|
NIWEKE LACEWIG KWENYE HARUSI YANGU?? |
|
Written by Mange
|
|
Wednesday, 11 August 2010 01:23 |
|
habari,
nategemea kuolewa harusi mwezi wa 11 mwaka 2010,ila nina nywele chache sn pia zimekatika mbele,nahisi kama lace wig linaweza kunifaa ili hiyo siku yangu ya harusi nikaiona ya tofauti,
naombeni ushauri wenu,
Sisy M
naomba email yangu usiianike
|