:kiss: ulitufaa sana kwa mitandio Debbie na hivi ndo ramadhani inaanza,nakuombea mwenyezi mungu akuongezee dhawabu na uweze kujifungua salama mdogo wangu tunakupenda.
nice but ile ya mange ilikuwa kiboko bwana, sas hako kamwavuli ka nini jamani nielewesheni mshamba mie! all the best mum to be
madear sis Mange yupo juu na hatujafanya baby shower ili tushindane kila mtu anajikuna afikiapo.na huo ndo ulikuwa uwezo wetu...kuhusu mwamvuli hizo ni kash-kash tu za kuzuia mvua ya zawadi (shower)ukiweza unaweza kugoogle theme kibao za baby shower online wanaweka na mwamvuli.thanks its me Debbie.
Debbie kila lakheri mamacita, ujifungue salama na inshallah rabana akupe kichuna kama wewe mwenyewe ulivyo na roho yako iliyo nzuri na ya upendo,
Na wewe kipashukunuka hapo juu aliekwambia watu walikuwa wanashindana nani, watu muwe wastaarabu na hekima vichwani mwenu mnafikiri kila mtu ana shida au matatizo ya kiakili kama nyie, wewe kama maisha yako ni kushindana jianike basi tukuona, mwangalie kwanza mawazo mgando kama sura yako mwana mtoka pabaya usie na haya ndio nyie mnaokosa bahati hata makungwi wa kuwafunda mzxxxxxxxxxxxxy taflasonzo we mfyonzoooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Nyie watoto wa ulaya pesa za bby shower mnatoa wapi halafu mmependeza sana yani u ol look classic and fashionable nimependa gauni ya huyo anayezuia mvua mange usibanie comment hii plz
Debbie kila lakheri mamacita, ujifungue salama na inshallah rabana akupe kichuna kama wewe mwenyewe ulivyo na roho yako iliyo nzuri na ya upendo,
Na wewe kipashukunuka hapo juu aliekwambia watu walikuwa wanashindana nani, watu muwe wastaarabu na hekima vichwani mwenu mnafikiri kila mtu ana shida au matatizo ya kiakili kama nyie, wewe kama maisha yako ni kushindana jianike basi tukuona, mwangalie kwanza mawazo mgando kama sura yako mwana mtoka pabaya usie na haya ndio nyie mnaokosa bahati hata makungwi wa kuwafunda mzxxxxxxxxxxxxy taflasonzo we mfyonzoooooooooooooooooooooooooooooooooooo
karibu mwakwetu we karibu mwali wangu wasikujaze husda wala uji wao wa muhogo usio hiliki wala tashtiti karibu ipo siku tutajuana tu wala usijali maana ningekupa japo barua pepe lakini humu si unajua wakiidaka he na nyumba waweza vunjiwa...asante sana salamu zako nimewzipokea mwali wane