pendeza sana Hawa mimi nafagilia sana wewe
nimeona hizi picha kwa facebook na hii kivazi. Mange mbona kuna nyingine amevaa hii kivazi na miwani na handbag ametoka bomba ile mbaya, ungeeka ile ma... oh well Hawa is beautiful naturally. Sio wengine make up utafikiri CROWN