:59
Hao wanaume hawatailiwi, halooooo mijavi unaiva hivyo hivyo, mi nakwambia mange
ni bora utoke na mzungu au mtanzania, sasa nakupa list, wakenya, waganda, watu
wa magharibi hawatailiwi upo hapo.. hongera gupta.
mimi  - acha uongo     |2010-08-24 10:32:17
dada husijifanye unajua kila kitu kisa upo ulaya,wanaigeria ni matapela wa kila
kitu hilo linajulikana dunia nzima,ila wanatahiriwa,labda huyo uliekutana nae
wewe ametoka kwenye kabila lisilotahiriwa na sawa na bongo kuna makabila
hawatahiri,wakenya wanatahiriwa wengi ila kabila la wajaluo hawatahiriwi,wadanda
waislam wanatahiriwa ila wakiristo hawatahiriwi,so andika kwa magroup husijudge
wote,by the way asilimia nyingi ya wapopo wanaozunguka dunia ni igbo na kwa
kacha yao lazima watahiriwe
Wapopo Oyeee   |2010-08-23 23:30:13
heheheheheheheheheheheheheheh igweeeeeeeeee Go Eliza
nyooow eti kisa pesa
unajua kuna wanawake mnapata fangasi za roho kwa roho mbaya hata kama kapenda
pesa au mapenzi jamani si muwatakie heri tu looooooooooooooooooooooooool
yatawashinda na kuwashindilia viroho pasu

na wewe kipele mavi uliyesema unayo
kwenye saving account taja jina usilete ujuzi wa papa nyoow unaijua unaisikia na
ww ukiwa nayo na mange awe na nn mavii ushuzi mtupu
Mla Vumbi Orijino- Bongo Land   |2010-08-24 04:25:18
Dada hapo juu ulotaja mataifa ambayo wanaume wake hawatairiwi you dont know
what you're talking about. Im dating a Kenyan bibi wewe kakatwa eeh siwezi kula
bamia mbichi mie. Watu wasotairiwa ni South Africans na si wote ni baadhi tu.
Asojua maana haambiwi maana.
mdaku   |2010-08-24 04:25:20
Mbona mwatutukana jamanii,kwani asiependa pesa nani?nani ambae haitaji kulia
kivulini?nani anayependa dhiki?Muacheni dada wa watu nayeye ndio bahati yake
acheni majungu.
Anonymous   |2010-08-24 04:58:43
wananiger kwanza wanavyoshout , miaka mitano ya ndoa presure na kisukari
tayari!!!!!!!!!. nisivyopenda kelele !!!!
Sweetgirl   |2010-08-24 05:00:10
Am so happy for you baby girl....Jamani watu mbona mnakuwa na roho za
kwanini???Nyie mlio na waume bora embu tajeni majina yenu hapa mana kila mtu
nyie kazi yenu kumsema,Mange hapa na mume wake kwa kuwa ni mzungu mkamsema sasa
Elizabeth yuko na mweusi mwenzake naye pia mnamsema,nyie mnataka nini amabcho
kwenu chema???Hakuna asiyependa pesa dunia hii na wala hakuna hata mmoja wenu
anayejua story ya kevin na Eliza,kwaio acheni kuongea mambo msiyoyafahamu..Kama
nyie mlitapeliwa ni nyie na sio kila binadamu tunafanana,kama nyie mliwakimbilia
wanaija wawaoe mkaishiwa kudanganywa ni nyie sio wote...WANAWAKE
TUPENDANE,ukifurahia mwenzako furaha yake inakucost nini au inakuzidishia
nini???AM HAPPY FOR YOU QUEEN ELIZABETH!!!
anony   |2010-08-25 06:03:20
timua kule na wewe!
Anonymous   |2010-08-24 05:20:30
hata kama dola laki moja si hela wewe inakuuma nini wivu tuuuuuuuuuuuuuu jaman
wivuuuuuuuuuuuuu utakuua kabahatika kupata mume wewe je unaedharau eti sio hela
tafuta wako basi bilionea si ajabu huna bwana ye kapata wakumvisha pete bibi
weeeeeee utajibeba mwaka huu huna hata bwana mwacheni Elizabeth ana ubavu wake
tayari nyoooooooo
Anonymous   |2010-08-24 05:32:25
wanatahiriwa bwana, ila wamejaliwa hao! kama unapenda over size long run za hadi
half an hr just f.... u west Afica are the ones, ule msemo wa the thin line btn
love n hate basi applicable 100% to Nigers, mkishaboana they turn to animals,
ila kuna unique cases may be Kevi siyo, gooo maaa money first at least to av
something to justfy ur pains haya mapuuzi ya Bongo, hela hupati, anakucheat,
although hawezi kukuchinja!
Anonymous  - re:   |2010-08-24 05:48:09
Anonymous wrote:
mbona hako ka-diamond kenyewe kadogo kama ka-nukta!


duuuh kweli kadogo sana ...cjui ni ka 1m ..ningependa kama kidole
kingejaa
solange   |2010-08-24 05:54:48
wau mna washwa kweli, ukate ticket kwa pesa yako mweneywe kis akwenda kumwona
lim2 ambalo hata hulijui lipoje? kweli kakuweza...ogah! ee paaa...sasa watu
wanasema cjui ma gold digger cjui kitu gani wote humu mnapenda pesa, na
tucdanganyane hapa hakuna acyependa pesa,mie mwenyewe mwanaume suruali nina
allergy nae, mama u turn mwenyewe gold digger na uwezo wa kifamilia
wanao...wachana na pesa kabisa.
Anonymous  - re:   |2010-08-24 06:04:31
Anonymous wrote:
Hongera, I hope unajua wanigeria walivyo, mitapelli ya kimataifa, muulize
mtu yeyote anayeishi uingereza ndio utapata picha. Jamani akina dada,
msidhubutu kutoka na watu wa west africa ni balaaaaaaa, ukiona wanaume wa
kitanzania hutaki basi ni toka na mzungu lakini siyo hii mipopo,
inaitwa mipopo kwasababu ya utapeli. kila kheri gupta.

mdau, surrey,

south london, UK



umesema kweli shost
solange   |2010-08-24 06:05:58
wapopo oyeee umenena, kweli kipele mavi, muulize kama kwli anayo na yeye kma
hakuwa gold digger tu mjini hapa, watu acheni vijiba vya roho...Eliza kulaaa
bata na manyoya yakeeeeeee....
wakenya watamu   |2010-08-24 06:06:30
wakenya wako juuu zaidi ya muashoki eti hawatahiriwi nani kakudanganya ovyoo
mijitu mingine sijui ikoje Congrats eliza am happy for you!!
Nancy   |2010-08-24 06:15:53
Simuombe mabaya naomba awe amefanya uchaguzi mzuri
Amen
Anonymous  - re:   |2010-08-24 06:27:10
Anonymous wrote:
dollar laki moja nayo hela? i have that much in my savings, anybody wants
to dig it!


sema bwana manake vinywaz no v.a.t aka tax
Anonymous  - re:   |2010-08-24 06:30:18
GOLDDIGGER ORIGINAL wrote:
MAMBO YOTE PESA BWANA!KHA!AKATAE ANA GUTS ZA KUKATAA...HELA NDO KILA KITU
BWANA YANI HOW I LOVE MONEY I ADMIT EVEN MA SELF AM A
GOLDDIGER KWAKWELI..WHO ISNT?WEWEEEE NYAMAZA....
UYO ELIZA ALIKUA
ANASEMA HADATE WANAUME WEUSI YE NIWEPE NOW WHAT HAPPEND?SABABU PESA
IMEFANYISHA KELVIN KAWA MZUNGU BIBI WEEE..HELA CAN DO ANYTHING IN
DIS WORLD...KAMA MFUPI UTAREFUKA,KAMA MBAYA UTAKUA MZURIII

HALOHALO
HOW I LOVE MONEYYYYYYYY!!!

KWIIIKWIIIKWIII





big up mamaaa napenda hela vibaya mno na hivi pesa ni sabuni ya roho
moyo unatakata kweli nikiona pesa!!
Anonymous  - re:   |2010-08-24 06:33:47
Anonymous wrote:
congrats........wapopo they know how to care na kufanyana. akitokezea
nyumbani kwako atakuja walau na kafurushi ka groceries or something
he know u need. mijianaume ya kibongo inatoa order tu.....pika nyama
ya kondoo, hapo utazunguka mji mzima unatafuta nyama ya kondoo



uuuwiii ha ha haaa, umenikumbusha buzi langu tulikuwa tunachunana
Anonymous  - re:   |2010-08-24 06:38:33
Anonymous wrote:
yori yori,mwanamke asiependa pesa na ajitaje majina yote matatu
HAPA!! halooooooooooooooooooooooooooooo chezea dola 200000 nani kasema
hapendi mweusi! na bado diamond hiloooooo tunangoka moses busket chotara
wa Kinaigeria...Bongo Dar-es-Salaam


Mimi MWAJUMA NDALA NDEFU sipendi pesa!
stellah  - mimi   |2010-08-24 07:12:02
umenibania comment yangu jana..lakini nilisema kushinda ni
ngumu................NI NGUMU, Itafika kipindi sasa inabidi tubadilike tatizo
tunapeleka watu ambao hawana vigezo sijui kujuana mie sielewi kabisa..bi dada
mvuto ziro kabisaaaa..ukweli lazima tuseme...Binti wa Mexico ndo kanyakuwa taji
VUVUZELA -ORIGINAL   |2010-08-24 09:02:11
WEWE NAWE HEBU TUONDOKEE HAPA HASHINDI HASHINDI ULIAMBIWA HUMU TUNAJADILI MAMISS
WAKATI NI MUDA WA ELIZA THE QUEEN,,,,PELEKA COMMENTS ZAKO MAHALA PAKE,,,HUSOMI
HEADINGS??????????????????????????/
ESHE     |2010-08-24 07:14:18
Go Eliza, Go mama. life has no formular bwana sio kila situation aliyopitia yule
na mwingine apitie.
Every one has his/her fate.
Mpopo mwingine aweza kuwa mbaya
na mwingine aweza kuwa mzuri inategemea na bahati ya mtu na mungu alivyo
mpangia. Angeweza kuwa na mtz na mambo ambayo angefanyiwa mwenyewe angeona dunia
chungu, au hata hao wazungu mbona wapo wazungu kibao ambao ni matapeli wa
mapenzi?Msimkatishe mwenzenhu tamaa kwa masahibu yaliyowakuta nyie.
Kila la heri
dada na mungu atakubariki tu.
*****************  - kazi kwenu   |2010-08-24 08:26:33
Eliza alijisitiri alichkuwa anakifanya alijua yeye, ya nn kuwaonesha mapenzi yao
public kama wafanyavyo kina Tatiana? mwanamke kujisitiri bwn na kudengua kidgo
hata mwanaume atumie nguvu kukupata... wakt umefika basi waacheni na mapenzi yao
kama ni tapeli atajua yeye, kumbukeni ye kaitwa huko na family yake na sio nyie
mnakutana nao huko nje wamekuja kutafta maisha na nyie mnadandia hukohuko lazima
wawafanyie utapeli....

Muobeini heri mwenzuni so mabaya tupendane jaman
Anonymous   |2010-08-24 08:37:18
wau mna washwa kweli, ukate ticket kwa pesa yako mweneywe kis akwenda
kumwona
lim2 ambalo hata hulijui lipoje? kweli kakuweza...ogah! ee paaa...sasa
watu
wanasema cjui ma gold digger cjui kitu gani wote humu mnapenda pesa,
na
tucdanganyane hapa hakuna acyependa pesa,mie mwenyewe mwanaume suruali
nina
allergy nae, mama u turn mwenyewe gold digger na uwezo wa
kifamilia
wanao...wachana na pesa kabisa.

Mdau ni ukweli ila ngumu
kuumeza, najipa moyo tulikomoana! coz so tough kukubali I was that fool to do
that, painssssssssssss!
Queen   |2010-08-24 09:01:28
Kwa taarifa yenu Kevin alipropose stagen wakat akiintroduce hiyo single yake
mpya.... huko huko kwao naijeria.. mtajebeba waosha vyinya.. Horyaaaaa!!!!!
Anonymous  - re:   |2010-08-24 09:07:12
Anonymous wrote:
Pesa pesa ndo maana mnaiba wanaume wa watu mpaka mnatekwa na kubakwa sehemu
zote waziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. haja mwa mwa mwa, mtatembea na
mamitambara mpaka lini


Hatuibi wanatufata wenyewe. Na ukome kusema tunafata hela zao. tuna kazi
zetu nzuri za maana. tuna nyumba tumejenga hao wanaume zenu
wametukuta nazo. Ni mapenzi tu yaliyofanya tuwapende.
GOLDDIGER   |2010-08-24 14:06:40
WELL SAID MAMAAAA!BIG UP!WANATUFATA WENYEWEEEE NA SIE HATUWAAACHI NGOOOO KILA
MTU NAA BAHATI YAKE BIBI NA HAKUNA PENZI TAMU KAMA LA MUME WA MTU BWANA WEEE
ACHA KABISA SIKIA TU KUHADITHIWA!MIE NDO ALMOST 80% YA MUDA WAKE NIPO NAE!YANI
NI RAHA...

MUME WA MTU MTAMU JAMANI LOH!!AYEYAAAAAAA
Sweetgirl   |2010-08-24 09:08:36
Eti dola milioni moja pesa,ya kwako iko wapi kama si pesa?Inawezekana hapo ulipo
hata hujui utakula nini mchana huu,umekalia roho mbaya tu...wanawake wengine mna
mambo ya ajabu,halafu unakaa kumuomba Mungu kwanini huolewi kumbe matatizo ni
yako full wivu umewajaa,hata unapoiandika hapa Mange wala mimi sikufahamu lakini
Mungu anakuona,unakaa kutukana na kuponda ndo mana hata hambarikiwi mnabakia
kuachwa hakuna kila siku ndo hasira mnakuja kutolea kwenye furaha za
wenzenu...HATERS siku zote hamna kitu...hata kama Liz kafata pesa ni za baba
yako au kaka yano???Embu jaribuni kuappreacite saa zingine,..roho mbaya
haijengi!!!Liz hajalipa ticket yake kwenda Naija kwa taarifa zenu sio nyie
mnalipa Emirates kumfata mtu usiyemjua,unafurahisha sana ukakaa mbele ya laptop
yako kuandika experience ya kipumbafu ndo mana unatafuta mpaka waume kwenye
masite mana una roho mbaya na hujapata mpaka leo ndo imebidi uje u-turn kutukana
wenye bah...
MSHAKUNAKU   |2010-08-24 09:09:37
Naisikia alipropose stejini na Eliza akapiga bonge la YEEEEEEESSSSS!!!! Go KELIZ
...(kevin+liz)........
VUVUZELA ORIGINAL   |2010-08-24 13:36:45
nimeipenda hiyo KELIZ!!! SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII II
mamaa mkongo   |2010-08-24 10:14:41
eliza mwaya nenda kwa nguvu za mungu ye ndo amewakutanisha hamna
litakaloshindikana na atakushindia ..mengineyo ye ndo anajua tunakuombea kheri
na fanaka am happy for u baby girl
Sweetgirl   |2010-08-24 11:33:29
Mdau hapo juu(Kazi kwenu)Umesema kweli,Liz alikuwa anajisitiri na hakutaka mambo
yake yawe kwenye tv kwani huwezi ukaachia maisha yako ya relationship kwenye Tv
ambayo hautaka humu milele!!!Alikuwa anajiheshimu na kufikiria watu wanaongalia
hata mama yale asingekuwa pleased kuona mtoto wake anafanya mambo ya
ajabu...Alikuwa anampenda Kevin ndiio mana alikuwa hataki kEVIN awe close nae
pale kwa muda ule ndo mana alikuwa akimwambia harsh words and all lakini alikuwa
akimpenda...Kwaio wanawake wenye midomo mirefu kama mavuvuzela embu tafuteni na
nyie wa kuwaoa sio mnaongea tu msiyayajua!!!!
Anonymous   |2010-08-24 11:42:25
That boy is cute go Eliza usisikilize maneno ya wakosaji fata moyo wako dada
pesa ndo sabuni ya roho jikoshe uwezavyo na kuhusu tabia mbona tz kunamakabira
hayana tofauti na wapopo hao nadhani watu walio olewa na wakuria wanaiyona joto
la dunia maana wanasifa zote Kama za wapopo kama vile kupenda kwa dhati,kupiga
ukikosa ila pesa ndo hawakupi ng'ooooooo labda utambike soo we dada eliza
usijali watu carry on luv
Anonymous   |2010-08-24 12:00:02
ahahaahaha blog hii matata kweli nachekaga tu nikiiangalia watu na commets
zao....eti wazungu wanapenda rivasi sana... halafu na ile eti dimond kama nukta!
ahahahahahahahahahahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh hhhhhhhhhhhhhhhhhh...
Anonymous  - re:   |2010-08-24 12:22:17
Anonymous wrote:
Hongera maa, ila Waniger mmh! may be huyo tofauti. Nilidate Mniger anakaa
India kupitia mitandaoni, nikajikaza mtt nikanunua ticket kumfuata,
kufika kule nikakuta nyumba moja wanaishi 10 kila mtu na laptop yake
nikaishiwa nguvu! Nilitamani kugeuza kesho yake ila ticket ya Emirates
zilikuwa zimejaa, halafu wanajiita IT students guyz above 35yrs!
Nilipata moyo baada ya kukutanishwa na mdada wa Kitz, tukapiga stori
kiswahili akanipa full mkanda kuwa hawafanyi kazi hawa
kakudanganya, 24/7 wanashinda kwenye internet, mkaka mzuri
huyo ningekuja naye Bongo wakora wangebeba mzigo! lol! wanapenda down
hao mbaya, ikabidi nisingizie nableed maana hata kueleza
siwezi,halafu wamejaliwa stamina nikaona hapa atanitoa kizazi! siku
niliyoondoka akaniomba$ 200, nikaa kimya ili asije akanidhuru, nilipofika
airport nilimtolea uvivu wote, kaka ...
JJJJ  - Ukweli wa mambo   |2010-08-24 12:57:03
Wadau, niwaeleze ukweli wa mambo. Huyo Eliza amekuwa aki-date mwanaume mwingine
ambaye ni mshkaji wangu kishenzi (jina kapuni) Hata kabla ya kwenda Big Brother
walikuwa wote na hata alipotoka wamekuwa wote. Sasa kwa kweli roho imeniuma
ambavyo naona kwamba kamuacha mwenzie mtanzania mwenye roho nzuri na mwenye
kumpenda kwa dhati na kukimbilia kwa huyo jamaa Kevin bila ya sababu yoyote na
bila ya kumuambia mwenzie kama things were not ok between them. mtasema sana
lakini ukweli ndo huo. alichofanya sio vizuri na hata kama ingekuwa ni wewe
uanyesoma comment hii ungeumwa na roho. Natamani habari hii ingekuwa si ya kweli
lakini ndo yashatokea. Eliza what happened between the two of you You and
Him????
anony   |2010-08-25 06:13:24
ujanja kupata si kuwahi,..kama alijivuta kutangaza ndoa mwenzie kawahi
VUVUZELA ORIGINAL   |2010-08-24 13:34:00
NYOOOOOOOOOOOOOOOOOOO HANA HELA HUYOOOOOO NDO MAANA MTOTO KANUSA KWENYE PESA,,,
NA WEWE KAMA UNAMUONEA HURUMA SANA C UMPE MAKU WEWE PIA UNAYO JAMANI!!!!!!!!!!
ETI ROHO INAKUUMA MTAJIBEBA NA MBELEKO ZA KAMASI MUONE MTAKAVYOISHIA KUDONDOKA
CHINI!!!

ELIZA MAMA SONGA WEYE,,,,,, ZIBA MASIKIO KABISA TENA UWE UNAWACHAPA
BAKORA HUMU HUMU U TURN WACLIANA NA MAMA KITUMBO TU HADI WAOTE MVI!!!!!!!!!!!!
MTARIMBO DORO   |2010-08-24 16:26:33
Wadau, niwaeleze ukweli wa mambo. Huyo Eliza amekuwa aki-date mwanaume
mwingine
ambaye ni mshkaji wangu kishenzi (jina kapuni) Hata kabla ya kwenda Big
Brother
walikuwa wote na hata alipotoka wamekuwa wote. Sasa kwa kweli roho
imeniuma
ambavyo naona kwamba kamuacha mwenzie mtanzania mwenye roho nzuri na
mwenye
kumpenda kwa dhati na kukimbilia kwa huyo jamaa Kevin bila ya sababu
yoyote na
bila ya kumuambia mwenzie kama things were not ok between them.
mtasema sana
lakini ukweli ndo huo. alichofanya sio vizuri na hata kama ingekuwa
ni wewe
uanyesoma comment hii ungeumwa na roho. Natamani habari hii ingekuwa si
ya kweli
lakini ndo yashatokea. Eliza what happened between the two of you You
and
Him????

UTASUTWA KWA UMBEA MWANUME KWANI UMEULIZWA KUHUSU MAHUSIANO YAKE YA
ZAMANI?HATA KAMA ALIKUWA NA MSHIKAJI WAKO NDIO NINI?NDIO ASIPENDE KWINGINE.DUNIA
YA SASA NI TOFAUTI NA ZAMANI.SIKU HIZI JAPANESE AFRICAN TWENDE.EXPOSURE YA
KUMWA...
Anonymous   |2010-08-24 17:01:31
KURA HERA MAMA KWA RAHA ZAKO DHIKI YA NINI MIMI MWENYEWE HAPA NASAKA BWANA MWEYE
HELA YA KUTOSHA NA HATA NIKIACHANA NAE KANMA AMEBREAK HEART SITAUMIA KABISAAAA
SABABU NITATOKA NA MAFAO YA KUTOSHA MAMBO YA KUDATE LOSERS AND END UP WITH
HEARTBROKEN AND NOTHING LIKE A BIG FAT ACCOUNT IT'S STUPID WANAWAKE WOTE WOTE
MAGOLDDIGER JUUUUUUUUUUUUUUUU OYEEEEE BUT I THINK I'M WORSE AND I CAN PROUDLY
CALL MY SELF A DIAMOND DIGGER BITCH U CAN LOVE ME OR HATE ME AND I'M ABSOLUTELY
FINE WITH IT AFTER ALL I HAVE TO PLEASE MYSELF FIRST B4 ANYBODY ELSE NO OFFENSE
MAMA U-TURN BANDIKA UJUMBE WOTE MAMA USIBANE HATA MOJA SIJATUKANA MTU JUST
SPEAKING MY MIND SWAUMU NJEMA KWA WADAU WOTE WAISLAM IM A CHRISTIAN BUT TUKO
PAMOJA WAPENDWA
Anonymous   |2010-08-24 17:21:39
MDAU HAPO JUU, KWAHIYO, MWANAUME WA MTU AKIKUTAKA, UNAMANUA MIGUU TU, NYIE WEHU
KWELI. NDIYO MAANA NAMPENDA MANGE, HUMSIKII NA MASKENDO YA WANAUME, YEYE NA
MPENZI WAKE NA GIRLFRIENDS BASI. VERY FAITHFULLY TO HER LOVE, THIS IS
BRILLIANT MANGE, IAM GIVING YOU A HIGH FIVE....

MDAU
SURREY, SOUTH LONDON,
UK
Anonymous   |2010-08-24 19:41:27
SORRY SWEETHEART MUME WA MTU TO ME DISQUALIFIED I WANT MY OWN NA SINA MUDA WA
KUSHARE NA MTU HUKU NIKIJUA KABISA PESA INAGAWANYWA KWANGU NA MKE NITATAJIRIKA
SAA NGAPI NA MGAO WA UJINGA HUO MIE???!!! NATAKA NITAFUNE PESA HIYO MWENYEWE
THAT'S NOT MY TYPE BABY I NEED MIIIIIIINE MIIIIIINE MY OWWWWWWWWWWN AAAGH!!!!GET
IT IN YOUR HEAD NA SIJAPATA BADO NATAFUTA AND THAT MEANS I HAVENT GOT MY CATCH
YET BUT PRETTY SOON I WILL STILL WORKING ON IT AND I WILL LET U KNOW BABY I DO
MY MATH VERY WELL AND SCIENTIFICALLY TRUST ME SOMEBODY'S HUSBAND IS TURN OFF TO
ME PLUS BRAIN GOODLOOKS AND HEIGHT MATTERS TOO JUST INCASE I DECIDE TO SHARE MY
BLOOD WITH THE GUY GOOD GENES VERY IMPORTANT TOO SO RELAX IF U GOT ONE I'M
NOT INTO THAT NOW U CAN GO SLEEP WITH PEACE CHEERS
Anonymous   |2010-10-08 12:19:01
Anakulipa kiasi gani kwa mwezi huyo mange???? mhhhh
Anonymous  - re: Ukweli wa mambo   |2010-08-25 01:14:51
JJJJ wrote:
Wadau, niwaeleze ukweli wa mambo. Huyo Eliza amekuwa aki-date mwanaume
mwingine ambaye ni mshkaji wangu kishenzi (jina kapuni) Hata kabla
ya kwenda Big Brother walikuwa wote na hata alipotoka wamekuwa wote.
Sasa kwa kweli roho imeniuma ambavyo naona kwamba kamuacha mwenzie
mtanzania mwenye roho nzuri na mwenye kumpenda kwa dhati na kukimbilia
kwa huyo jamaa Kevin bila ya sababu yoyote na bila ya kumuambia mwenzie
kama things were not ok between them. mtasema sana lakini ukweli ndo
huo. alichofanya sio vizuri na hata kama ingekuwa ni wewe uanyesoma comment
hii ungeumwa na roho. Natamani habari hii ingekuwa si ya kweli lakini
ndo yashatokea. Eliza what happened between the two of you You and Him????





mmhh angempenda kimaukweli angepropose ye anamega tundi tuu, mwenzake
hata hajamega kafanya kweli, hata beyonce anakwambia, if you like
a&nb...
Anonymous  - re:   |2010-08-25 01:19:03
Anonymous wrote:
MDAU HAPO JUU, KWAHIYO, MWANAUME WA MTU AKIKUTAKA, UNAMANUA MIGUU TU, NYIE
WEHU KWELI. NDIYO MAANA NAMPENDA MANGE, HUMSIKII NA MASKENDO YA
WANAUME, YEYE NA MPENZI WAKE NA GIRLFRIENDS BASI. VERY FAITHFULLY TO
HER LOVE, THIS IS BRILLIANT MANGE, IAM GIVING YOU A HIGH
FIVE....

MDAU
SURREY, SOUTH LONDON,
UK




kwani ya mume wa mtu hajijui kuwa ye ni mume wa mtu akinifata kama huyu
nilyenaye twende kazi, uroda kwa foleni tuuu condom zipooo horyaaaaaaa!!!
Anonymous   |2010-08-25 01:27:08
jamani eeh ina maana wanaume wooote wa naigeria ni matapeli?? acheni hizooooo
mmekutana na vimeo nyinyi, nimekaa naigeria na si kwamba wote wako hivyo ni hao
wanaotafuta maisha kwa nguvu ndo wankuwa mashwain, walopiga kitabu cha ukweli ni
full wastaarabu. Kama mnakutana nao huko guanzhou na vichochoro vingine ndo
ngoma inogilee, eliza kale raha mamaaa kuna wengine mmeolewa na wabongo kutwa
mko kwa masangoma ili kuwatuliza waume zenu mzuka kwendeni huko, watu wanasema
wabongo hawajasoam ina maana ni kweli bongo haina wasomi??????? humu wengine
fata mkumbo tuu wapopo sijui mbayuwayu bullshit!!
Sweetgirl   |2010-08-25 03:53:23
Eti rafiki yako ndo alikuwa akimdate Elizabeth,sasa kama alikuwa akimdate
alikuwa hafai kuachwa kawasababu yeye nani hasa??Siku zote hizo kama alikuwa
anampenda Eliza kwanini hakuwa muengaged???Anataka starehe tu halafu mwisho aje
ammwage mtoto wa watu..Kama alikuwa anampenda angeprove kama Kevin
alivyofanya...Kevin is a real gentlemen thats why he did what he did for Eliza
cuz he knew Eliza deserves good life and a good husband...Embu usituletee story
zako za kijinga hapa,Siku huyo kijana angekuja kubreak up na Eliza kuna mtu
angeongea kusema anamuonea Eliza huruma???Grow up BITCH whoever you are,if u
feel sorry go give the guy ur body so he can feel better,pls give us a break
hata aibu huoni..nyie ndo wale mnaokaa kufatilia mambo ya watu...
Sweetgirl   |2010-08-25 03:59:06
mbona hako ka-diamond kenyewe kadogo kama ka-nukta!


duuuh kweli kadogo sana
...cjui ni ka 1m ..ningependa kama kidole
kingejaa


Za kwenu ziko wapi
zilizojaa kwenye kidole????Hata ya gold au silver tu hamna hapo mlipo..eti
nukta tuma picha yako inayoonyesha ya kwako imejaa kidoleni...Wivu tu,haijalishi
iwe nukta au nini kinachomatter wanapendana..na subiri picha za harusi mtakufa
na wivu...mxxxxxiiii
Haha yeah   |2010-08-25 05:43:14
Big brother Africa (season four) winner, Kevin Chuwang Pam, recently released
his debut single off his yet to be titled debut album. The Jos born music
hopeful also revealed the track, ‘Una Pata Mambo’, which features Elizabeth
of the Big Brother Revolution fame and his elder brother Vincent Pam also known
as Stitched, will soon get a video to aid promotion. The entertainer, who has
also made known his desire to go into acting and comedy, explained that making
music had always been a longtime dream for him.
fatu   |2010-08-25 05:56:33
Breaking News! Last Saturday (21 Aug) while at the Ogus Baba Laugh Goes On
comedy club in Port Harcourt, Big Brother Revolution winner, Kevin Chuwang Pam
and his lady friend, and Revolution contestant Elizabeth Gupta got up on stage
and performed a track together.

Nigeria’s biggest comedian, Ali Baba
introduced the couple to the 2000 strong crowd. Once they’d finished
performing “Una Pata Mambo” (Anything you want, right there you get it),
Kevin went down on one knee and proposed to Elizabeth. He said he kept it simple
and just asked: “Elizabeth, will you marry me?”.

The crowd started
screaming: “say yes, say yes, say yes” and obviously she did. Kevin then
says a woman broke free from the crowd, ran onto the stage and congratulated
them both with a huge hug.

http://www.bellanaija.com/2010/08/24/from-bi
g-brother-africa-to-the-altar-big-brother-africa-r
evolution-housemates-kevin-chuwang-pam-elizab...
Good girl   |2010-08-25 06:46:24
Wadau, niwaeleze ukweli wa mambo. Huyo Eliza amekuwa aki-date mwanaume
mwingine
ambaye ni mshkaji wangu kishenzi (jina kapuni) Hata kabla
ya kwenda Big Brother
walikuwa wote na hata alipotoka wamekuwa wote.
Sasa kwa kweli roho imeniuma
ambavyo naona kwamba kamuacha mwenzie
mtanzania mwenye roho nzuri na mwenye
kumpenda kwa dhati na kukimbilia
kwa huyo jamaa Kevin bila ya sababu yoyote na
bila ya kumuambia mwenzie
kama things were not ok between them. mtasema sana
lakini ukweli ndo
huo. alichofanya sio vizuri na hata kama ingekuwa ni wewe
uanyesoma comment
hii ungeumwa na roho. Natamani habari hii ingekuwa si ya kweli
lakini
ndo yashatokea. Eliza what happened between the two of you You and
Him????


He was supposed to put a ring on her finger if he was in love with
Liz,Kevin didnt got anything from Liz but he put the ring first...Your mshkaji
wanted sex and thats it,who doesnt know him,phewwwww!!!Tell him to get another
chi...
posh   |2010-08-25 07:05:04
Congrats Eliza and Kevooooooooooo,i just wanna wish u all the best,may God bless
u,Love ya all.
Good Girl  - Kevin spoke it all in his status on FB   |2010-08-25 08:47:42
THIS IS KEVIN STATUS ON FB:::Kevin Pam Thanks to all those who support..so sorry
to those disappointed...only he who wears the shoe wud know where it hurts...no
one admits to be a gold digger but every one wants to get rich...how?she without
sin shud cast the 1st stone....let time be the judge...selah


KEVIN NDO
KASHAONGEA KAMA IVYO,SASA MAHATER NDO MTAJIBEBA SASA KWA KWENDA MBELE MANA KWELI
NI NANI ASIYEKUWA GOLDDIGGER WHILE KILA MTU ANATAKA KUWA TAJIRI,KAMA MTU UNA
AKILI TIMAMU UTAJUFUNZA KWENYE STATUS YA KEVIN ALICHOSEMA NI UKWELI MTUPU NA
MANENO LAZIMA YAINGIE MOYONI!!PESA ZAKE WATU MNAONGEA KAMA MNASHARE NAE HIZO
PESA!!!AM SO HAPPY FOR THEM!!!HATERS KEEP ON HATING TILL U DIE!!!
Anonymous  - re: mimi   |2010-08-25 10:10:14
stellah wrote:
umenibania comment yangu jana..lakini nilisema kushinda ni
ngumu................NI NGUMU, Itafika kipindi sasa inabidi tubadilike
tatizo tunapeleka watu ambao hawana vigezo sijui kujuana mie
sielewi kabisa..bi dada mvuto ziro kabisaaaa..ukweli lazima
tuseme...Binti wa Mexico ndo kanyakuwa taji

.....

wewe uko dunia ya ngapi ??unaongea nini ?nyie ndio mnaodandia
mambo ..mnaishia kusutwa na matarumbeta !!!..soma mada inahusu nini
ndio uchangie we mshamba !!!
jackita   |2010-08-25 11:04:54
mambo hayo
MSHAKUNAKU   |2010-08-25 11:41:51
MMEONA STATUS YA KEVIN LEOO FACEBOOK!! AMA MMEKAA KUCHONGA TU NA KUMSEMA
MWENZENU.. SASA MUMEWE MTARAJIWA KWAJIBU MFYATE MIKIA HAHAHAHAHAHAH

Chuwang Pam
Kevin : Thanks to all those who support..so sorry to those disappointed...only
he who wears the shoe wud know where it hurts...no one admits to be a gold
digger but every one wants to get rich...how?she without sin shud cast the 1st
stone....let time be the judge...selah
Anonymous   |2010-08-25 14:13:31
wivuu umewajaa wabongooo hoho mnavojishaua eti oh waniger this that wakati
mngetongozwa nyie mngekuwa wa kwanza kukimbilia tatizo wivu unawasumbua
sanaaaaaa hakuan kiu kibaya kama kasumba..mtakoma mwaka huu!mjibebe mbeleko
hahahahaha halooooooo ya punda..
Anonymous  - re:   |2010-08-25 20:54:07
Anonymous wrote:
wivuu umewajaa wabongooo hoho mnavojishaua eti oh waniger this that wakati
mngetongozwa nyie mngekuwa wa kwanza kukimbilia tatizo
wivu unawasumbua sanaaaaaa hakuan kiu kibaya kama kasumba..mtakoma
mwaka huu!mjibebe mbeleko hahahahaha halooooooo ya punda..




ho.. hi.. ho hi.. ho..!!!
Anonymous   |2010-08-26 08:10:01
Mimi cku zote huwa nawaambia wadogo zangu, if u c a catch just go 4 a
kill...sasa huyo jamaa yake wa long kaleta za kuleta..watu wakapita
shaaaaaaa....mimi mke wangu mwenyewe nilichukua kwa mtu, akabaki kulalamika huyo
jamaa anakupa nini...kwahiyo young fellas dont waste time, if u were given a
chance maliza kila kitu...mnafikiri mange hakuwa na mswahili, lazima alikuwepo
ila akaleta mchezo ila mzee mtasha yeye akamaliza kila kitu, nani
alaumiwe?......Cheers
mbaruk  - uchumba kevin elizabeth   |2010-08-30 06:44:11
fungeni midomo eti eliza kafuata pesa acheni uongo kama ni pesa basi kevin
angetafuta demu mwingine mbali na huyo asante dadayetu umelinda heshima yako na
taifa ndani ya nyumba big uuuuuup
mbaruk  - uchumba Kevin/Elizabeth   |2010-10-15 07:19:30
siku ya Sendoff yako hapa nyumbani Tz lazima uwapigie ule wimbo wa Bendi ya
Njenje unaosema kinyaunyau kikia cha pweza watasema mchana eeeehh! Usiku
watalalaaaaaaa na nyie mmetulia mwajilia vyenu washembenga washangaaaaaaaaaaaa
watajiju hongera KELIZ
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook