yes 21st century woman, SINGLE, INDEPENDENT and making them Dollars like never before, She is single because she doesnt neeed a man to complete herself like many who think like they are nothing without a man...SHE IS HOOOOOOOOOOT at its best
hii nayo ni potoshop au ya ukweli? kama ni ya ukweli kajaliwa lakini neno la perfection usingelitumia ni kufuru malaika tu ndo perfect pia pengine ni perfect kwako lakini sio kwa wote angevaa nguo za kujistili ndo angekuwa parfect kwangu ingawa ni mzuri sana lakini "no one is parfect" my dear lol :kiss:
mmezidi na nyie kila kitu kukosoa nani asiejua theres no 1 perfect?kwa taarifa inayosifiwa ni hii picha imefanywa kiustadi sana uelewa mdogoooo mxxx MSITUCHOSHE HAPA NA PUMBA ZENU!kujifanya mnajuaaa
shosti hebu waambie maana hiyo picha ya uso tu kakosa cha kukosoa oooooooh kujistili utajistili sana bidada kwanza uonyeshe cha kuonyesha unacho..hebu tupishe na supamodo wetu mwenyewe mpoleeeee baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wala hana muda na mtu mtaumia sana mwaka huu maana ndio kwanza ameanza heeeeeee lenu hilo
halafu wewe..sio potoshop ni photshop
pili sio kustili ni kujistiri
tatu si parfect ni perfect
kiinglish hujui ..kiswahili nacho holaaa...kazi kuandika upuuzi tu..wewe unavaaje au ukoje ?
mshamba wee
hii nayo ni potoshop au ya ukweli? kama ni ya ukweli kajaliwa lakini neno la perfection usingelitumia ni kufuru malaika tu ndo perfect pia pengine ni perfect kwako lakini sio kwa wote angevaa nguo za kujistili ndo angekuwa parfect kwangu ingawa ni mzuri sana lakini "no one is parfect" my dear lol :kiss:
Aha sema wewe mwaego.WABONGO HATUNA JEMA KILA LITUNDIKWALO LAZMA TULITAFUTIE KASORO.HUU NI WIVU TUU HAMNA JINGINE.LETENI ZA KWENU TUZIONE MNAOJUA KUJISTIRI BASIII.BLOOODY HELL KWA HAKIKA TUNABOA MTIMA NYONGO WA NINI!
halafu wewe..sio potoshop ni photshop
pili sio kustili ni kujistiri
tatu si
parfect ni perfect
kiinglish hujui ..kiswahili nacho holaaa...kazi kuandika
upuuzi tu..wewe unavaaje au ukoje ?
mshamba wee
Ndio umekosoa nn na mwenyewe umechapia ni PHOTOSHOP.