Who's Online
We have 348 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6790
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6792
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53864
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933431
Login



KINA DADA HAWA SIWAELEWI.....
Written by Mange   
Wednesday, 04 August 2010 19:12

Mange habari za kazi ..
Naomba wenzangu ,mnisaide mnisaidie kina dada hawa siwaelewi..mie ni mama nina mtoto mmoja naishi Dar.
Nilikuwa na rafiki zangu ambao tunafanya nao kazi  bahati mbaya tulitofautiana na mie kuamua kukaa kimya na kuangalia maisha yangu na family yangu.ila nikawa nawapa salamu kwa tabasamu jema tu ingawa waliyonifanyia ni makubwa kusadikika.
Cha ajabu tangu nimeacha urafiki nao ni miaka 3 sasa imepita lakini kila wakikutana na mtu wa karibu yangu wananiongelea kwa maneno mabaya na kunichafua jina langu.
Wakikutana na ndugu zangu wa karibu vivyo hivyo wananisema vibaya sana Mbaya zaidi hata kwa mme wang u wamekuwa wakiongea mambo ambayo hayapo kabisa na mme wangu kunambia niwe makini nao.Nikipita sehemu lazima waseme  hata sielewi ni sababu gani inayowafanya wanifanyie hivyo
Ingawa wao tabia zao ni zile leo wako na  mwanaume huyu kesho yule mradi maisha yaende 
Nifanye nini mie mwenzenu wananikosesha  raha hawa.?
Naomba email yangu usibandike
asanet

Comments
Add New Search
koku   |2010-08-04 14:29:18
ukiona hivyo wameshatembea na mumeo...pole weee
koku   |2010-08-04 14:33:01
ndo mnataka u-slave utuishe..hii itakuwa ngumu.....
Anonymous   |2010-08-04 15:25:15
Shost mbona unauliza majibu? ukimkamata mmoja umtie mangumi halafu umuambie
aache kukufuata fuata wote watavyata mkia, midemu mingine hata ukinyamaza lazima
ikufuatie nyuma kama mikia..tandika tu!!! kama mdau wa kwanza alivyokuambia,
watakupeleka mbio hadi waione naniliu ya mumeo....nakuambia kutokana na uzoefu,
yalinikuta ndo mana, tokea nimpige mmoja hadi leo wenzie wana nidhamu kishenzi
halafu kama vile wanataka ushost urudi...staki hata wanisogelee
Anonymous   |2010-08-04 19:39:20
inamanisha unawatesa,unawanyima raha ndo mana kutwa wanakusema roho zinawauma,we
endelea kutabasamu tu mana unazidi kuwauwa ukiwachoka wafumuwe.
Anonymous   |2010-08-04 20:10:28
BINADAMU USIPOWAAMBIA WANAONA UNAWAOPGOPA WAPE UKWELI THEN WAPOTEZEE
MAZIMA.WATASAGA LAMI KUTAFUTA MABWANA!
Anonymous   |2010-08-05 15:56:16
kula 5 mdau.na kipigo juu.maana watu washenzi sana.ukikaa kimya wanaendelea
kuongea
Nancy   |2010-08-05 03:52:40
Hao wana wivu na maisha yako hawana lolote la maana washenzi tu. kwa nini
Binadamu hatupendi nkuona watu wanafanikiwa ..watakufa na vijiba vyao vya
roho..ungekuwa maneno yanao shost pole ungekoma.lakini shukuru mungu kakupa
pumzi ya bure ,mme kazi ,mtoto kwanini wasione wivu na maisha yao ya kutanga
tanga acha waseme mwisho watazeeka na kuchoka.
Mimi   |2010-08-05 04:19:05
Hahahahah!!!!!!!
Lol! mdau umenikumbusha yaliyonikuta mimi, walianza maneno
hivyo hivyo then mimi nikawa nayapata ila sikuwauliza wala nini.. nikiwakuta
salamu kama kawa ila hamna story, wakawa wanajiuliza mbona sijibishani nao? Mimi
kimya, wakaanza kujirudi wenyewe wakati mimi sina shida nao.... wewe la muhimu
ni kunyamaza na kuwaangalia tu always silence kill the cat..... watasema at the
end utamuona mmoja baada ya mwingine akija kujipendekeza..
solange   |2010-08-05 06:03:50
wanawake sisi tuna mambo sana, anony unaesema dawa ni kuwatwanga umenena, mie
nilikuwa na mashoga zangu wakaniletea hayo hayo mambo ya kike kike, oohh anvaa
sana, oohh mshahara wake wote unaishilia kwenye handbags za maana oohh hivi na
vile, nikajitenga nao walivyoona nimejitengamaneno ndio yakazidi cku
nilipomtwanga mmoja wao heshima debe na sasa yanataka urafiki tuurudishe, nani
ana muda mchafu tena?wanawake cc kazi tunayoo haswwaaa.
Anonymous   |2010-08-05 07:18:29
angushia mmoja wao kosovo la kufa mtu halafu uwe na rb yako mapemaa ili
akiendashtaki tuu asesekwe ndani na manundu yake usoni
Noela  - ms   |2010-08-05 07:35:18
Pole dada kwa yanayokusibu.
Achna nao,Ila bwana kuna vitu vingine vinauzi
sana,Kwanini watu hatubadiliki?hasa sisi wanawake?Hawana lolote hao washezi
zaidi ya wivu na wewe.

Cha msingi achana nao,watahangaika watachoka wanyewe
wala usiwajibu nausiwaonyeshe u mnyonge ila ukiona yanakuwa 2 much watembezee
kichapo watakuwa na adabu na wewe.Kuna watu ni vigumu sana kuishi nao ikiwa na
hao ni wamoja wapo,hupenda kuwaona wenzao wakikosa raha lakini ndiyo tupo nao
kayika jamii.

Tafuta namna ya kuishi nao pasipo kukuumiza.
Anonymous   |2010-08-05 08:04:04
dada mimi naomba utupe majina yao na wanapofanyia kazi..ili tuweze kuwachambua
vizuri na ujumbe uwafikie sawa sawa..
Anonymous   |2010-08-05 08:19:05
ebu twambie kwanza mlikosana nini, kisha tuamue kama tununue kesi kipare au
vipi.
Anonymous  - re:   |2010-08-05 09:15:49
Anonymous wrote:
ebu twambie kwanza mlikosana nini, kisha tuamue kama tununue kesi kipare au
vipi.

hahaha umenichekesha kuna mambo ambayo huwa ni past kwa vile kila mtu na
time yake ilibidi waachane kwa amani.
Ila sisi kina dada
tuna matatizo sana
Shar  - re:   |2010-08-05 09:21:22
Anonymous wrote:
dada mimi naomba utupe majina yao na wanapofanyia kazi..ili tuweze
kuwachambua vizuri na ujumbe uwafikie sawa sawa..


akitaja majina yao na kwa vile walishamuwekea bifu wanaweza kumtoa roho
y..hao si wema kwake hata kidogo ..ingawa natamani atupe majina
yao tumsaidie kuwatafuta
Anonymous  - re: re:   |2010-08-05 13:02:37
Shar wrote:
Anonymous wrote:
dada mimi naomba utupe majina yao na wanapofanyia kazi..ili tuweze
kuwachambua vizuri na ujumbe uwafikie sawa sawa..


akitaja majina yao na kwa vile walishamuwekea bifu wanaweza kumtoa roho
y..hao si wema kwake hata kidogo ..ingawa natamani atupe majina
yao tumsaidie kuwatafuta




tupe tu majina yao..yan kupitia huku UTURN tunavyojua ku comment
watajirekebisha tu !!...ikiwezekana mchape mmoja
kidogo afurahi..mwenzake atajifunza watakuogopa kuliko kitu chochote
!!
Anonymous   |2010-08-05 14:52:29
Kill them with silence. It is the best answer for a fool. Na pia ishi maisha
yako kwa raha zako zote unazozijua. Wanasumbuliwa na WIVU mpaka macho yao
yamegeuka ya kijani. Hao ndio binadamu. Wanataka kila ulichonacho na wanauliza
ni kwa nini wewe! Usiwajibu wala kuwamind. Na kila mara ongea na Mungu wako
....atawasabisha waivae aibu kama nguo!
Anonymous   |2010-08-05 16:07:42
yaani wanawake wa kitz tuna matatizo sana urafiki unakua mzuri mkiwa bado
hamjaolewa mwenzenu akiolewa basi maneno yanaanza badala ya kufurahi.mimi
sijaolewa lakini to be honest natamani sana na mtu akiolewa huwa namfurahia
sana,binadamu mjue ya kuwa unavyomfurahia mwenzako akifanikiwa kitu na kumuombea
baraka na wewe zitakurudia tu maana unapoendeleza chuki na majungu unajifukuzia
baraka zako sasa hao wewe dada achana nao,ni wivu unawasumbua na jua kabisa
always watu wanaokuchukia au kukuongelea ubaya kuna kitu umewapita na
kuwazidi.wewe wajibu kwa vitendo wanavyoendelea kusaka mabwana na kubadilisha
kama mitumba wewe ndio unazidi kuwa na furaha na baraka ndani ya ndoa yako na
ikizidi waambie ukweli na isipofanya kazi kama wadau wengi walivyosema wadunde
tu na kama huwezi kuwapiga watume watu.sometimes ubaya ubaya tu.
Anonymous  - re:   |2010-08-06 04:26:40
Anonymous wrote:
yaani wanawake wa kitz tuna matatizo sana urafiki unakua mzuri mkiwa bado
hamjaolewa mwenzenu akiolewa basi maneno yanaanza badala
ya kufurahi.mimi sijaolewa lakini to be honest natamani sana na mtu
akiolewa huwa namfurahia sana,binadamu mjue ya kuwa unavyomfurahia
mwenzako akifanikiwa kitu na kumuombea baraka na wewe zitakurudia tu
maana unapoendeleza chuki na majungu unajifukuzia baraka zako sasa hao
wewe dada achana nao,ni wivu unawasumbua na jua kabisa always watu
wanaokuchukia au kukuongelea ubaya kuna kitu umewapita na kuwazidi.wewe
wajibu kwa vitendo wanavyoendelea kusaka mabwana na kubadilisha kama
mitumba wewe ndio unazidi kuwa na furaha na baraka ndani ya ndoa yako na
ikizidi waambie ukweli na isipofanya kazi kama wadau wengi walivyosema
wadunde tu na kama huwezi kuwapiga watume watu.sometimes ubaya ubaya tu.


nimepen...
Anonymous   |2010-08-06 05:42:20
mimi bado nasisitiza tupe majina yao na wanapofanyia kazi..tuwafikishie
ujumbe ..na umchape mmoja wao vizuri ili afurahi ..watakuheshimu
kuliko unavyofikiria !!
Yan muda wote huo unawanyamazia ..na mpaka sasa
wanaongea na mumeo..usipowachapa kidogo..shoga na mume
wako watamchukua au unawagopa :angry: ??
???
Anonymous   |2010-08-06 06:21:19
hao ni washenzi sana we achana nao usiumize kichwa kwaajili ya wajinga
ukishindana na mjinga na wewe utakuwa mjinga! so wewe kuwa biz na mambo yako
cha msingi mume wako aelewe tabia zao ili ikitokea wanamtega basi ajue ni
kwaajili ya visa! ila wanawake tuna mambo
Anonymous  - re:   |2010-08-06 12:14:57
Anonymous wrote:
mimi bado nasisitiza tupe majina yao na wanapofanyia kazi..tuwafikishie
ujumbe ..na umchape mmoja wao vizuri ili afurahi ..watakuheshimu
kuliko unavyofikiria !!
Yan muda wote huo unawanyamazia ..na mpaka sasa
wanaongea na mumeo..usipowachapa kidogo..shoga na mume
wako watamchukua au unawagopa :angry: ??
???


natamani kuwapa majina na sehemu ila watajua ni mie mpendwa ..
Anonymous  - re: re:   |2010-08-07 04:57:33
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
mimi bado nasisitiza tupe majina yao na wanapofanyia kazi..tuwafikishie
ujumbe ..na umchape mmoja wao vizuri ili afurahi ..watakuheshimu
kuliko unavyofikiria !!
Yan muda wote huo unawanyamazia ..na mpaka sasa
wanaongea na mumeo..usipowachapa kidogo..shoga na mume
wako watamchukua au unawagopa :angry: ??[/size][/size]???


natamani kuwapa majina na sehemu ila watajua ni mie mpendwa ..




[[size=x-large]size=large]wakijua si ndio vizuri bwana..ujumbe
ufike sawa sawa...??
Hao ni wapuuzi tu..ingekua na wewe tu .. sawa..ila
mpaka kwa mume wanamuongelesha ..watamuiba uwiiiiii ili wakukomoe
???
Mume anauma LOOLLL...
Anonymous  - re:   |2010-08-06 12:16:33
[quote=Anonymous]hao ni washenzi sana we achana nao usiumize kichwa kwaajili ya
wajinga ukishindana na mjinga na wewe utakuwa mjinga! so wewe kuwa biz na mambo
yako cha msingi mume wako aelewe tabia zao ili ikitokea wanamtega basi ajue ni
kwaajili ya visa! ila wanawake tuna mambo[/quote

Asante kwa advice
Anonymous   |2010-08-06 16:52:48
kama vipi kama vipi choma kisu mmoja
Anonymous   |2010-08-27 09:04:51
Jikaze tu Mungu Anakulinda,Anakusaidia kwa kila kitu kibaya.
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook