aaaaaaaaaaaaa lol hizi picha lazima zinawatia wazimu watoto wa mitaa ya kati bongo!!! haaaaaaaaaaaa wala msione wivu sio kila mtu mamtoni anaishi kama hivi
Haya mliosema oooh vichupi kule scandinavia mbona hata Dubai blog nayo inavichupi?? msiwatukane mamba wakati hamjavuka mto, au ndio namna mnavyoadvertise ile blog nanyi??