Hellen wewe ni mzuri tena sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yani mnanifurahisha kweli kuwa natural kichwani maana nywele bandia zimezidi mwendo mdundo kila la kheri kwa kweli umendeza sanaaaaaaaaaa asikudanganye mtu unatisha kipenzi Talila eeeh wakawaka eeh talalilah sankalinka its time for AFRICA
bado tuko mbali sana though tun awarembo wengi sana tena si wa kubabaisha.like miss jamaica,kwanza alishashiriki miss world pia anafanya modeling muda mrefu na ni business lady,zawadi zinazotolewa pia zinamatter,miis universr jamaica wanatoa kwa tshs cash 60mil,na gari yenye thamani ya 80mil na anavalishwa na international designers n frm experience she might do wonders maana nakua anajiamini,na ma miss wa zamani pls muwe mnajitokeza kama umri na vigezo bado vinaruhusu,bu there is still hope for our queen kufika mbali