Who's Online
We have 289 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday7025
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week7027
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month54099
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933666
Login



HAPPY BIRTHDAY MISS WORLD AFRICA 2005.....NANCY SUMARI...
Written by Mange   
Saturday, 07 August 2010 17:15

 

Today pretty little , nancy Sumari celebrating her bday…

As u might know, I discovered Nancy back in 2005 and got her to participate in my show miss dar Indian ocean, where she was first runner up, she went on to be crowned miss kinondoni 2005 , miss Tanzania 2005 and was finally crowned miss World Africa 2005.

Hakuna miss Tanzania yoyote aliefanya vizuri kwenye mashindano ya miss world zaidi ya Nancy Sumari…

I remember meeting her at millennium tower mida ya saa kumi na mbili hivi akiwa na dada yake naakaya, nilimfata na kumuomba na kumwambia yeye ni mzuri sana na kwamba aje kushiriki show yangu ya miss dar Indian ocean, nilikuwa na rafiki yangu kisa that day na pamoja tuliweza kum-convince Nancy ashiriki miss Tanzania… and well, she went on to become the most successful miss tanzania kwenye miss world…

Happy birthday pretty face…

 

Comments
Add New Search
Katarine   |2010-08-07 12:28:34
Happy birthday Mamiii I do love you even if I will never meet you, not your type
(superstar) just someone from Uswazi
Anonymous   |2010-08-07 12:32:20
happy bday dia mungu akupe maisha mema na marefu
Anonymous   |2010-08-07 13:05:43
How old is she
koku   |2010-08-07 13:10:49
happy bd nancy...stay cute...
Anonymous   |2010-08-07 14:42:36
eh wow mi nilizani ulijipendekeza kwa nancy na mastar kumbe ulijuana nao
zamani..happy bday nancy n congrats mange i didnt know you had a day job
p   |2010-08-07 15:03:08
happy birthday nancy u r so cute
mTuKuTu  - Happy Birthday Nancy   |2010-08-07 15:24:20
Happy Birthday Gal,
May Lord bless you wt good health, happiness & success
all days of ur life under the sun.

Have a very bst birthday ever.
Anonymous   |2010-08-07 17:05:27
una bahati alikusemesha au alikusikiliza mwanamke ana dharau na nyodo huyu!!kama
hanyi anajisikia sana
Anonymous   |2010-08-07 20:05:01
kipindi hicho hakuwa super star alikuwa hajulikani kwa hiyo kuongea naye
haikuwa ishu!
Anonymous   |2010-08-08 03:16:08
mange kwa kujifagilia wala huonagi noma.....hapo ndipo napokupendea
Anonymous   |2010-08-08 20:11:42
eehe mange malizia, halafu baadae wakili ...
Anonymous   |2010-08-09 06:43:57
happy birthday mtoto wa kimeru. ila wameru ni noma huku arusha tunawaogopa kama
ukoma!!!!!!!!!! but i know ur not in that type
Anonymous   |2010-08-09 09:20:45
Happy Bday mamii umezaliwa same date na watoto wangu Twins Issa na Ibrahim so na
wewe ni mwanangu love you baby
Anonymous   |2010-09-21 11:33:02
hee kumbe mange ndio ulimtoa nancy?kanzi nzuri dada hongera..na kisa nae ni
besti wako long time kihivyo eeh?safi sana inapendeza!je ni kweli nancy
aliwatenga wale wadada aliokuwa anakaa nao sinza kipindi cha miss
tanzania?lazima utakuwa unafahamu ukweli!
sabriy abdallah  - kurlulayn     |2010-12-19 11:20:15
:kiss: halloooooooooooo/!swety beaty like you i ve never c n in ma world
you look dem hotn chick.let mi tel wan thin"g your the one dat u can
make mi forgott ebt evrything especialy stressssssssss so plz can
igotch ur no......
?epo
suhuba ghafur  - mambo   |2011-01-03 08:36:03
nakutakia maisha mema.
Hamid   |2011-12-20 06:54:35
Nancy you are the One ever.....
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook