Who's Online
We have 375 guests and 1 member online
  • Fleetaves
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6738
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6740
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53812
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933379
Login



KUELEKEA UCHAGUZI 2010.....
Written by Mange   
Thursday, 19 August 2010 18:36

 

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-08-19 17:49:36
Jamani namzimia sana huyu kaka, hebu ashinde tuone atafanyia nini wananchi wake.
Tumechoka na CCM, majina yaleyale. Bora tuingie kwenye u king sasa!
Anonymous   |2010-08-19 19:06:07
Tuna imani kubwa sana na wewe kaka. Fanya mapinduzi ya nchini. Tumechoka na
chama tawala, kwanza JK alishasema hataki kura zetu wafanyakazi.
Anonymous   |2010-08-20 06:34:29
Ni kweli alisema hataki kura zetu wafanya kazi. zinamtosha KABWE na Slaa
yai   |2010-08-20 07:00:34
Kwakweli hata mimi nimechoka na ccm, kwanza wamezidii rushwa, wamezidi kubebana
watu wanamakesi lakini hatuoni hata yakiisha.Ila upinzani nao mmmmmh! Hata
wafanyeje ccm ndo washindi. Ndio maana mimi safari hii kura sipigi maana sioni
faida. :X
Anonymous   |2010-08-20 09:28:26
Kaka Zitto nakutakia mafanikio mema ila nina ombi moja ..mie nakuzimia miaka
nenda rudi kama hujaoa ukimaliza harakati za ubunge najua utashinda kwa nguvu za
mungu..Uje kunichumbia
Anonymous  - re:   |2010-08-23 10:12:13
Anonymous wrote:
Kaka Zitto nakutakia mafanikio mema ila nina ombi moja ..mie nakuzimia
miaka nenda rudi kama hujaoa ukimaliza harakati za ubunge najua utashinda
kwa nguvu za mungu..Uje kunichumbia



Umechelewa dada
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook