Who's Online
We have 300 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6927
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6929
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month54001
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933568
Login



ZALI LA MENTALI KUMPATA JUMA NATURE????
Written by Mange   
Tuesday, 10 August 2010 01:28

 

Sir nature akilisakata na lil’ kim wakati wa fiesta..i bet he was in 7th heaven…lol

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-08-09 20:37:11
Namzimia sana zali la mentali.Lol
Anonymous   |2010-08-09 21:22:13
why are u saying he was in seventh heaven,Lil Kim was the one in seventh
heaven,sababu sasa hivi kachoka,BURE AGHALI
Anonymous   |2010-08-09 22:45:49
makubwa hili ni zali la mentali kabisaaaaaa...
Anonymous   |2010-08-10 07:07:05
kachoka nani tena na wewe unatumix akili hapa!! nakachokaje????
Anonymous   |2010-08-10 07:30:23
Unatamani ungekuwa wewe na lil kim.
Anonymous   |2010-08-10 08:13:51
Kim mwenyewe choka mbaya kabaki mkorogo...
Anonymous   |2010-08-10 10:47:03
Hakuna mbingu saba wewe amka, mbingu ni tatu tuu hiyo ya saba ni ya majini na
mapepo.
Anonymous   |2010-08-10 11:22:40
Lil Kim bado hajachoka utamlinganisha na ww?
utajiju     |2010-08-10 17:25:33
hahahahaaaaaa watu humu kwa mashushu.... :woohoo: halohalo
Anonymous     |2010-08-10 14:03:46
Anonymous   |2010-08-10 19:48:20
Hivi ni nini hasa kitamanya Sir nature ajione yupo mbingu ya saba?. Ni kipi cha
ziada alicho nachi Lil Kim mwanamke mwingine hana?. Au ana chambia maji ya
almasi, haendi choo, hapandi Apolo 11, au ni nini hasa.

Ukiangalia hapo
hakuna la ziada zaidi ya kuona wasanii waliobobea wakifanya kazi jukwaani.
Sidhani kama tunatakiwa kuwaona kwa mtazamo huu wa kwako kana kwamba walikuwa
chumbani bila nguo wawili tu. Tuache kasumba, Nature ni msanii mkubwa, sidhani
kama tukio kama hili litamfanya awe ameingiza billioni tatu au zaidi.

Bila ya
nature pale juu Lil alikuwa hana jipya na watu walikuwa wakimshangilia sana
nauture kuliko Lil Kim ndiyo ujue kuwa watanzania wengi hawana mawazo kama haya
ya kusema Nature alikuwa mbingu ya saba.
Bianca   |2010-08-11 05:07:19
iiiish....we vipiiiiiii??!! :angry: :angry: :angry:
Anonymous   |2010-08-11 06:25:11
oh mai broda nature,,plz,,,i hop huja2aibisha,,,,na mapyumu ya bei poa kwa
mangi,,,na winter la nini hapo stejini,,uliambiwa lil anakuja na snow mpaka
stejini,,,,tembelea ma website za wakubwa huko majuu,,,..ujifunza kuvaa...sio
kila unachopewa na machinga unavaa..acha ushambaa,,usha2aibisha kwa
wifeyy...halafu kikwapa vipi hapo..nahisi kilikuwa kikali kidogo,,,maana demu
alikuwa kama havutiwi,,ana kiss ana chomoa fasta..teh teh semejiiiiiiiiiiii
Anonymous   |2010-08-11 06:26:52
kwanza lil kim alaikuwa anatisha,,,ka jini,,,,,,,hata sir,,hajamfagilia
kiivyo,,hajipendi,,wanatembea na virusi hawa....wanagawaga k kaa hawana akili
nzuri,,,kwao its ze nature gift kuti..na kuliw...,,aaa eh eh
Anonymous   |2010-08-11 10:40:59
Jamani, jamani, Lil Kim inaonekana amemzimia sana Nature Sir mpaka basi, Nature
kuwa makini usijebadilisha mwelekeo maana wabongo bwana kuwa na mahusiano na
watu wa huku nje imekuwa kama fashion.

Kwanza Lil Kim amechoka sana cha zaidi
atakufilisi bure, just let her be your friend if she like otherwise leave her
along kama anataka mambo fulani siunajua tena. tehe tehe twi, twi,
twiiiii,.,......

YOu have to proud of yourself


Love u Nature, u rock me
Anonymous  - Lol!!   |2010-08-14 04:56:11
I like the kikwapa comment ,i was thinking the same ..lol hapo Lil Kim lazima
alikuwa anasema saa ngapi tunamaliza?ze harufu..
Jamani Lil Kim kachoka wewe una
nn?kazi kusema watu tu,wabongo wamejaliwa kusema watu sana,huo muda unaotumia
kumsema mtu bora ungefikiria ufanye nini zaidi kuongeza kipatoo..acheni kuwa
negative..

Mdau
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook