Who's Online
We have 293 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6954
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6956
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month54028
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933595
Login



BALOZI WA REDDS TAYARI AANZA KUTAFUTWA...
Written by Mange   
Sunday, 22 August 2010 20:55

 

 

Habari zenu!

Jana ilikuwa Redds day kwenye kambi ya Miss Tz 2010 iliyoko Giraffe hotel.

Meneja wa kinywaji cha Redds Ms. Kabula Nshindo aliwatangazia rasmi washiriki wa Miss TZ uvumbuzi waThe Search for  Redds Fashion Ambassador

Ndani ya Miss Tz ambapo redds watatafuta balozi wa kinywaji hicho. Shughuli hii itafanyika tarehe 3 september 2010.

Balozi wa Redds ni taji la pili kwa ukubwa kwenye mashindano ya Miss Tanzania.

Nimeweka habari zaidi kuhusu taji hilo na picha kadhaa.

Asanteni kwa ushirikiano wenu.

Regards,

KIWIA, Irene E.

Managing Director,

Frontline management

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-08-22 19:54:20
hivi sasa hapo tuelewe frontline ndio nani...hizo picha bila maelezo maana yake
nini...PR Company kweli mh mh mhhhhhhhhhh get serious PEOPLE you can do better
than this
Anonymous   |2010-08-23 11:44:26
Mi kwakweli mamiss wa siku hizi hata siwaelewi.....kwanza wengi wafupi, hapo
ukiwaangalia ni washotiii na wamevaa high hills....wakivua je...anyway
inawezekana sijui qualifications za mamiss ila naona mh...ni mawazo tu.
anony   |2010-08-25 07:27:27
namie kwakweli naona mawenge tu na mamiss wa siku izi...fani imeanza kushuka
shuka ivi..
Anonymous   |2010-08-27 12:37:01
Irene dear,

Jina na kabula ni NSHIMO na sio MSHINDO.

Just for future
reference, si unajua tena its always good kuyatamka majina ya watu vizuri esp
kwene media kama hizi.

Good Luck.

R
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook