u look soooooo pretty!! that baby is coming soon, but pls have ur phone and just turn it off. kwasababu u never know when u might need to call for help with ur preggo self....:-)
Hivi wewe mjinga apo ulivyosema hakuna high heels una akili kweli?mjinga kabisa unatoka out of tha topic kabisa/enviroment kabisa.umewahi ona mtu anafanya mazoezi na heels..huh?mjinga kabisa think twice b4 u leave a comment..
Mange dia,u lukin gud sema itabidii ufanye mazoezi sana ukishajifungua weighttttt iyoooo...lol..kisses.!!
almost 9months and u still look gorgeous, even in ur exercise attire ;-) way to go Mange, good exercise, u almost there...soon u will be walking down on that beach with ur little prince charming! All the best!!!!!!!!
PLEASE READ BEFORE YOU LEAVE A COMMENT...Mange amesema " walk every evening for an hr...its my favorite time of the day, just me,myself,my ipod,my camera and my kikopo for an hr...NO CELLPHONE" soooooooo is it that u didnt see that or u didnt have anything of value to say??!!! Or is it that u decided KUROPOKA?!?!?!?
na wewe nawe toka ujuwe kutumia hiyo rangi nyekundu na ya blue imekuwa kero,alafu unapenda sana kushushuwa watu kama wewe ndo mama u-turn si ufunguwe blog yako?
almost 9months and u still look gorgeous, even in ur exercise attire ;-) way to go Mange, good exercise, u almost there...soon u will be walking down on that beach with ur little prince charming! All the best!!!!!!!!
not almost mdau, im in my 9th month now...so any week/any day now...
thanks alot pregnant women really need compliments,lol....
cant wait to shusha engine...nimechokaaaaa mnoooo..
Yaani Mange hizo walking ndo zenyewe zinasaidiaa sanaa katika stage za mwisho mwisho...looking mwaaah
usinibanie hii comment by mdau...again...yaani me addicted to your blog niko mikoani safarini kikazi lakini bado niko na u turn...
LOH! HII MIMBA INA MIENZI MINGAPI??? TOKEA NILIPOSIKIA UNA MIMBA NI ZAMANI? HONGERA
Zamani ya lini uliyosikia Mange ana mimba? mbona hivyo jamani. Kwani umesikia mange ni kuku au mnyama gani sijui mimba inakaa miezi 2 ana zaa? we ufahamu kama binadamu mimba ni miezi tisa. Jamani maswali mengine tuangalie si kuuliza tu.
Here we go na nyekundu zako tena umejifunza juzi juzi nini?????? Duh wewe ni Mange behind kisser #1.no offence Mange but she is toooooooooooooooo much!
Ba ndugu msaaada. MI nilizaa kwa operation miaka 3 iliyopita. naogopa kufanya mazoezi eti nitafumua mshono. Mazoezi gani mazuri kwa aliyezaa kwa operation. kabla ya mimba na kuzaa nilikuwa na figure iliyokwenda shule ile mbaya. Lakini sasa lool! sanamu la micheline hili hapa tumbo mbele. manyama uzembe kibao mpaka najichukia. Natanguliza shukrani
Shostito usijiachie hvyo fanya mazoezi ya kutembea tembea kila jioni umbali mrefu then jitahidi kunyw maji ya uvuguvugu kila siku, kula diet food ikiwepo matunda kwa wingi na kumbuka kuvaa sleeming Belt utajiona umekua kama beyonce mwenye la zaidi????????
hello mange!!
najua sas ahivi umejichokea lakini nimependa idea yako ya kutembea kila unapopata nafasi ni nzuri kwako na mtoto wako tumboni atakuwa anachangamka vema na wewe pia hutakuwa mvivu wakati wa kujifungua mngu atakupa nguvu zaidi!! ila mbona unasahau kitu kimoja ?? NINGEFURAHI KAMA UKIW AUNATEMBEA PIA NA PREGNANT KIT YA MWANAMKE IN CASE OF EMERGENCIES AND WHATEVER!1 huo ni ushauri wangu tu na kama hutembei na simu basi utakuw aunatembea na kadi zako za clinic na business card za madaktari wako!! bila kusahau ya mumeo!!
Mimba imekupendeza!!!! naona hata vishavu vimeonekana!!!!!!! kipind cha nyuma ulikuwa umechuja ungekuwa umeolewa na mswahili wangesema kwenu kulikuwa na shida!!!!!!!!!! all the best ma dia coz soooooooon u will c a new day.
Just by looking at the photos, i can see the baby has dropped down, ready to come out. I wish u all the best, and Godbless u to deliver normal. ont worry about weight thing, it will go away when you breastfeed. :kiss: :kiss:
dada uliyeuliza mazoezi gani ufanye, tokea umezaa sasa miaka 3 mbona ni muda mrefu saana unatakiwa ufanye mazoezi.. mimi nilijifungua kwa oparation baada ya mwaka tu nikaanza mazoezi, na hapo hosp tuliambiwa kidonda kinapona kwa ndani baada ya mwaka. lkn mm nipo London sasa cjui kama mishono inatofautiana..
hilo nalo nenooooooooooooooooooooo lakini miaka mitatu mingi mwanaweni aanze mazoezi ila kwa uahkika akamuone Dk wake kwa ushauri zaidi lakini pia pamoja na mazoezi shosti aanagalie anachokula maana mwanaweni ukila wakati wa mimba sawa heeeeeeeeeeeeee miaka tatu mwanaweni jinyime kidogo au vipi shostito
Dada wa manyama uzembe, anza kwa kucontrol lishe yako, punguza wanga sana ukisikia njaa, kula matunda badala ya kitu chenye wanga, tatizo mtu akiongezeka mara nyingi na appetite inaongezeka, kula ni muhimu but jaribu kula healthy, alafu the best mazoezi ni kutembea, then baadae anza aerobics pole pole, utashangaa unaanza kupungua,
Note
Kupungua ni kazi sana na yataka moyo, it wont come overnite ila kaza buti.... then later ingia kwenye mazoezi mazito zaidi ukishakuwa mwepesi kwanza pia consult with your Dr. its important
Cheers

Nashukuru sana ndugu yangu kwa jibu lako. mungu akubariki
Mange sijawahi kukusifia hata siku moja. Ila leo ngoja tu niseme "I think u look too cute kwenye hizi picha na katumbo kako njenje aawwwww....." Good luck mwaya, ujifungue salama and God bless u.
Livuvuzela lolote litakaloanza kuvuvuzelika juu ya hii comment "*&^@%$^&&@ yako"
na wewe nawe toka ujuwe kutumia hiyo rangi nyekundu na ya blue imekuwa kero,alafu unapenda sana kushushuwa watu kama wewe ndo mama u-turn si ufunguwe blog yako?
bora unisaidie mpenzi! maana yeye ndio anaropokwa kusoma msg sio zake! OVYO SHIKUNUNU LA KIKE!
ila mange nakusifia kitu gani..........u can swallow lots of madongo.....duh mie siwezi.....but also u have a hubby who is loving and caring, that kinda helps. sisi wengine tunakimbilia u-turn kupata daily smile maana waume zetu ni headache kwa kwenda mbele
Shostito usijiachie hvyo fanya mazoezi ya kutembea tembea kila jioni umbali mrefu then jitahidi kunyw maji ya uvuguvugu kila siku, kula diet food ikiwepo matunda kwa wingi na kumbuka kuvaa sleeming Belt utajiona umekua kama beyonce mwenye la zaidi????????
nimekupata shostitio. naanza ushauri wako mara moja. asante sana.
Dada wa manyama uzembe, anza kwa kucontrol lishe yako, punguza wanga sana ukisikia njaa, kula matunda badala ya kitu chenye wanga, tatizo mtu akiongezeka mara nyingi na appetite inaongezeka, kula ni muhimu but jaribu kula healthy, alafu the best mazoezi ni kutembea, then baadae anza aerobics pole pole, utashangaa unaanza kupungua,
Note[/color]
Kupungua ni kazi sana na yataka moyo, it wont come overnite ila kaza buti.... then later ingia kwenye mazoezi mazito zaidi ukishakuwa mwepesi kwanza pia consult with your Dr. its important
Cheers
[color=black]Asante rafiki. kweli kuhusu mazoezi magumu itabidi nionane na Doctor, maana toka nimejifungua hiyo 3yrs ago bado naumwa sana mgongo.
hilo nalo nenooooooooooooooooooooo lakini miaka mitatu mingi mwanaweni aanze mazoezi ila kwa uahkika akamuone Dk wake kwa ushauri zaidi lakini pia pamoja na mazoezi shosti aanagalie anachokula maana mwanaweni ukila wakati wa mimba sawa heeeeeeeeeeeeee miaka tatu mwanaweni jinyime kidogo au vipi shostito
Shostito najaribu kujinyima lkn huyu njaa hataki niachia. Na shemeji yako eti anadai anapenda hivi. nikamwambia aache nidanganya utakuta huko nje anatafuta vipato.
we we shostito jipe ile kitu roho inapenda kujinyima muhimu tena sana kwa kufuata kiwango huyo shem mwambie tachapa yeye asianze hiyvo oooh nakupenda hivi hivi huku vivuvuzela ukute huko vinamtuliza hehehehhe lol just kidding ila hapana shosti kuwa fit muhimu tena sana jitahidi pnguza kabisa wanga kama vyakula na badala kula matunda kila mara ukisikia njaa, mwanamke kujiamini shostito wangu asikudanganye mtu tafuta shepu kwa kuangalia mlo na mazoezi kwenda mbele maana kujiamini muhimu bibi eeh shepu hata kwa mchina zipo, jitahidi shosti tumbo mwaaah inahusu piga zoezi bibi ukitoka unamuweka kwapani mivuvuzela inabaki kushanga bibi wakidhani nawe mwizi kumbe ndo mwenye nyumba, upo hapo
mange dear, samahani nakusumbua natarajia kwenda tanzania next month, naomba unielekeze wapi nitapata msusi mzuri wa kuniwekea wigs lace? au kunishonea humanhair?
AU nikutumie mail
mange dear, samahani nakusumbua natarajia kwenda tanzania next month, naomba unielekeze wapi nitapata msusi mzuri wa kuniwekea wigs lace? au kunishonea humanhair?
AU nikutumie mail
kwa wamasai, wwasusi wazuri sana, na wanakiharufu very refresh!
na wewe nawe toka ujuwe kutumia hiyo rangi nyekundu na ya blue imekuwa kero,alafu unapenda sana kushushuwa watu kama wewe ndo mama u-turn si ufunguwe blog yako?
bora unisaidie mpenzi! maana yeye ndio anaropokwa kusoma msg sio zake! OVYO SHIKUNUNU LA KIKE!
halafu linapenda kuita wenzake sikununu wakati domo lake limekaa kama anapuliza moto!
waliokuwa wanasema uliolewa sababu una mimba mbona watajibeba, manake yaonekana mimba uliipata december kipindi cha harusi nahesabu wiki hapa
Duh kweli Mama nipe radhi kuishi na wa2 Kazi. yaani jitu limekaa kuhesabu hadi wiki haya ukipata jibu hesabu hadi saa mimba ilipoingia. Unbelievable human being. Shame on you!!!