|
Hodi Hodi Shake well before use
Mwanamke umbeya babu kusutwa ndio mwake ile story ya mabwana za watu imenikumbusha stori nyingine ila hii ni kinyumenyume
Eti mtu ukizaa na mwanaume mkiachana baba watoto haruhusiwi kutafuta totoz nyingine Hii inapatikana live huku scandanavia Jamani kuna dada jina laanziwa na B amemkaa rohoni rafiki yangu kama kitu gani sijui
story yenyewe ni hivi huyo kijana alikua anaishi na huyo mama watoto wake sasa katika maisha yao jamani si unajua mahusiano wakatengana mwanaume huyo akajipatia totoz nyingine ya ukweli lakini mtoto malezi full na matumizi full ku supply na wakionana na mwanamke(mama mtoto) ni mtoto tu mapenzi hamna kingine
sasa zogo limekuja kuibuka huyu mwanadada alipogundua kaka ana totoz nyingine ni yaleee yaliyotokea kichenchele imekua tafrani mtindo mmoja anamshutumu shosty kamnyang'anya bwana bwana akiulizwa anasema wao walishamaliza zamani ni mtoto tu tena wana kidume cha ukweli(mtoto) shosty wangu mie mstaarabu akaona labda kweli inawezekana yule mwanaume labda ndio walewale akampiga kibuti kijana unaambiwa kaka alimwaga chozi hilo kafa kazikwa kwa bidada anaapa anampenda yeye na hata ndoa atatangaza basi na kwa vile bi shosty kakolea kiaina akaona isiwe tabu akarudisha mapenzi kwa handsome na karibuni wanaanza kuishi wote huyo B anataka kupasuka kila siku anatangaza visasi na maneno ya vitisho kwa kusema ana hela anaweza kumdestroy mtu na kwa vile baba watoto ana pesa basi akajua msichana kazimika kisa mkwanja kumbe binti naye kwao mambo safi baba tycoon mama anakula pesa za nchi na huo usafiri wake balaa na vilevile ana proffession yake nzuri analipwa mshiko mzuri na amenunua apartment wiki iliyopita tena cash hamna cha morgage hata huyo mwanaume hamfikii kwa huo mkwanja wake anafanya masters yake aunge jina na ni mzuri balaa huyo kinaga u.... hampati hata kwa ukucha
Jamani akina mama na wasichana tujifunze kuachwa kama umeachwa na wewe subiri wako uliyepangiwa mbona viroho juu kama break za fusso wewe B waache waenjoy na ukizaa na mtu akikuacha usitumie mtoto kama kigezo mapenzi hayalazimishwi shoga utaumia sasa rafiki yangu anataka ahame nchi waende zao europe na kaka shoga akiipata hii atajimeza na walienda Tanzania kutambulishana wewe aunt meza topaz au mikasi ya china unaleta ujuzi wa makobazi kwenye jimmy choos unalo mwaka huu ndio maana eating disorder handsome anataka nyama
wananiita kiruka njia kizabizabina niliyekosa mshipa wa haya sina hiyana
Mange usiweke email yangu na asante kwa Blog yako inaleta raha mpaka kunako siku hizi hata mume akiniudhi nikiingia huku full burudani
|