Huyu dada kila nimuonapo amependeza kuanzia nguo,viatu mpk pochi..unajua kupiga pamba..you always look smart kiukweli..
Natumai wengine watajifunza kupitia kwako.KEEP IT UP
Wewe uliye na mguu kama mcheza mpira cha muhimu ni confidence yako hapa ofcn kuna mdada ana mguu mbaya mpaka mwenyewe anasemaga eti MUNGU Alimpatie mikono mguuni but anapiga mini ni balaa kwani anasema hata akiuficha hautakaa unenepe so jiamini tuu mtoto wa kike ukivaa nguo nzuri itaficha huo mguu
DadaMkubwa