|
WYCLEF JEAN KUWA RAISI WA HAITI??? LOLS.... |
|
Written by Mange
|
|
Wednesday, 04 August 2010 20:04 |
|

Ok ,this is actually funny….CNN pia wana ripoti kwamba wyclef anaweza kushinda uchaguzi na kuwa raisi wa Haiti….
Mmmmh…..i wonder what the qualifications for being president are over there…
Ndio huyu huyu Wyclef alievua nguo stejini nchini Kenya,Nairobi mwishoni mwa mwaka jana leo hii anatatajiwa kuwa president,hehehe,,,, tena ndio huyu huyu aliehisiwa kutumia pesa za charity za kusaidia nchi yake kwa manufaa yake mwenyewe….leo hii anakuwa prezidar…lol…
Anyways, ndo mambo ya dunia hayo…
Anyways,mdau kuna msanii yoyote wa kitanzania unaemuona anaweza kuja kuwa raisi wetu huko mbeleni?
|