kusema kweli mi sioni kama ni mrembo. nadhani akina dada warembo hawakuwa na muda wa kugombea.ukizingatia maisha ya kubeba box ni magumu ....ila hongera kutuwakilisha dada wee:)
kokuletage, kokuletambula, kokusonya mfyonyoooooooooooooooooooooooo, kokubinza au kokufyumbula au kokukufwigwilisa weka picha yako tuone....Caro we mzuri tu achana na visonoko hawa hilo jina tu tushajua miguu mizuri koku ila hapo juu mhhhhh hapo chacha aka sisemi sitaki kumkufuru Muumba
Aante..ngoja nikanunue chupi mpya mwali wangu maana kusasambua shurti chupi iwe na mvuto maana kuna migumashi midomo kupinda humu inataka ituharibie heshima yeye umemuona mzitooooo kama anatizama choo tena cha shimo...CARO UKO JUUUUUUUU MAMAMAAAA
kokuletage, kokuletambula, kokusonya mfyonyoooooooooooooooooooooooo, kokubinza au kokufyumbula au kokukufwigwilisa weka picha yako tuone....Caro we mzuri tu achana na visonoko hawa hilo jina tu tushajua miguu mizuri koku ila hapo juu mhhhhh hapo chacha aka sisemi sitaki kumkufuru Muumba
...
hahahhahha..thanks my dear ..loollLLL nimecheka kweli ......