|
BILAL MASHAUZI AKA BILAL SEDUCTION.... |
|
Written by Mange
|
|
Wednesday, 04 August 2010 19:30 |
|

Mange, mie nilitaka kumuiintroduce bilal kwa wale wasiomjua.
huyu bibie hamkosi kwenye shughuli za kitchen party na vibao kata, wengi hupenda kumualika sababu anafurahisha sana genge, hata shughuli yako ya bridal shower alikuwepo.
Yani bilal ndio haswa kiongozi wa vijana wote wanaoishi maisha kama yake. Yuko juu ile mbaya!
Shosti huku kinondoni tunakufil mno na blogi yako yani internet zote huku page ya kwanza ukifuungua in uturni.
Dada aziza- kinondoni
|