Haha that's a nightmare... You should be happy Mange au ungeshaa, watoto Sita hata Kama mtu una maisha mazuri utajistukia umetafuta kazi ya 7am to 7pm lol..
wacha yote wadau kwani mmesahau octo mum aliyeporomosha nane kwa mimba moja lol nadia suleiman na bado tayari alikuwa na wengine sita na sioni akifanya kazi yoyote haahhaaaa yaani wazungu walinuna hao na kumsema ile mbaya wanaona uchungu wa pesa zao za tax zitatumika kwa watu kama hao maana serikali inasaidia kiasi fulani na hiyo ni pesa ya wananchi wanaolipa tax
Is that nature or kuna fertilization process hapo? Wadau mnajua hiyo stori nipeni link niitafute, ver interesting, nataka kujua binadamu anapojaribu kuwa muumbaji matokeo yanakuwaje?
mara nyingi huwa kuna fertilization process sio natural process. Nafikiri mara nyingi sana sana naturally unaweza pata twins. Ninavyojua mimi watu wa aina hii wanakuwa wanatatizo la kupata mimba naturally hii inaitwa PCOS au polycycstic ovarian syndrom hivyo wanaenda kwa daktari na kuomba treatment ya IVF au fertilization drugs, pia chance ya kupata hiyo ni kama mwanamke ni over 35 years. watu wengi wanaopenda kupata twins hasa hasa macelebrity huwa wanapata IVF.
INGEKUWA NI MIMI HUYO MWANAMKE SIJUI NINGEMPA ZAWADI GANI.YANI NINGEMPENDA MPAKA BASI.UJUE NI BONGE MOJA LA SUPRISE?NIMEIPENDA HIYO MANGE.WAOSHA VINYWA TAFADHALI MSIANZE KUMSHAMBULIA DADA WA WATU MANGE NA UJAUZITO WAKE PLEASE.
Ooh jamani watoto wazuri sana kwa kweli na wakishakua unafurahi kuwaona ILA jamani huyu mama kapata kazi kubwa na WATOTO 6 KWA MKUPUO? Sisi wengine tunazaa mmoja au wawili unaona kama roho inataka kutoka. M/Mungu amjaalie wepesi aendelee kuwatunza wanawe kwa moyo mmoja.
Is that nature or kuna fertilization process hapo? Wadau mnajua hiyo stori nipeni link niitafute, ver interesting, nataka kujua binadamu anapojaribu kuwa muumbaji matokeo yanakuwaje?
mambo ya ivf, ila wamekua sana wapo kwenye 13 0r 14 niliona picha yao wakiwa wakuubwa durinxmas ila website siikumbuki, fukunyua youtube utawezapata hiyo website
they are only 2 to 3 yrs old wanakipindi chao TLC once or twice a wk.wakati wanaondoka LA kuamia miami bibi na babu yao alikuwa analia sana huku akiwaomba wazazi wasiamw wakajitia kuama sasa wanaipata fresh mana msaada waliokuwa wanapata kutoka kwa bibi na babu haupo tena.ndo kwanza wameamia Florida
Is that nature or kuna fertilization process hapo? Wadau mnajua hiyo stori nipeni link niitafute, ver interesting, nataka kujua binadamu anapojaribu kuwa muumbaji matokeo yanakuwaje?[/quote]
[quote=Anonymous]Is that nature or kuna fertilization process hapo? Wadau mnajua hiyo stori nipeni link niitafute, ver interesting, nataka kujua binadamu anapojaribu kuwa muumbaji matokeo yanakuwaje?
mdau nilikujibu mwanzo lakini sio hawa ila wanafanana
Just google John n Kate plus 8. Utaona story yao na wao walikutwa na maswaiba haya kisa njia za fertilization. Ila ya kwao turned to a big family business and earned millions of dollars with their reality show till last year when they divorced.