haya mambo hua yananiuma kweli yani....watu wanaenda bongo regularly kama vile wanaenda choo!?!? One day I will be able to do the same 'till then ngoja nikimbizane na maisha ya marekani....
wala usijali bora we unaeuliza bishosti kicheko au mashamsham tu hayo ya mtaani kwa wale wenyewe watoto wa mjini HORIYAAAAAAAA yani ni kama HALLLOOOOOOOOO upo hapo bishosti
mdau no terrel is not in these photoes if u ccheck white party in london photoes u will see terrel she is not white ni mweupe tuu thats all and has more body ...hpe that jibus ur queries
huyu mdada white hapo ndio terrel, kishuna cha Frank? sasa mje mniashambulie badala ya kujibu swali..
SIE TERREL ILA UNATAKA KUMJUA WA NINI??? SI UKAFATILIE CAMPAIGN ZA WAPIGA KURA HUKO UJUE NANI ATAKAE KUWA RAISI WA NCHI YAKO!! UDAKU TU NA SWAUMU HII!! LOL
jamani hv huyu dada yeye na aisha a.k.a yellow borne huwa wanfanya kazi gani? maana kila cku wako vekesheni mara miami, france....... bongo ndio waneenda kama mtu unavyoeenda choooni tena haja ndogo na full kupendeza lol
bella works as an immigration officer in UK, she's a very hard work ing lady and a good mother who knows how to have fun at the same time, big up my gal i salute you mami and we love our shem na umependeza sana
jamani naomba mnikutanishe nae mana mi makaratasi hayajakaa vizuri nashindwa hata kwenda bongo kama wengine,pengine anaweza nifanyia mipango ya karatasi,natanguliza shukurani
Hahahaha sasa Bella wabongo wasiokuwa na makaratasi ya UK na wazamiaji wote na wenye kutafuta kuingia watakukimbiza..hahaha Mijitu mijinga sana wanafikiri mtu atafanya mpango tu.. Europe sio Bongo bwana.. Huko US kwenyewe aunt wa Obama nusura apigwe deportation wakati mtoto wa kakayake ni President.. huku mambo kwa haki sio mipango mipango.. na mipango mipango bongo ndo maana hatuendelei..
jamani hizi vacation za Europe mbona hata sio bei sana?kama unafanya kazi trust me u can afford esp kama huna familia kubwa. Naishi Uk ila kwenda France, Italy na other Eu countries hata marekani doesnt cost a fortune. Its only bongo ndio matumizi yakuwa juu zaidi bt ukipatia kukata ticket mapema bei wala haitishi. Mimi huwa nalipiwa ticket mara moja kwamwaka kwenda holiday kutokana na kazi ya mume wangu. KWa bella maybe kwakazi afanyayo analipiwa.

...
watu wengine mkoje jaman !! kwa hyo kwa sababu wewe unalipiwa tena kwa kupitia kazi ya mume wako..unafikir kila mtu ni hivyo hivyo !! acha ushamba