Who's Online
We have 300 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6924
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6926
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53998
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933565
Login



MAMBO YA KUFATILIANA YA NINI JAMANI??
Written by Mange   
Sunday, 08 August 2010 20:36

Ya Ulaya ya Ulaya,     **********why do people mind someone's business?*****

So here its the big question ,not sure if u will post it or not!

Why do people like minding  peoples's business?why bother with someone who you hadly know?the thing is i  have notice so many people bother na maisha ya watu from the time they wake up till they sleep.

watu wana uwezo wa kuamka na kuanza kumtafuta binadamu mwenzio anakaa wapi ,(how does it concern you?)anakula nini(,how u get bothered?)anavaa nini(whats your business?) anasoma wapi?(aint you the fee payer?)  wewe maisha yako kama umeyapatia sana kwanini unapata muda wapi wa kusema watu and kumtafuta mtu.? baadhi ya watu bongo,baadhi nimesema. ni kukaa na kufatia maisha ya watu wanaokaaa outside Tanzania.ni nini jamani ?

Mambo ya kufatiliana  ni ya nini jamani umbea majungu na fitina muache,kama una tatizo na mtu kwanini usimfuate kiungwana tu na mkaongea?Ya Ulaya,ya Ulaya,  ya nini kuyafatilia kuanzia asubuhi mi paka jioni.kama majungu kila kona yapo,kama umbea kila kona upo sasa iweje mambo ya wenzako umeyavalia kanga?kwa wale mnaokaa na kujenga taifa thats good for you

*********so when will this hatred stop then?*********

ps:pls dont post email add


Kuwasiliana na uturn tuma email kwenda This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

 

 

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-08-08 15:46:42
Kweli kabisa ndugu yangu, watu wangekuwa wanalipwa kwa kuwa wambea,
wasengenyaji, wafuatiliaji wa maisha ya watu kwa kweli kungekuwa hakuna maskini
maana wengi wangekuwa mamilionea. Too bad wanakaribisha umasikini maana muda
wanaokaa kupiga majungu huyo wanayemfuatilia yuko buuuuuusy yake yanamuendea.
Anonymous   |2010-08-08 16:44:14
Na bado wanataka wajue bwana wako anacheat na nani,utafikiri mibwana yao
hainunue virusi hapo mjini.
Anonymous   |2010-08-08 16:53:58
Kinachoniachaga hoi mie ni kwamba waweza sikia habari inayokuhusu
imesambaaaaaaaa, mbaya zaidi haina ukweli wowote ndani yake. Unabaki unashangaa
hivi ni mimi au wamechanganya majina...lol. Mbona jamani sisi huku hatunaga muda
wa kukaa tunawasema watu walioko nyumbaniiii(TZ)?????? Why hating?????
Anonymous   |2010-08-09 04:42:45
:angry: :angry: :angry: :angry:
Anonymous   |2010-08-08 16:58:09
ulijuaje wanakufatilia kama na wewe hujyafatilia ya watu.
kwii kwii   |2010-08-08 20:04:08
:woohoo: umefulia unaona noma wakisimuliana hehee...
kabebe box mwaya achana
na binadam hawaishi neno
Anonymous   |2010-08-09 06:11:35
Teh teh fungasha virago rudi bongo mapema kazi ya box imekushinda
Anonymous   |2010-08-09 07:19:43
LOOL..ila ni kweli kuna binadamu kazi kufuatilia maisha ya watu..unavaa
nini ,, unapata wapi hela,, mume wako yukoje ? anafanya kazi wapi ..and
sort of things ..yan hafanyi ya kwake kutwa kushinda kuuliza habari za
mtu fulani..
Mi kuna mtu naona anaingia anga zangu kwa sana kunifuatilia
maisha yangu ..na ni wifi yangu .....nafikiria adhabu gani..maana
nikimchapa maumivu yataisha !! yan mmh bado nawaza adhabu yake !!!
anada   |2010-08-09 08:39:41
:unsure: unataka kumchapa wifi eeh shoga?!! mmh
labda anataka tu muwe marafiki
mawifi
Anonymous   |2010-08-24 14:36:27
WEWE UNAYE TAKA KUMCHA WIFI YAKO ANGALIA USIJE UKACHAPWA WEWE MAANA NI
MGOMBANISHI WEWE LOOOOOOOOHHHHHHHHH
Anonymous   |2010-08-09 08:48:57
Wa Ulaya tatizio wanapata hela za bure sijui Council no skul no wat?Unategemea
nini zaidi ya Majungu looh Ulaya sio tija nendeni basi shule maana ni bure
Anonymous   |2010-08-09 09:11:24
WEWE KAMA UNA KAZI YAKO NZURI AU NI MWANAFUNZI UNAOGOPA NINI WATU
WAKIKUFUATILIA.TATIZO SIKU HIZI DADA WENGI WA KITANZANIA HUKU ULAYA
WANAFANYA KAZI KWENYE MADANGURO KWA TAMAA ZA KUVAA GUCCI, PRADA AU JIMMY CHOO.

COVER UP:
SIKU ZOTE HAWA MAZUNGUMZO YAO YAMETAWALIWA NA UONGO- NI MENEJA SEHEMU
FULANI AU BWANA WANGU ANALIPWA VIZURI,BWANA WANGU KANINUNULIA HIKI
AU KILE.

PARANOIA:
SASA HAWA IKITOKEA UKAWAULIZA UNAFANYA WAPI KAZI? KIATU CHAKO UMENUNUA
WAPI? AU UNAISHI WAPI? INAKUAWA UGOMVI KWAMBA
TUMESHAANZA KUFUAILIANA.
ACHENI KUFANYA KAZI KWENYE MADANGURO NA HUO
WASI WASI WENU UTAISHA.
Anonymous   |2010-08-09 18:03:24
asanteeeeeeeee mdau chukua uno hilo maaaaaaa aldji aladji aladji
mbondombondombondo aaah aladji aladji yaanni mibusu mwaaaaaah wanajijua na
ufunyonzo wao wakimfatilia hehehehehehehe bishosti alieposti ungetoa jina kama
we kijike kweli wakufwatilie una nini mtu wenyenwe pafyumu mpaka ufunuliwe ndio
upewe eti waulaya thats so yesterday GROW UP mmeondonka kwa mbwembwe mnapigika
pa kuweka nyuso hamna mmebaki majungu tu kwenye mitandao eeeeeh na bado vyeti
hamna, ujuzi wa kuhudumia wagonjwa na kuchambisha mavi wapiiiiiiiiiiiii wapo wa
kufwatiliwa bwana wala hawalongi sio wewe mchamba kwa gunzi
Anonymous   |2010-08-09 14:58:07
Wewe ndiye mbea wa kwanza, kwani umejuaje kuwa watu wanafuatilia mambo ya
wengine kama kwanza wewe mwenyewe siye mwizi numbari wani???

Yakiwashinda na
kuumbuliwa ndo mnatokeza nje kusingizia.Wote wawe wa bongo au ulaya wamezaliwa
na baba na mama mmoja tu hakuna cha nini wala nini.
Anonymous   |2010-08-09 15:12:13
kwahiyo wewe hapo juu ndio wale wanaofatilia watu au sio maana ndio naona
umejikubali.unapaa wapi huo muda sasa badala ya kukaa na kupanga mitikasi
yako?au ndio umbea na majungu?
Anonymous   |2010-08-09 15:21:14
Wa Ulaya tatizio wanapata hela za bure sijui Council no skul no
wat?Unategemea
nini zaidi ya Majungu looh Ulaya sio tija nendeni basi shule
maana ni bure


kweli wewe ni mjinga na usiye na maisha yako utakuwa
unataabika sana.unabakia kuangalia picha ndizo zinakupa presha.au ndio kutwa wa
ulaya wakija bongo unabakia meza mate?
wewe inakuhusu nini kama nyumba ni
ya council mtu kapewana analipiwa na serikali wewe ungepewa ungekataa au ndio
kujiandikia upumbavu tu?
ungepewa child suppert ya mtoto
ungekaataa?ungeliwa shule je ungekataa au kazi ni kuandika tu ili mradi wewe
huna hizo huduma ndio unabakia kuongea tu.
wewe unapata huo muda wapi kufatilia
mambo y aulaya na kuyashilia kidedea hivo kama sio muda unapoteza wa kujiboresha
maisha.watu wanaishi wawezavyo kama ni bahati yake mtu kampa kupewa hivo labda
siku moja na mungu atakuona na wewe lakini kukaa na roho mbaya kama mitaro
haifai bwana.
Anonymous   |2010-08-09 15:25:01


na kweli kutwa kuunda maujungu ya watu.watu wanaishi
wawezavyo.tujijue kufatili maisha ya kwetu wenyewe sio kukaa na
kufatilia nani yuko na nani?sijui huyu ana nini?au ndio kapata nini
maishani.wewe inakuhusu nini sasa.wewe kwanini usifatilie mambo yako.hebu
tupishe
 kazi kukaa kwenye net na kuunza kutembeza vipingamizi
utabakia hivo hivo na saa na siku ndio hazigandi kufatilia ya watu na yako
umeweka pozi.tuache h
Anonymous   |2010-08-09 19:15:45
hicho kiingereza chako mmmmmhhhhhhh unajua maneno herufi unapatia ila
kuandika ilete maana utakayo unachemsha hapo

anakula nini(,how u get bothered?

anasoma wapi?(aint you the fee payer?)


ila kweli sema wamesema nini imekuumaje mbona husemi
unaogopa
wasikujue? wakatoa siri zako pia?
Anonymous   |2010-08-10 04:40:45
sema wewe bishosti rafikie mwanamulozi haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa anayo ya
kuyaficha yanayomkereketa aweke uwani si tutakimbia maana kama wafunuaji Dar
mpaka..........weweweweiyaaaaaaaaaaaaa
Anonymous   |2010-08-10 02:19:39
yesuu!
Anonymous  - re:   |2010-08-10 02:20:43
Anonymous wrote:
asanteeeeeeeee mdau chukua uno hilo maaaaaaa aldji aladji aladji
mbondombondombondo aaah aladji aladji yaanni mibusu mwaaaaaah wanajijua
na ufunyonzo wao wakimfatilia hehehehehehehe bishosti alieposti
ungetoa jina kama we kijike kweli wakufwatilie una nini mtu wenyenwe
pafyumu mpaka ufunuliwe ndio upewe eti waulaya thats so yesterday GROW
UP mmeondonka kwa mbwembwe mnapigika pa kuweka nyuso hamna mmebaki majungu
tu kwenye mitandao eeeeeh na bado vyeti hamna, ujuzi wa kuhudumia
wagonjwa na kuchambisha mavi wapiiiiiiiiiiiii wapo wa kufwatiliwa
bwana
wala hawalongi sio wewe mchamba kwa gunzi




yesuu!!
Anonymous   |2010-08-10 10:00:42
yani whats funny sijui niseme ni stereotyping?
Anyway, i live in the uk (not in
a council flat, no benefits ofcourse working and my husband working and ofcourse
i dont mingle with Tznians), so wanaosema wa ulaya mmepigika really thats
stereotying kuna watu wanafanya mambo yao ya maana just that hawajimix na
wbaongo wengine kwahiyo hamjui. Kuna wale kila blogs wao same circle of people
(unemployed, uneducated and on benefit) we all gossip bt umbea una grades kuna
wale ambao hawawezi kuappreciate wanaponda tu watu
Anonymous  - re:   |2010-08-10 10:52:04
asanteeeeeeeee mdau chukua uno hilo maaaaaaa aldji aladji
aladji
mbondombondombondo aaah aladji aladji yaanni mibusu mwaaaaaah
wanajijua na
ufunyonzo wao wakimfatilia hehehehehehehe bishosti
alieposti ungetoa jina kama
we kijike kweli wakufwatilie una nini mtu
wenyenwe pafyumu mpaka ufunuliwe ndio
upewe eti waulaya thats
so yesterday GROW UP mmeondonka kwa mbwembwe mnapigika
pa kuweka
nyuso hamna mmebaki majungu tu kwenye mitandao eeeeeh na bado
vyeti
hamna, ujuzi wa kuhudumia wagonjwa na kuchambisha
mavi wapiiiiiiiiiiiii wapo wa
kufwatiliwa bwana wala hawalongi sio
wewe mchamba kwa gunzi
Anonymous wrote:
asanteeeeeeeee mdau chukua uno hilo maaaaaaa aldji aladji aladji
mbondombondombondo aaah aladji aladji yaanni mibusu mwaaaaaah wanajijua
na ufunyonzo wao wakimfatilia hehehehehehehe bishosti alieposti
ungetoa jina kama we kijike kweli ...
Anonymous  - re:   |2010-08-10 13:37:51
Anonymous wrote:
Wa Ulaya tatizio wanapata hela za bure sijui Council no skul no
wat?Unategemea
nini zaidi ya Majungu looh Ulaya sio tija nendeni basi
shule maana ni bure


kweli wewe ni mjinga na usiye na maisha
yako utakuwa unataabika sana.unabakia kuangalia picha ndizo
zinakupa presha.au ndio kutwa wa ulaya wakija bongo unabakia meza
mate?
wewe inakuhusu nini kama nyumba ni ya council mtu kapewana
analipiwa na serikali wewe ungepewa ungekataa au ndio kujiandikia
upumbavu tu?
ungepewa child suppert ya mtoto ungekaataa?ungeliwa
shule je ungekataa au kazi ni kuandika tu ili mradi wewe huna hizo
huduma ndio unabakia kuongea tu.
wewe unapata huo muda wapi kufatilia
mambo y aulaya na kuyashilia kidedea hivo kama sio muda unapoteza
wa kujiboresha maisha.watu wanaishi wawezavyo kama ni bahati yake mtu
kampa kupewa hivo labd...
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook