Who's Online
We have 304 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6987
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6989
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month54061
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933628
Login



SHINDANO LA KUFATFUTA VIPAJI VYA UBUNIFU...
Written by Mange   
Sunday, 15 August 2010 21:28

 

 

 

NI SHINDANO LA KUTAFUTA VIPAJI VYA UBUNIFU

UTAFUTAJI WA WABUNIFU UMEANZA SASA

LENGO NI KUIBUA VIPAJI VIPYA VYA UBINIFU WA MAVAZI.

Kwa mara nyingine tena sekta ya ubunifu Tanzania inatoa fursa kwa wabunifu wote wenye ndoto za kuwa wabunifu bora kushikiri katika shindano la kuibua vipaji vya wabunifu hapa Tanzania . Shindano hili la mwaka limekua likifanyika chini ya mwanvuli wa jukwaa kuu la Africa Mashariki Swahili Fashion Week.

“Tunaangalia wabunifu ambao wana malengo ya kuwa wabunifu bora wa mavazi hapa Tanzania ” Alisema Mustafa Hassanali.

Shindano hili linafanyika kwa mwaka wa tatu sasa, halina kikwazo cha umri, na linatoa fursa kwa watu wote wanaoamini kwamba wana kipaji cha ubunifu, na wanataka kuwa wabunifu. “Swahili Fashion Week ni jukwaa bora kwa wabunifu kuonyesha uwezo wao wa ubunifu na kuibua sindano la wabunifu wapya, ni jukwaa linalowawezesha watu kufikia malengo yao ”, aliongeza Mustafa Hassanali muandaaji wa Swahili Fashion Week.

Shindano hili linatoa fursa kwa wabunifu kutoka pande zote za Tanzania .  Mwisho wa kujisajili ni tarehe 30th ya mwezi wa August 2010. “Mwaka 2008 Edwin Musiba alishinda, na mwaka 2009 alishinda 2jenge Afrika Matalay, najiuliza nani atashinda mwaka huu?”,  alimalizia Hassanali.

Kwa maelezo zaidi kuhusiana na shindano la ubunifu, tafadhali wasilina na  Mratibu wa Swahili Fashion Week bwana Washington Benbella, simu namba 0717 547792 au kupitia barua pepe , This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

Comments
Add New Search
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook