Who's Online
We have 385 guests and 1 member online
  • Fleetaves
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6709
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6711
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53783
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933350
Login



NANCY'S 24TH BIRTHDAY....
Written by Mange   
Wednesday, 11 August 2010 20:47

 

bday gal..

mabosi wa frontline management...Nancy,Hellen and Irene...

Sophie,Mwammy,Nancy and irene...

Sophie with the champagne...

Nancy ,her mom and cousin...

ever attended a morning birthday bash??? i loved this one!!!

Nancy and mwammy

 

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-08-11 16:16:11
NA WEWE NAWE NDO NINI KUTUWEKEA PICTURE ZA CHAMPAIGNE WAKATI TUMEFUNGA NINAKIU
NILIPOONA POVU NIKADHANI APPLE CIDER.
KAMA SIO MSILAMU EMBU MSWALIE MTUME
Anonymous   |2010-08-11 17:13:36
PLEASE.....yaani waislamu wakifungaga wanataka kila mtu asitishe starehe
zao......hapo ndiyo huwa siwaelewi....mbona kwaresima hatumind hata mkikesha
mnacheza mdundiko!
Anonymous   |2010-08-11 20:21:03
BABU weeeeeh nimemsema Mange kama sio msilamu! sikusema watu waache ufirauni
kila mtu atabeba mzigo wake. iwe kwenye ramadhani au sio ramadhani ufirauni
hahurusiwi.upo hapo!
Anonymous   |2010-08-11 16:16:33
High tea birthday Bash Mange !! zinanogaga pia
Anonymous   |2010-08-11 16:26:57
MALACE wig yamepambanaaaa
Anonymous   |2010-08-11 20:23:18
NAKUAMBIA NAONA AISHA SENKORO ANATAJIRIKA TU :) :)
Anonymous   |2010-08-11 16:26:58
jamani hapa ni wapi anyone anaejua naomba aniambie...ni sehemu gani
Anonymous  - re:   |2010-08-11 18:15:16
Anonymous wrote:
NA WEWE NAWE NDO NINI KUTUWEKEA PICTURE ZA CHAMPAIGNE WAKATI TUMEFUNGA
NINAKIU NILIPOONA POVU NIKADHANI APPLE CIDER.
KAMA SIO MSILAMU
EMBU MSWALIE MTUME


Mange ebu mweleze huyu mrembo jinsi UAE walivyo wastaraabu. pamoja na kuwa
nchi ya kiislam lakini hakuna kusema vyakula sijui nini visiliwe mbele
ya watu . Mpaka kitimoto unapata katika supermarket. Tanzania ndio
huwa wananishangaza eti utakuta restaurant imefungwa inafunguliwa saa 12
mda wa kufturu. kufunga wafunge wachache, lakini wote tulazimishwe
funga. Nilipenda sana Dubai wanavyofanya, hakuna hayo mambo. Kila
kitu kinaenda kama kawa. Mange unafaidi
Anonymous   |2010-08-11 20:01:35
nancy nampenda sana she is gorgeous but Lace wig not for her she got her beauty
with another hair style ( my ideas !)
was great place and party ! family and
friends mama along love that!
Anonymous   |2010-08-11 20:15:53
sasa wewe unafagilia kiti moto kuuzwa wakati wa ramadhani ? hakiri zako ni
finyo kiti moto hata ikiuzwa siku za kawaida ni dhambi mnyama kalaniwa hata yesu
alikataza na watu wanaomfuata yesu ipasavyo hawali nguruwe!,huyu mrembo
hajakataza watu wasinywe hizo champaigne ila kasema mange unakuwa kama sio
msilamu kana vile ramadhani atawekaje pombe hivi hapo kakosea nini.wew unaiona
U.A.E ndo kwenyewe kisa kiti moto hasara tupu.
Anonymous   |2010-08-12 04:34:32
mpe huyo vdonge vyake huyo mwenye kufagilia kitimoto!!!

kumbe mange msilamu??
Anonymous   |2010-08-12 14:01:04
Mange muislam kutokana na wazazi wake labda kama kabadili dini alivo olewa na
mkristo mana kaolewa beach na kisiasa niliona bendera ya TZ sikuona Quran wala
Bible si kidini. so i hope hakubadili dini yake .simwelei kwanini kaiponda hiyo
msg hapo juu kwa kui fifisha wakati point tupu! labda kwasababu U.A.E
haikufagiliwa she is U.A.E fanatic.
Anonymous   |2010-08-12 04:38:42
koma wewe e kiti moto hat mzee wa ruksa alisema ni ruksaaa msilazimishe watu
waishi manavyotaka nyinyi, mtajijuuuu waisilamu kibao wanakula mdudud u acha
kabisa nimewaona laivu wakila tena cha kurost na ndizi
Anonymous   |2010-08-12 04:40:35
jamani mama nancy ni nakaaya mtupu, hongera mama kwa kuzaa vishuna!
Anonymous   |2010-08-12 05:59:52
kumbe she is very young only 24 happy bday girl
Anonymous  - re:   |2010-08-12 06:06:30
Anonymous wrote:
koma wewe e kiti moto hat mzee wa ruksa alisema ni ruksaaa msilazimishe
watu waishi manavyotaka nyinyi, mtajijuuuu waisilamu kibao wanakula
mdudud u acha kabisa nimewaona laivu wakila tena cha kurost na ndizi


NASHANGAAA!!!!!! EMBU MPE VIPANDE VYAKE. WANATAKA ANALAZIMISHA WATU WAISHI
AISHIVYO YEYE. NINA RAFIKI ZANGU WAISLAM WANAKULA VIZURI SANA.
TENA KUNA BABA MMOJA MWISLAM ANATAKA NA KUANZA FUGA HAO KITIMOTO.
Anonymous   |2010-08-12 13:47:39
Hasara kwao hao wanaokula huyo mdudu.si wakristo wala waislamu,majews hawali
kwao ni mwiko mkubwa wao ni casual foods only nguruwe ni haramu na kama wako
jews wanaokula nao pia HASARA KWAO .msigeze tembo kunya mavi makubwa
mtachanika nyuma . :X
Anonymous   |2010-08-12 13:55:23
Mzee rukhs alikuwa anaogopa makasheshe ya vita vya kislam na butcher za nguruwe
katumia busara yake kwa kusema wale wanachotaka rukhsa akijuwa mzigo wanao
wenyewe hata wakila Mbwa shauri yao.sababu hapa duniani mijitu mingine mungu
ameshailani kiasi haiwezi hata tambuwa kizuri na kibaya mijitu kama hiyo
unaiacha tu na mungu ndio atakae wahukumu.sasa Mzee rukhsa anahukumu ya
kuhukumu watu kama mungu???,kawaacha watu wameshapotea kajionea kasheshe za nini
watajijuuu ni mzee mwenye busara sana. ;)
Anonymous   |2010-08-12 07:13:17
:angry: NA WEWE ACHA USHAMBA..............!!!UMEONA CHAMAPAGNE TAYARI UNAFIKIRIA
NI POMBE..ALIYEKWAMBIA NANI KUWA KILA CHAMPAGNE IN KILEVI!!!?COMMENTS NYINGINE
BWANA....HADI UNAPATA HASIRA!!!!
titi   |2010-08-12 10:31:18
haka kabibti ni karembo sana halafu kanajiheshimu, sijawahi ona ngozi ya titi
yake ipo nje toka alipomaliza kuvaa vile vichupi enzi zile za miss world,na nguo
anazovaa ni fupi ila ufupi uliostaarabika ambayo unaweza kupita hata mbele ya
padri au shekhe.
hongera mama kwa kuzaa na kulea. maana unaweza kuzaa halafu
malezi zero
Anonymous   |2010-08-12 11:03:01
nakuomba dada mange comments zinahusu dini usiziruhu maana patakua hapatoshi
hapa, we haya maana watu wanajaribu kuweka maneno midomoni mwa watu. haya yetu
macho.
Anonymous   |2010-08-12 11:50:41
dada mi musilamu lakini sitaki kufunga na ww na huyo amemsema mange kwa kuwa
mange ni muislamu haya inakuaje maulidi si yako ukayavalie kanzu?? si vizuri
kudandia gari kwa mbele bi dada na hao waislamu wanaokula nguruwe basi wao na
mungu wao kwani dhambi nguruwe tu.nakuona ulivyo rimbukeni ukivaa chupi mpya
unataka watu wote waione umeona dubai kuuza nguruwe ndio maendeleo nyama we,
nyie ndio waleeeeee akaina.....
Anonymous   |2010-08-12 12:21:07
jamani naomba kuuliza hivi huyo nancy ndo yule aliyolewa na mbunge fulani kutoka
moshi? kama ni yeye mbona mumewe haonekanii?
msinitoboe macho pliiizzz!!
Anonymous   |2010-08-12 14:03:01
No. Huyo ni Faraja Kota.
Anonymous   |2010-08-13 05:59:49
Point of Correction:::

Faraja Kotta kaolewa na mbunge wa singida na sio
kutoka Moshi!!!!
Anonymous   |2010-08-13 06:05:57
Jamani jamani Jamani! Post ni Nancy's birthday,,,comments zimejaaaa,, mdudu,
kitimoto, uislamu , ramadhan,,,,,, Duh!!

Wadau wote mnaochangia hizo
mada,,,MSIPENDE KUFANYA KAZI YA MUNGU,,,,,, ninyi ni nani kuwahukumu wenzenu!!
Na je ni wasafi kiasi gani if i ken ask!!!!! I hate mijadala ya dini to the
maximun. Hebu badulikeni.

halafu kuna tabia mbaya sana humu u turn,, topic
ikiwekwa hapo,,comments nyingi zinakuja nje kabisa ya kinachosemwa hivi inakuaje
hiyo!!!!!!!!!!
Anonymous  - re:   |2010-08-12 12:25:54
Anonymous wrote:
jamani hapa ni wapi anyone anaejua naomba aniambie...ni sehemu gani


movenpick
Anonymous  - re:   |2010-08-12 19:33:52
Anonymous wrote:
Hasara kwao hao wanaokula huyo mdudu.si wakristo wala waislamu,majews
hawali kwao ni mwiko mkubwa wao ni casual foods only nguruwe ni haramu na
kama wako jews wanaokula nao pia HASARA KWAO  .msigeze tembo
kunya mavi makubwa mtachanika nyuma . :X



kwani jews ni nani? hawatendi dhambi nyingine? acha ufala wee tembea
uone jinsi walivyo mafirauni, achaniki mtu msamba wala nini
twanya mavi ya kiwango tuu kama wewe!
Anonymous   |2010-08-13 00:58:35
Dhambi ziko nyingi hapa kinazungumziwa kiti moto

nakupa nyingine NGURUWE NI
HARAMU KWA BINADABU WOTE!
kama huelewi kwaheri cant argue with a fool.
Anonymous  - re:   |2010-08-12 19:36:50
Anonymous wrote:
Mzee rukhs alikuwa anaogopa makasheshe ya vita vya kislam na butcher za
nguruwe katumia busara yake kwa kusema wale wanachotaka rukhsa akijuwa
mzigo wanao wenyewe hata wakila Mbwa shauri yao.sababu hapa duniani
mijitu mingine mungu ameshailani kiasi haiwezi hata tambuwa kizuri na
kibaya mijitu kama hiyo unaiacha tu na mungu ndio
atakae wahukumu.sasa Mzee rukhsa anahukumu ya kuhukumu watu kama
mungu???,kawaacha watu wameshapotea kajionea kasheshe za nini watajijuuu ni
mzee mwenye busara sana. ;)




koma kuita wena wa wenzi mijitu jitu ni wewe, unalijua jitu
linafananaje au kazi kuhara na mdomo tuu
Anonymous  - re:   |2010-08-12 19:40:28
Anonymous wrote:
No. Huyo ni Faraja Kota.




faraja kota mume wake ni mbunge wa singida vijijini na sio moshi
Anonymous  - re: re:   |2010-08-13 00:56:16
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
Mzee rukhs alikuwa anaogopa makasheshe ya vita vya kislam na butcher za
nguruwe katumia busara yake kwa kusema wale wanachotaka rukhsa akijuwa
mzigo wanao wenyewe hata wakila Mbwa shauri yao.sababu hapa duniani
mijitu mingine mungu ameshailani kiasi haiwezi hata tambuwa kizuri na
kibaya mijitu kama hiyo unaiacha tu na mungu ndio
atakae wahukumu.sasa Mzee rukhsa anahukumu ya kuhukumu watu kama
mungu???,kawaacha watu wameshapotea kajionea kasheshe za nini watajijuuu ni
mzee mwenye busara sana. ;)




koma kuita wena wa wenzi mijitu jitu ni wewe, unalijua jitu
linafananaje au kazi kuhara na mdomo tuu


TRUETH HURTS :woohoo:
Anonymous  - re:   |2010-08-13 14:57:56
Anonymous wrote:
Mzee rukhs alikuwa anaogopa makasheshe ya vita vya kislam na butcher za
nguruwe katumia busara yake kwa kusema wale wanachotaka rukhsa akijuwa
mzigo wanao wenyewe hata wakila Mbwa shauri yao.sababu hapa duniani
mijitu mingine mungu ameshailani kiasi haiwezi hata tambuwa kizuri na
kibaya mijitu kama hiyo unaiacha tu na mungu ndio
atakae wahukumu.sasa Mzee rukhsa anahukumu ya kuhukumu watu kama
mungu???,kawaacha watu wameshapotea kajionea kasheshe za nini watajijuuu ni

mzee mwenye busara sana. ;)



HAKUNA AJUAE KITU NI HARAMU AU SI HARAMU. HATA MAANDIKO NI MAPOKEO
TULIYOYAKUTA. lililojema ni kuwa kila mtu afanye yale dini yake inayoruhusu
si kutukana mwingine. Dini yako kama inasema usile kitimoto usile,
kama inasema kula kula. si vizuri kulumbana kuhusu dini. nawatakia siku
njema.
Anonymous   |2010-08-13 21:37:28
:shock: :shock: :shock: fanya uchunguzi wewe vitabu vingine vimebadilishwa sio
unaropoka tu.ynjill original ilikataza,.
soma vitabu vya doctor SULE .au
chunguza uliza padre wako atakueleza ukweli.nyinyi ndo wale wale wanao hamini
yesu kazaliwa dec 25th pole sana umeandika utumbo mtupu hapa".HAKUNA
AJUAE KITU NI HARAMU AU SI HARAMU. HATA MAANDIKO NI MAPOKEO
TULIYOYAKUTA"
nakupa pole sana :shock:
dini yetu inaruhusu kusaidia walio potea kama wewe
Anonymous  - re:   |2010-08-15 09:34:33
Anonymous wrote:
Dhambi ziko nyingi hapa kinazungumziwa kiti moto

nakupa nyingine NGURUWE
NI HARAMU KWA BINADABU WOTE!
kama huelewi kwaheri cant argue with a
fool.



fool mwenyewe na mijazba yako, tukusikilize we mzuri sana au?? kishoia
tuu
Anonymous  - re: re: re:   |2010-08-15 09:36:33
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
Mzee rukhs alikuwa anaogopa makasheshe ya vita vya kislam na butcher za
nguruwe katumia busara yake kwa kusema wale wanachotaka rukhsa akijuwa
mzigo wanao wenyewe hata wakila Mbwa shauri yao.sababu hapa duniani
mijitu mingine mungu ameshailani kiasi haiwezi hata tambuwa kizuri na
kibaya mijitu kama hiyo unaiacha tu na mungu ndio
atakae wahukumu.sasa Mzee rukhsa anahukumu ya kuhukumu watu kama
mungu???,kawaacha watu wameshapotea kajionea kasheshe za nini watajijuuu ni
mzee mwenye busara sana. ;)




koma kuita wena wa wenzi mijitu jitu ni wewe, unalijua jitu
linafananaje au kazi kuhara na mdomo tuu


TRUETH HURTS :woohoo:




truth hurts makalio yangu jitu alokuzaa!!... truth hurts indeed!!
Anonymous  - re:   |2010-08-15 09:39:48
Anonymous wrote:
:shock: :shock: :shock: fanya uchunguzi wewe vitabu vingine
vimebadilishwa sio unaropoka tu.ynjill original ilikataza,.
soma vitabu
vya doctor SULE .au chunguza uliza padre wako atakueleza ukweli.nyinyi
ndo wale wale wanao hamini yesu kazaliwa dec 25th pole
sana umeandika utumbo mtupu hapa".HAKUNA AJUAE KITU NI HARAMU AU
SI HARAMU. HATA MAANDIKO NI MAPOKEO
TULIYOYAKUTA" nakupa pole
sana :shock:




tutakula tuuuuu hata msemeje , kiti moto tu ndo
dhambi??? mbona uzinifu hamsemi?? mkitaka msitake kitafinikwaa
kitakaangwaaa, kitapakuliwaaaaaa
dini yetu inaruhusu kusaidia walio
potea kama wewe
j   |2010-08-29 17:23:54
JUDGMENENT (AU CONCLUSION YA UPUUZI WENU HAPO JUU)
acheni kupoteza mda
ayekula mbwa ale, anayekula nyani ale, anaekula nyoka ale, nk. kila mtu anaona
dini yake ndio sahihi kwa hiyo kila mtu afuate vyake na asibughudhi wenzake.
mmenielewa??
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook