nimefurahi leo nimeona picha yako. nilikumiss mama mdhungu. kusema ukweli toka moyoni mwangu nisipokuta umepost kitu najihisi kama nimepungua kiungo kimoja. wewe ni wa muhimu katika kufanya siku yangu iwe njema.
ahaa wadau mliocheka na hii komenti yangu mwenzenu ndio nlivofikira atiii mana now mange kaingia mtamboni watatoa half,mdogo wake lance nae akitembelea mbuga za wanyama ataoa half mmasai..ukoo goes on and on ki half half kwi kwi ss mtoa wao alie half half akikutana na half half sijui itaitwa qurter qurter :D jamani mm mwenyewe naandika hivi mbavu sina
Mbogela upoooo apoo
unalo hilo utaguna sana ukimaliza fanya kuwahi mida inaenda na hujaenda kwenye kibarua chako cha tatu cha leo bado ile night shift...heeeeeee LAKO HILO BIBI umerpwelea kama uji wa jana kwa roho yako mbaya pa kusifia sifia bibi hukondi enhnheeeeeeeee au ndo nyie ukikonda una ng.... ukinenepa umeanza dozi...haaaaaaaaaa we guna wenzio rrrrrrrrrrrrrrrrrrhaaaaaaaaaaaaaa
wa-Iran wazuri na Dubai ndio kwao[/quote][quote=Mkora]Hahaha RUDI SHULE UKASOME or better yet, try google facts before you comment. Iranian ni Persians na kwao ni Iran toka lini Iranians wakatokea Dubai?
NAFIKIRI MDAU HAPO JUU AMEMAANISHA KUWA WAIRAN WAMEJAA DUBAI. SIO KWAMBA NDIO WANAKOTOKA.
Ndio maana mimi nisipoingia humu nakonda wada wa blog hii mpo juu kama mwashoki, madongo yenu mimi hoi kwikwikwikw, natamani niwaone maana hapa mbavu zangu zinachanika kwa kicheko
jamani kwani amesema wairanian wanatoka dubai au? amesema tu ni half muiranian and half mmarekani. i think wee ndo urudi shule coz i dnt see anythin wrong with wat she said. looking good mama u-turn.
Hiyo familia ya mumemo is toooo excepting jamani! With what's going on bwtn USA na hayo mainchi yaki Iran, Iraq Afghanistan bado wanaruhusu watoto wao waolewe nao. Mungu awabariki sana. Wangekua watanzania bado watu wangekua masingle single....haaahaaa
heeee na ww acha kumrusha roho mange wa watu lance ulimjulia wapi iyo 3yrs ago?mhh na iyo 3yr ago he was stil wit mange as far as we knw..ww chunga sana mange anajua ngumi asije kumaliza,muulzie A alivofanywa na apo alikua na tumbo akiwa fiti cjui inakuaje
JAMANI in a month time ntasafir kwenda dubai ila ntakua on transit for abt 10hrs,je mama u turn/any mdau unaweza niambia any affordable mall that i can go atlst fanya shopin ya vitu kama viatu,nguo etc,ntafikia millenium hotel so any mall close to ths hotel wil b apreviatd
Nimewasikia wabongo wanaokata book huku Ulaya na USA waliokuwa wanaplan kurudi home via Dubai wanasema wanapita kwa Mange mi nikadhani wanakuja kwako, kumbe wanamaanisha wako on transit via DuBAi,
naona blog ya nani imeamua. wiki nzima tunaonyeshwa vichupi na mapozi. Mbona wadau wote tumeng'ang'ania humu kule hatuendi kucomment. vibaya hivyo nyie. tukamsifie nae kidogo.
Wewe mama Muthungu,,,,,jamani mbona hujapost vitu vipya,,,mwenzio niko adicted na u turn kila dakika nachungulia kama kuna kipya umeweka,,,,,, alafu comments za humu jamani mnatuvunja mbavuuuu!! Uwiiii,,,,, nikikosa internet najihisi nimepungukiwa kitu flani,,, Ujue samtym nikilala mapema(B4 9pm) waga nakurupuka usiku nawasha blackberry nacheki kama kuna kitu umeposti...... teh teh teh tehhhhhh!!!!! But Kip dat intertainment up mama!!!!!! Hapa nawaza ukijifungua cjui tutapata same service maana najua kazi ya kulea!! Ila yote heri tu,,,, pia ol da best!!!!
naona blog ya nani imeamua. wiki nzima tunaonyeshwa vichupi na mapozi. Mbona wadau wote tumeng'ang'ania humu kule hatuendi kucomment. vibaya hivyo nyie. tukamsifie nae kidogo.
Ni blog gani hiyo nami nakaangalie hivyo vichupi jameni haaa?!?!?!? Muwe mnafikisha ujumbe kamili basi mkileta mafunbo mnaharibu wengine tunakuwa hatuelewi.
wa-Iran wazuri na Dubai ndio kwao[/quote][quote=Mkora]Hahaha RUDI SHULE UKASOME or better yet, try google facts before you comment. Iranian ni Persians na kwao ni Iran toka lini Iranians wakatokea Dubai?
NAFIKIRI MDAU HAPO JUU AMEMAANISHA KUWA WAIRAN WAMEJAA DUBAI. SIO KWAMBA NDIO WANAKOTOKA.
asante saaana swiiti kwa kumfahamisha ..huyo Mora keshafika hata hio Dubai?? tuulize sie tunaoezeekea dubai ..acha kukurupuka na kukosoa wenzio
tena waambie shostito weeee afike dubai mbona angepiga simu CNN hata kama anajua maana ya hiyo cnn nini nini..heeee wapiiiiiiiiiiii..bora angekurupuka shoga..hao ndio wanaooota wakatoka nje kukimbiza mwizi wakaanza kukimbizwa wao maana katoka uchi watu wakajua mwanga....na si unajua charambe bora mbagara hapa nyumba mbele jala...huyo mbele dampo kabisa...asiejua Napkin akafikri toilet paper....weweiyaaaaaaaaa wapi mamaaa na ngai..NANA mama ya kipande..mamaa nanuka pesa ile yenyewe sio kwa shilingi mwaita bali kwa Dirm hahahahahaha waelezee wanuka mk...waso kitoko
Mnazeekea Dibai na umaskini mtupu maisha si kama ya Mange punguani we. Watu tunamajumba Bahrain leo itakuwa Dubai. Dibai wenyewe mnatutegemea wa Abu Dhabi ba waBahraini tuwakomboe. Na next time uwe unaandika vitu vinavyoeleweka sio B halafu unamaanisha Z. Naona ndo nyie mlieozeshwa mkiwa miaka 11 hata shule hukuwahi kwenda. Get your facts right nyamafu.
KWA TAARIFA YENU DUBAI SIJUI ABUDHABI SIO ULAYA HUKO NI USWAHILINI!! SORRY I WILL BE THE ONE TO TELL YOU THE TRUTH, SO KOMENI KUJISIFIA NIKO ULAYA WAKATI UKO UARABUNI, UARABUNI HATA KIINGLISH HAMUUONGEI UNAITA ULAYA HIYO HEBU MSISHUSHE HADHI YA ULAYA KWETU UK, USA NA EUROPE. MPO HAPO!!! :angry:
naona blog ya nani imeamua. wiki nzima tunaonyeshwa vichupi na mapozi. Mbona wadau wote tumeng'ang'ania humu kule hatuendi kucomment. vibaya hivyo nyie. tukamsifie nae kidogo.[/color][/quote]
Ni blog gani hiyo nami nakaangalie hivyo vichupi jameni haaa?!?!?!? Muwe mnafikisha ujumbe kamili basi mkileta mafunbo mnaharibu wengine tunakuwa hatuelewi.[/quote][quote=Rene][quote=Anonymous][co lor=blue]n aona blog ya nani imeamua. wiki nzima tunaonyeshwa vichupi na mapozi. Mbona wadau wote tumeng'ang'ania humu kule hatuendi kucomment. vibaya hivyo nyie. tukamsifie nae kidogo.
Ni blog gani hiyo nami nakaangalie hivyo vichupi jameni haaa?!?!?!? Muwe mnafikisha ujumbe kamili basi mkileta mafunbo mnaharibu wengine tunakuwa hatuelewi.
naona blog ya nani imeamua. wiki nzima tunaonyeshwa vichupi na mapozi. Mbona wadau wote tumeng'ang'ania humu kule hatuendi kucomment. vibaya hivyo nyie. tukamsifie nae kidogo.
[color=purple]
[b] nipe jina la hiyp blog jamni mimi zaidi ya uturn na ile ya zeze sina blog nizijuazo ..jamani wadau wenzangu habr nimwagieni majina ya mablog mengine pleaaase...[/b][/color]
WEDDING FOR MILLIONER:::
CHELSEA CLINTONS AND MARC MEZVINSKY.(wedding dress from designe of VERA WANG.)wedding dress cost 25,000 dollar!!!!! uwiiiiiiiiiiiiii,
wedding reception cost 5million dollar!!!!! nomaaaaaaaa
chezeaaaaaaaaa wewe, weraweraaaaaaaaaa.
CONGRATULATION CHELSEA. Mtoto wa pekee everz
WEDDING FOR MILLIONER:::
CHELSEA CLINTONS AND MARC MEZVINSKY.(wedding dress from designe of VERA WANG.)wedding dress cost 25,000 dollar!!!!! uwiiiiiiiiiiiiii,
wedding reception cost 5million dollar!!!!! nomaaaaaaaa
chezeaaaaaaaaa wewe, weraweraaaaaaaaaa.
CONGRATULATION CHELSEA. Mtoto wa pekee everz
Mijitu mingine bwana. Fungua blog yako na wewe uweke haya maupuuzi yako. Watu tunaongelea breask reduction wewe unatuletea kina Chelsea, who cares??? Sura ka ngumi.
Shosti unakasirika kusifiwa Chelsea wedding kunaniiii??? dada wewe nungahembe nini?? kuna mchina kapanga nyumba ya jirani yuko single tuambie tukuonganishe tena kama umereduce matiti kwa mchina ni poa tuu dada.
mdau umenena kama waarabu ndio wanaolipa kama yule demu wa salasala na mimaziwa yake kutwa dibai but hajawahi hata kufikiria hao mabwana akiwapata wamafnyie operation ya manyonyo.na anawauzaga wenzake kwa mabwana.alikua anatoka na mzee wa itifaki sasa hivi balozi.majungu yaemjaa yule binti kila mtu kwake mbaya halafu wana chama chaocha majungu na umalaya.
Mijitu mingine bwana. Fungua blog yako na wewe uweke haya maupuuzi yako. Watu tunaongelea breask reduction wewe unatuletea kina Chelsea, who cares??? Sura ka ngumi.[/quote]
LOL!, jamani mbavu zanguuuu, I'd love to see that sura ngumi, it must really hard!