Tutokee hapa mwenye pesa ukimuona utamjua? Hii mbona ni juzi juzi tu Mange alikwenda kutembea kwao upareni? Au make up ndo imekuzuga? Kwa hiyo wanaong'ara wote wana mapesa? Bloody fool!!!
Hapa hela bado zilikuwa hazijakukaa umetoka kishamba kidogo
wewe ndie mshamba. hiyo picha wa si zamani, ilikuwa mda mfupi kabla ya harusi ya mange. alienda kijijini kwao kutafuta baraka. Uache andika usiyo yajua. inaelekea wewe si mdau wa uturn, ndio wale wanaokurupuka tu, ungekuwa mdau hii picha ungekuwa ushaiona humu ndani. utajibebaaaaa
yea sie wadau origino tunaikumbuka hii alienda kupata baraka za wazazi naona wnegine mmeibukia jana tu hata hamuelewi tuulizeni sie wadau orijino toka siku ya kwanza post ya aisha senkoro ya wanene na wembamba inawekwa tulikuwepo mpk kesho bado tupo... UTURN OYEEEEEEEEEE
NB: we mama uturn mdau wa milioni moja utume zawadi basi hata ka blackberry mwanawane
heee,ushakuwa WAKILI wa Mange???anakulipa au wataka kazi ya ku baby sit soon??unalo hiloo shost
Umejuaje shosti. kweli nataka kazi ya ubaby sitter na hivi na mimi niko DUBAI. kazi ninayofanya ktka company fulani nalipwa mshahara wa dola 4000, na nyumba nalipiwa, na mtoto nasomeshewa. na usafir juu wa kunipeleka na kunirudisha ofcn. Bado havinitoshi. nikiongeza na part time ya ubaby sitter nitakuwa nimeongeza kipato cha familia. ningekuwa nakujua ningekupa zawadi kwa kupatia kabisa ninalotaka kwa mange. Mange boss wangu, uko juu. hata waseme nn, ingawa sikujui nitakutetea mpaka kesho. Uturn oyeeeee