|
Ze matez
Nimeona comments nyingi zikiulizia kikopo…hehehehe…
Well, Mungu hakupi more than you can handle siku zote, manake sometimes huwa na complain sana inakuwaje mie bado nna tema mate mpaka leo,wakati kuna rafiki yangu wakati mimba zetu changa tulikuwa tunatema wote mate, mwenzangu ameacha zamani sana mimi sina hata dalili,as a matter of fact jinsi navyokaribia due date date yangu ndio jinsi yanavyozidi….
Nikajiambia nisikmkufuru mwenyezi Mungu manake kuna wengine naongea nao wananiambia wanasumbuliwa sana na CONSTIPATION sasa mdau kutema mate na constipation mara mia kutema mate manake haileti maumivu yoyote….
Anywaysm my 2 biggest problems through my pregnancy have been kutema mate na heartburnm,heartburn imepungua sana baada ya kufika abu dhabi nilipata doctor mzuri sana akanipa dawa nzuri ya kupunguza heartburn , kwa kweli nashukuru,manake nilikuwa silali kwa heartburn….
Mdau mmoja kauliza nalalaje je natema nikiwa nimelala?? Well, yes, nalala na kOpo next to me…hahahhaha…REALLY DISGUSTING I KNOW….ITS PURE TORTURE…
But Napata moyo sana napoongea na watu na wananiambia mara nitakapo jifungua na mate yanakatika hapo hapo….na nina ndugu yangu mmoja na yeye yupo in her last few weeks na bado anasumbuliwa na mate…
My biggest fear ni kuzaa alafu yasikatike…sijui ntaishije…another fear i had was how would i hubby handle it? but he is been wonderfully supportive,,
Mimba yangu ya kwanza sikuwahi kutema mate,wala kuumwa heartburn,yani I just cruised through it,was expecting the same thing this time…lol…anyways mimba za ukiwa in ur early 20s wanasema huwa nirahisi sana the older u get the more difficult it becomes……

|