Who's Online
We have 307 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6998
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week7000
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month54072
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933639
Login



FEW MORE WEEKS TO GO...GETTING BABY READY....LOL
Written by Mange   
Sunday, 08 August 2010 21:08

This is meant to be daddy's job i guess but this daddy is too busy...lol

great group of guys, very patient, manake mara weka hapa,mara leta huku...lol..

transforming a guest room into a nursery is gonna be a challenge...

then i had them put the playpen in the living room....

thanks guys...great job....

isnt this the cutest playpen ever???

decided to go with a quinny stroller,its so high tech i love it...

car seat...he is almost set...

the cutest little baby swing from mamas and papas...

his toy stash is growing already...lol

 

 

ok , somebody stop us..manake sasa nanunua vitu sijui hata kazi yake...lol..

too cute winnie the pooh bath...

Comments
Add New Search
aladji   |2010-08-08 16:36:36
mambo si hayo,mtoto atafaidi. Na atleast tumepata kuona unapokaa,shosti
umejaaliwa mungu akuzidishie.I cant wait kuona picha za baby,maana nipo addicted
na hii u.turn.
Anonymous   |2010-08-08 16:53:28
MMH! NYUMBA NDOGO SANA MPAKA POTI YA MTOTO IKO SITTING ROOM.
Anonymous   |2010-08-10 01:44:33
Hizo nyumba mkipanga zinakuja na furniture? nimependa nyumbani kwa wifi yako
yule mzungu mwenye kibaby, kweupeee
Anonymous   |2010-08-08 16:58:51
have a safe delivery mamiii
Anonymous  - re:   |2010-08-08 17:38:59
Anonymous wrote:
MMH! NYUMBA NDOGO SANA MPAKA POTI YA MTOTO IKO SITTING ROOM.


acha kukurupuka wewe , sio poti hiyo ni bimbo chair ya mtoto wakati
anajifunza kukaa.utasutwa mchana kweupe.
Anonymous   |2010-08-08 17:57:22
natamani kama upige picha nyumba nzima kuanzia sitting room,jikoni,dining room
vyumbani yani tuone kila kitu manake hapa unatukosesha uhondo,ila hizo furniture
tu ni high class na nyumba safiiiiii ,hongera mwaya
Anonymous   |2010-08-08 18:44:25
uko juu ddangu.uko juu.japo unanibaniaga comment zangu.congratulation
Anonymous   |2010-08-08 19:11:03
unachezea hela mamii,yani hapo unachokihitaji ni stroller,car seat, crib na bath
basi,vingine vyote show off
Anonymous   |2010-08-08 19:44:59
Kweli hapo hata mie nakusupport yani anakuwa kama hajawahi kuzaa vitu vinginevyo
hapo vitatu tatu na kazi yake ni hiyo hiyo. Una swing na play stands kuliko na
vyote kazi ni somehow same hata Playpen imechukua tu nafasi...
Anonymous   |2010-08-09 05:11:57
Anachezea hela za kwenu inahuuuuuu :dry:
Anonymous   |2010-08-08 19:28:38
did u think abt in few months al the deco and the standing lamps nid 2 b away
becoz they r hatari 4 ur baby wen he starts kutambaa???anyway abt wat u bought i
guess ur just excited bt some of things u wil neva use them.bt its okey wen u
fil u want 2 buy them endelea tuu
Anonymous   |2010-08-08 19:29:15
wala sishangai sana nlmezaa kabda yako watoto wangu vyote wamepitia hivyo
waonyeshe mabifu wako wa bongo wa europen utupati. ikke for os. mbona sijaona
skiftebord??
Anonymous   |2010-08-08 20:03:32
we nawe ni dhiki zako u, aliyekuambia watu waliojifungulia bongo hivyo vitu
hawana ni nani? ndio nyie nyie kina 'i was' lakini mfukoni hamna kitu.
Anonymous   |2010-08-08 20:04:42
Ikke för er? Skiftetbord uone ya nini? Watu wa Norway na kinorweigean cha
kujifunzia ukubwani kwenye "ukimbizi" mna shida sana. Hii blog ya Mange
personal ataweka anachotaka si lazima awe anashindana na mtu skaffar dig ett liv
or as we say in English, get a life. Ps: wanao wamepitia na kutumia hivyo vitu
kwa pesa ya social ya ukimbizi aka Bidrag usituchoshe hapa.
Anonymous   |2010-08-08 20:53:30
nawe ni limbukeni mwingine. sasa kigoma wanaongea ki-norway? sehemu yoyote
tanzania ni kilugha, kiswahili na kiingereza.
Anonymous   |2010-08-08 21:09:39
Kigoma imeingiaje? Sijui katika bichwa lako Lenten akili finyu wakimbizi wapo
Kigoma tu? Au na wewe ndo moja wa wakimbizi wa kujilipua huko majuu ndo maana
akili yako chovu? Kusoma huwezi, point hazishiki hata kukaa kimya pia
unashindwa? Shut up or better yet, rudi shule ukasome. Eti Kigoma... Jinga la
wapi wewe hata current affairs zinakushonda ku-keep up...
Mkora   |2010-08-08 21:12:25
Kigoma inahuu? Kuperuza jmeshindwa hata kupata point ya comment pia zero? Kigoma
my foot hujui hata kinaxhoongelewa hapo... Wakimbizi wa kujilipua majuu tRNA
sanasana Europe wamejaa kibao usifikiri Jambi zipo kigoma tu.. IDIOT.
Anonymous   |2010-08-08 21:18:39
acheni kukurupuka, basi ngoja nitumie singida au tabora au morogoro badala ya
kigoma. nilikuwa nina maana, mkoa gani wa tanzania unazungumza ki-norway?
naombeni msamaha sababu mmeshindwa kunielewa.
Anonymous   |2010-08-08 21:27:43
Vilken idiot... Sasa Kama wanao wametumia inahuu? Saa hivi hata kuwaconvisi
wasiache shule unashindwa watoto wako wanaacha shule na wengine Kama wana
matatizo ya akili unAkalia kuangalia na kucomparena kuvinunia vitu vya mtoto wa
mange. Mwenzio ana mume na kasoma na hadipend social. Hebu lea wanao acha
mashauzi na comparison au itakuwa noma hata huyo wa sasa atakushindwa akukimbie.
Anonymous   |2010-08-09 07:11:59
Hahahaha hii nimeshaikamata dada wa Norway... aka Sverige umepatikana. Inaelekea
watu wa humu ndani mnajuana kwa majungu mnayopeana.. Pole dada siku nyingine
uache kuwaambia watu wanaleta mashauzi wakati wewe mwenyewe ndo bingwa wa
mashauzi yasiyo na msingi mara hiki, mara kile, alimradi usipitwe.. shiiiiida
kweli kweli..
Anonymous   |2010-08-09 17:00:53
Hahaha hon e en idiot thats for sho. Some people ma face book mnajidi maisha
mzuri kupiga picha na magari ya watu kisa mange kaonyesha ya kwake, kutaka
kushindana hivi kisa mange kafanya vile.. Dont try to do mange, do yourself kwa
uwezo wako aloooooooooo kumbe uchovu mwingi mtaishia hadi kupora pesa mabank na
hao watoto wenu wengine wameshindikana hamjui hata kuwacontroooo mnabakia kuleta
mashauzi na mashindano na mana wa Dubai... vizee vya Sverige mna kazi
Bi Kidedu binti Kisebengo   |2010-08-09 17:19:31
A real Idiot... hata shule ilimshinda kabakia ooh huuu, thiiis, hiis, heeers na
kuandika tabu anaturingishia kiswidi halafu anaficha anabadilisha aonekana toka
Norway... lugha yenyewe hata kama ulijifunzia miaka hiyo waliokuwa baada yako
wana maendeleo kushinda wewe... umabaki hapo hapa kufata kumbo wafanyalo wenzako
na wewe roho ndu ndu ndu .. na hicho kiroho binti mtu mzima ndo kitakufanya
usifike popote... yaani badala ya kufurahia maisha na maendeleo ya mwenzio
unaingia humu ndani kuongea pumba na huko uliko unaongea pumba kupita mfano...
Watoto wako wamepitia... so what? unafikiri na bongo hivyo vitu havipo? watoto
wa bongo wanafaidi kushinda maendeleo wote tunajua unawahusudu na kuwaonea wivu
walioendelea huko bongo wewe hata kazi ya wazee kwishney imekushinda na elimu ya
bure wanayopewa wanao pia inawashinda, sembuse itakuwa vitu accessories za
watoto walizotumia miaka yote hiyo iliyopita? Kwanza mi nakujua... wanao
...
Anonymous   |2010-08-10 07:38:37
nawe unachonga sana.
Anonymous   |2010-08-09 16:43:45
Eti hushangai... T he he he utananuhii ndani ya debe mwaka huu maana Suramérica
imekushuka kwa mfumo wa mashindano uliokuwa unakaa kati yao kutafuta cha
kuongelea ndo hao wamekuwa mashoga bin maBFF we ndo unaonekana aibu ña
nikufkiri utakuwa umekoma kumbe bado tu unaingia huku kutafuta maneno wallahi
mange si saizi yako, si rika lako na si hadhi yako kakiacha mbali sana kwa hiyo
acha wivu muombe mungu na wewe mashallah utafika.
Anonymous  - re:   |2010-08-09 19:23:03
Anonymous wrote:
wala sishangai sana nlmezaa kabda yako watoto wangu vyote wamepitia hivyo
waonyeshe mabifu wako wa bongo wa europen utupati. ikke for os.
mbona sijaona skiftebord??


hichi kizee cha scandnavia kina wivu, ndio maana maziwa kama chapati
ya mamantilie toka huko mange hutompata ngo.
Anonymous   |2010-08-09 20:44:03
Hahahahahahha shosti umenimarizaaaaaaaaaa hahahahaahha hiyo ndo size yake ana
mashauzi lakini vitendo zero... Nguo mitumba na Gina Tricot halafu anajidai
designer. Wanaovaa designer kupelewa watoto zao parki wako njweeeee kimyaaaaaaa
bin no-mashauzi mvaa mitumba ndo anatamba. Kabaki mara kumsema Mange mara
kuwasema watu wa Bongo wakati miaka Yake yote majuu hata wa Bongo sasa hawezi
kuwafikia hata akiwarukia na fagio la mchawi.
Anonymous   |2010-08-10 07:52:21
Hahahahaha eti mitumba unaniacha solemba kwa kufs mbavu... Mtajeni jamani na Sie
tumjue. Kweli naona kakoroga mambo saa hizi kimyaaaa kanywea...
Anonymous   |2010-08-08 19:41:18
Mange hizo walking chairs Kuwa na uangalifu kama huku europé watu wameshaona ni
waste of monet na Kuba nchi zingine wamezistopish kabisa maana zinacourse
accidents. Lama kutembea mtoto akifika siku yake atainuka atembee. Naona Pia una
play mobile/ stands nyingi it's a bit unnecessary though it's your choice,
kidogo unakuwa Kama ndo umezaa mara ya kwanza vinginevyo vitakupotezea tu
nafasi.
Anonymous   |2010-08-09 03:54:21
Hakuna best baby walker kama zile za enzi zetu za mbao unasukuma matairi matatu.
mbona watu tulitembea, kwanza za kidhungu zinaleta matege.........
Anonymous   |2010-08-09 06:19:50
hapo umeongea point thank youuuuuu
Anonymous   |2010-08-09 13:29:58
basi ulaya yote wangekuwa na matege manake ndo mabingwa wa hayo makitu, na
sijabahatika kuona matege ulaya
Anonymous  - re: re:   |2010-08-09 13:36:55
Mtoto wrote:
Anonymous wrote:
natamani mie ndo ningekuwa kwenye hilo tumbo  halafu unizae, LOL


Hahahahahaahahaaaaaaaaaaaaaaaa........duh umenichekesha mdau!! LOL..wewe
ni noma!!
Lakini it's true the baby is very lucky to have parents like
mange and Lance!!



kweli u turn moto duu kwi kwiiii
Anonymous   |2010-08-08 19:53:50
mambo ya ya pesa hayo bwana, mwenzenu anaogea mdirham bwana, acha anunue
mazagazaga yote anayoyataka akimaliza kuyatumia atawatumia ndugu zake
tanzania.
na mkumbuke kuwa huyo ni mtoto wa kwanza kwa mumewe labda mume ndio
anataka madude yote hayo yanunulie.
anon   |2010-08-08 20:04:58
Quinny stroller is gud, but love me some STOKE (It is really nice)
Anonymous   |2010-08-10 08:06:28
Hata Bugaboo Pia mzuri very Posh and very useful hlfu umekaa ki-Mange Mange.
Nashangaa hajachagua bugaboo.
Anonymous   |2010-08-08 20:05:11
shosti tuonyeshe na chumbani kwako jamani,au hata jikoni ,na living room piga
full picture tuone ikoje yani unajua kutunyima raha wewe
Anonymous   |2010-08-08 20:16:39
We nawe ushamba mwingi jikoni and mostly CHUMBANI kwa mwezio kunakuhusu nini
Kama si ushambenga na ukosa kazi?
Anonymous   |2010-08-09 09:11:52
hehehehehhe mwenzio kapandishwa cheo kutoka kuosha vyoo mapaka kuwachambisha
wazungu utamtaka hehehehehehhehe :woohoo:
Anonymous   |2010-08-08 20:12:47
Duu hiyo picha ya kwanza imenitisha kwasababu naangalia website using my phone
so the pics are small but I thought that was you putting the crib together.
Halafu nasoma comment underneath that says, this is daddy's job but I guess this
daddy is too busy. Pressure ikapanda I was thinking yani HUYU MZUNGU AMEKUACHIA
MJAMZITO UFANYE KAZI ZA ASSEMBLY MWENYEWEeeeee!?!??! Weeee kidogo nianzishe
riot.....LMAO but I see that's not the case & mzungu wa watu anakutunza. Very
very excited for you miss, CONGRATS!!!!!!
Anonymous   |2010-08-08 20:40:36
ahahaha eti poti iko sitting room. uwi mbavu sina. Ushamba mzigo wa kuni.
Anonymous   |2010-08-09 09:13:36
mwenzio anawaza mavi tu maana si unajua kazi yake Homecentres zile..nnnya kila
kona ataacha kuwaza poti
jina  - re:   |2010-08-08 20:49:05
Anonymous wrote:
wala sishangai sana nlmezaa kabda yako watoto wangu vyote wamepitia hivyo
waonyeshe mabifu wako wa bongo wa europen utupati. ikke for os.
mbona sijaona skiftebord??


håll käften idiot.
Anonymous   |2010-08-08 21:13:37
mmh, kumbe norway ndio nyumbani kwa malimbukeni.
Bianca   |2010-08-09 04:29:23
:woohoo: :woohoo: :woohoo:
wa norway   |2010-08-09 08:57:20
jamani sio wote tulioko norway washamba huyo tu na mashebedu yake msameheni
Anonymous   |2010-08-10 08:08:11
Hii haa sio Norway hii lazma Sweden Norway hakuna vizee vishari...
Anonymous  - re: re:   |2010-08-08 21:19:14
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
MMH! NYUMBA NDOGO SANA MPAKA POTI YA MTOTO IKO SITTING ROOM.


acha kukurupuka wewe , sio poti hiyo ni bimbo chair ya mtoto wakati
anajifunza kukaa.utasutwa mchana kweupe.



he he heeee, atuonyeshe yakwake kubwa lol!
Anonymous  - re:   |2010-08-08 21:23:53
Anonymous wrote:
Ikke för er? Skiftetbord uone ya nini? Watu wa Norway na kinorweigean cha
kujifunzia ukubwani kwenye "ukimbizi" mna shida sana. Hii
blog ya Mange personal ataweka anachotaka si lazima awe anashindana na
mtu skaffar dig ett liv or as we say in English, get a life. Ps: wanao
wamepitia na kutumia hivyo vitu kwa pesa ya social ya ukimbizi aka
Bidrag usituchoshe hapa.


na kweli utadhani kaulizwa angefungua blog yake enzi hizo tuone na sio
kuleta mashauzz usenge humu ndani, shwain wahed!!
Anonymous  - re:   |2010-08-09 03:53:34
Anonymous wrote:
wala sishangai sana nlmezaa kabda yako watoto wangu vyote wamepitia hivyo
waonyeshe mabifu wako wa bongo wa europen utupati. ikke for os.
mbona sijaona skiftebord??


WALEWALE!! Kakwambia anakuonyesha ili akuringishie. kukaa kwako europe
akujakusaidia. wanawake wengine ovyoooo. Mnamchukia hata msiemjua.
Yaani kwa hii msg uliyotuma inaonyesha kiasi gani ulivyo mshari.
Anonymous  - re:   |2010-08-09 04:04:18
Anonymous wrote:
we nawe ni dhiki zako u, aliyekuambia watu waliojifungulia bongo hivyo vitu
hawana ni nani? ndio nyie nyie kina 'i was' lakini mfukoni hamna kitu.


YAANI BORA UMWELEZE SHOSTI. YAANI ETI "WONYESHE MABIFU WAKO WA BONGO WA
EUROPEN HUTUPATI". Puzuuzi sana huyu, hajui bongo maisha
tambarare. ye anadhani kama huko europe kufanya vibarua vitano. Hana
lolote. mshamba tu.
Anonymous   |2010-08-10 17:39:26
sisi watanzania tuna matatizo sana.dunia ya klleo kuna bongo au ulaya?as long as
unapesa utapata kila kitu,elimikeni wandugu na nimegundua wanaojibishanahuku
wengi washamba maanaa hata kukaa nje ya nchi hakuwassidii lolote,napenda sana
watu wanaokaa nje mambo yao safi na wala hutawasikia wanajishaua,kuna wengine
hata picha hawaweki though tunajua wna maisha mazuri sasa wenzangu na mimi ni
kutoana kasoro na umbea tu badala ya kuinuana.watanzania tupendane jamani kama
wewe unajua zaidi muelimishe mwenzako na unayeelimishwa kubali hilo na penye
kizuri sifia tuadidimizana ndio maana hatuendelei
Anonymous  - re:   |2010-08-09 04:06:16
Anonymous wrote:
Kigoma imeingiaje? Sijui katika bichwa lako Lenten akili finyu wakimbizi
wapo Kigoma tu? Au na wewe ndo moja wa wakimbizi wa kujilipua huko majuu
ndo maana akili yako chovu? Kusoma huwezi, point hazishiki hata kukaa
kimya pia unashindwa? Shut up or better yet, rudi shule ukasome. Eti
Kigoma... Jinga la wapi wewe hata current affairs zinakushonda ku-keep
up...


Nimekupenda shostiii. nilitaka nikusaidie kujibu. bora umempa vipande
vyake. eti kigomaa!!! aaah!!!!!
Anonymous   |2010-08-09 05:08:33
hao ni wadosi jamani unanunua then wanakuja home kukufungia....
Anonymous   |2010-08-09 05:08:42
ama kweli wenye nacho wataongezewa!
DadaMkubwa   |2010-08-09 05:33:05
Jamani yule aliyesema poti sebureni kanichekesha mie ni mshamba na sijawahi kuwa
na mtoto but vitu vingine kusima huwezi hata kuangaliaa picha pia
unashindwaa!!!!!!!
Mama U-Turn uko juu,
Please ongea na Lance atafufute
msaidizi wa Uturn kwani dogo atakapotoka tutakumiss Mange
Unatuburudisha muno
mama ........baby girl   |2010-08-09 06:54:36
mange mange, mange....... fanya kazi mama. du lakini..! nakutakia kujifungua
kwema maana unamaadui wengi sana. mimi nakutakia kila la kheri ujifungue salama
. ila du!... no comments. vitu ni vingi sana
Anonymous   |2010-08-09 08:04:18
Hivi kama huna uwezo wa hivi vitu itakuwaje..na wewe dada Mange naona kama vitu
vingine ni pesono sana kuwa unatuwekea hapa
DadaMkubwa   |2010-08-09 08:04:29
WAZO BINAFSI
Una taste nzuri na vya ukweli vya watotot pleas efikiria kufungua
duka la maana la vitu vya watotot bongo
Anonymous   |2010-08-09 09:31:06
usimdanganye, taste hana ni ana uwezo wa kuvimiliki tu.
Anonymous   |2010-08-09 10:31:36
hivi ni kama must haves (except for a baby walker-why have it now?????)
Anonymous   |2010-08-09 14:18:59
Si anataka muone, angeweza kukunua mtoto akiwa na miezi mitano, tena kuna stye
zinakuja kila miezi, sasa
kama hajanunua sasa hivi mtamuonaje hivyo vitu mtot
anavyo???+ msije kusema alipewa zawadi bure ndio maana anataka kuonyesha kwamba
yes i can LOL!!!!!
Anonymous   |2010-08-09 10:04:33
wala siyo personal kuna watu wanablog za familia tu yaani ablog nzima ni picha
za wanae na yeye tu na mumewe labda na ndugu sasa mtu anaposema mange anaweka
mpaka vitu personal sioni ubaya wowote hii ni blog yake ana uhuru wowote
....siku njema mdogo wangu nakutakia ujifungue salam

mama Tracey
Dar
Anonymous   |2010-08-09 10:32:51
i dont like the house furniture sorry! ..too predictable..not so mange!
Anonymous   |2010-08-09 10:34:01
natamani mie ndo ningekuwa kwenye hilo tumbo halafu unizae, LOL
Mtoto  - re:   |2010-08-09 12:50:09
Anonymous wrote:
natamani mie ndo ningekuwa kwenye hilo tumbo  halafu unizae, LOL


Hahahahahaahahaaaaaaaaaaaaaaaa........duh umenichekesha mdau!! LOL..wewe
ni noma!!
Lakini it's true the baby is very lucky to have parents like
mange and Lance!!
mamushka   |2010-08-09 12:59:14
JAMANI HII BLOG INANIPAGA RAHA SANA. SASA NYIE MNAOJIDAI WA EUROPE KAMAMNAVYO
MBONA HAMTUONYESHI ILI NA SIE TUHAMASIKE MPAKA MWENZENU AONESHE NDIO MUANZE
KUSEMA INAHUUUUUUUUUU?
Anonymous   |2010-08-09 17:57:18
wapiiiiii kuwa navyo mchezo wana credit cards tu full madeni macho kodo kwa wivu
wapiiiiiiiiiii wakati mnawaza muende SALE wapi wenzenu wawaza wakatumie wapi kwa
ambao ndo kwanza wapo tumboni hata hawajatoka mpo hapo
Anonymous   |2010-08-09 13:42:56
du!jamani acheni ushamba,hamna walker hapo!!kama ni hivo vidude viwili
alivyosema hajui kazi yake..hivo ni vitoy,unamtandikia mtoto chini analala,uku
akivichezea.sio walker..sasa picha ipi kuna walker hapo??
Anonymous   |2010-08-09 20:23:56
We base mshamba wa kupibdukia hizo mbili ni Babu walkers zote ukimtandikia mtoto
hizo atachezea vipi na ushamba wako... We sijui ndo wale washamba malnukeni wa
Scandnavia aka Sverige ?
Anonymous   |2010-08-09 14:11:19
mama nunua as much as u want kabla sale haijaisha!!
Anonymous   |2010-08-09 14:15:02
uko juu mange KENZOOOO ataenjoy sana.
held og lykke.
MLA VUMBI SUGU     |2010-08-09 16:01:29
HAHAHAAAAA,this blog is hot,yaani nacheka saana mnavyoshushuana Mange ana
mashauzi ndio na ndio tunayoyapenda .....,kwani ni vibaya
Mange akikosolewa??kukosoa kunajenga,msimsifie tuu......anyway nimeona
vitu ambavyo huku Tandahimba hamna......Mange upo juu,thanx
kwa kutuonyesha your life....ukija Bongo usiache kufika Tanda...tuna
zawadi a mtoto wadau wako....ila kuna vumbije?
Anonymous   |2010-08-09 17:15:48
hivi uko Dubai kuna mahouse-girls!?!?!?!!?
Anonymous   |2010-08-10 20:12:27
Wapo wanatoka Philipine, ukitaka alale kwako haya ukitaka aondoke jioni sawa,
bei sawa na bure, si unaona hiyo mijibaba mizima ya kiphilipine inafunga kitanda
cha mtoto
Anonymous  - re:   |2010-08-09 19:50:13
Anonymous wrote:
hivi uko Dubai kuna mahouse-girls!?!?!?!!?

House girl ni Mange mwenyewe.
Anonymous   |2010-08-09 19:58:44
acheni kusifia ujinga sasa, kitu gani hasa hapo alichonunuah apo kilozidi $100.
kama sio vyote ndiyo hiyo bei
vitu kama hivyo dubai ni kama bure tu.
Anonymous   |2010-08-09 21:00:55
unavyooo?!?!?! kama unavyo tuma pichaaaa na wewe tukusifie!!!
Anonymous   |2010-08-09 22:44:54
mange i'll send more pix for my baby stuff naona mi nawe tupo sawa niligo crazy
nilivyokua na mimba n guess what sijatumia vyote mhhh i guess ni ushamba au
ulimbukeni wa mimba so i kno the feeelings bt its nt bad at all as long as
unapesa ya kununua am nr rich tho like u naishi maisha ya kawaida ila nilisema
mwanangu apate vitu vyote ninavyovitamani....lol
Anonymous   |2010-08-10 07:45:37
mwenzenu ya kiherehere cha mtoto wa kwanza yalinikuta. nikanunua pram pale mtaa
wa samora wakati nakaa tabata mawenzi. nililiendesha dakika tano tu lakini jinsi
nilivyokwama kwenye michanga, ubishoo uliniisha nikabadilisha na njia na
sikulitumia tena. kwahiyo kama mnavyosema, wakati mwingine ni kiherehere cha
mimba/uzazi tu unajikuta unanunua hata visivyohitajika ili kujishaua.
Anonymous  - re:   |2010-08-10 02:11:12
Anonymous wrote:
mwenzio anawaza mavi tu maana si unajua kazi yake Homecentres zile..nnnya
kila kona ataacha kuwaza poti



nafwa mieeee uuuwiii ha ha haaaa..., wana u turn kiboko!!
Anonymous  - re:   |2010-08-10 02:16:27
Anonymous wrote:
hivi uko Dubai kuna mahouse-girls!?!?!?!!?



kuna ma maids!!
Anonymous  - re:   |2010-08-10 04:00:02
Anonymous wrote:
acheni kusifia ujinga sasa, kitu gani hasa hapo alichonunuah apo kilozidi
$100. kama sio vyote ndiyo hiyo bei
vitu kama hivyo dubai ni kama
bure tu.


Wenye wivu kama wewe wajinyonge. Kwani kitu lazima ununue bei kubwa ndio
usifie. mbona vitu vya bei rahisi vizuri. yaani hapo juu ww ni wivu
tu unakusumbua. Mange hajasema kanunua bei mbaya. Siwapendi watu kama
nyie, kila kitu mnaonea wivu mpaka vya mtoto. Pambafuuuuuuu
Anonymous  - re:   |2010-08-10 04:03:58
Anonymous wrote:
acheni kusifia ujinga sasa, kitu gani hasa hapo alichonunuah apo kilozidi
$100. kama sio vyote ndiyo hiyo bei
vitu kama hivyo dubai ni kama
bure tu.


WATU WANAPENDA JIDANGAYA SANA ETI DUBAI VITU BEI RAHISI. LABDA MWENZETU
UTUELEZE HUKO UNAKONUNUA RAHISI NA WENGINE TWENDE. SABABU SIWAELEWI
WATU MLIVYO NA WIVU WA AJABU. HIVI NA AKILI YAKO HIVYO VITU VYOTE VIWE
US$100 yaani Hela ya UAE 365? KWELI USILO LIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA.
Anonymous   |2010-08-10 06:23:52
mamas & Papas is expensive, Naishi Uk so ninajua hiyo baby bouncer unaweza kuta
hata £100, seriously! baby stroller yenyewe waz around £235 no joke so i dont
think huko dubai zitakuwa chini ya hii bei niliyotaja.
Anonymous   |2010-08-10 17:46:38
chicco too is damn expensive but vinadumu sana.good products frm italy
Anonymous   |2010-08-10 20:09:37
Dubai si dublicate tuu shida iko wapi? kwa pound 300 umejaza chumba cha mtoto,
chezeya wazungu bahili wapare nyuma
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook