Who's Online
We have 280 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday7056
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week7058
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month54130
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933697
Login



NAHITAJI KUPUNGUZA UKUMBWA WA MATITI YANGU NIENDE WAPI??
Written by Mange   
Tuesday, 03 August 2010 10:10

Mange na uturners naomba mnisaidie nimechoka kutukanwa matusi. mwanaume kila siku ananitukana nima maziwa makubwa mabaya na yamelala. kuniacha hataki. hivi jamani kweli inawezekana kufanya operation ya kupunguza maziwa? niko tayari kugharamia hela yoyote ile  ili mradi niondokane na hii adha. naomba msaada wa kunieleza ni wapi naweza fanya hiyo operation, ikiwa nchi jirani na tanzania nitashukuru zaidi kama south africa, UAE, Kenya au kwingineko. ikinilazimu nitaenda hata mbali.  ahsanteni.

mange usiweke email yangu


Kuwasiliana na uturn tuma email kwenda This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it



Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-08-03 05:19:56
shost uskonde mamaaa hata hapo south wanafanya hela yako tuuu ingia google
tafuta hospitali south kwa raha zako na wale mnaojidai Mungu watu msianze
kuponda na kujifanya mnamjua saana Mungu wakati dhambi zote ni sawa kuchonga pua
kuiba kutukanana kwa Mungu zote sawa, mie na mpango wa kuongeza kijiwowo cha
kishkaji ndo nadunduliza hivyoo, so mama kafanyeeeeee yatakuwa na
mvutoooooooooooo wa hatari
Anonymous   |2010-08-04 08:05:27
DR 90210...!!!!!1
Anonymous   |2010-08-03 06:47:40
Maaa! Usifanye operartion eti kwa sababu ya mtu, do it for urself n ur
happiness. If that will make u happy then do if its to plz that one sikushauri
coz unaweza kufanya ukapata complication ingawa sikuombei ukajilaumu bure,
anayekutukana! think more coz unaweza ufanye na aendelee,
Anonymous   |2010-08-03 06:52:47
heee nimetoka kuangalia kipindi kuhusu surgery waliolodhesha nchi ambazo sio
safe kufanyia surgery ikiwemo south africa,kwa ushauri dada nenda UK,wana the
best surgeons.Lakini kwanini usinunue special bra
Anonymous   |2010-08-03 10:30:43
Hata ikiwa special kutoka heaven, akiivua kitu kitalala tu.
Anonymous   |2010-08-03 12:03:21
i watched that prog to called the ugly face of beauty...and its true they say
the 5 countries that people have more complications after surgery were...south
africa,poland,thailand cant remember the other two my advise go to uk i think
its a bit safe cos the surgeons are tightly regulated incase of any fault u can
sue the docs and the after care is good too...i work at a clinic called the
hospital group in london and one of the procedure they do amongst many others is
breast reduction ..so u can check it out also another clinic called mya is
reputable just be careful tho of cheap deals as they say in cosmetic surgey you
get what u pay for so research properly about the surgeon and the clinic ok if u
need any help let us know

hope this helped abit
anon   |2010-08-03 19:11:00
Please my dear uliyetoa huu ushauri can you give me more info sababu on friday
ninaenda kufanya consultation(the hospiatl group) nao ya breast reduction as
they the best on business?Mimi pia I have saggy breast and little bigger not
happy with myself hata sidiria huwa sivui nikawa na my partner its killing me
lol,actually my problem is deeper than that as I get eczema nisipovaa sidiria
coz of the joto chini ya my boobs.I'm thinking of doing it purely for myself
foremost I just want to be confortable with myself.
Anonymous   |2010-08-03 07:12:51
Kama unataka kufanya,ufanye kwa ajili yako,sio kwa sababu mume anakutukana.Kwani
wanaume hawaishi kutafuta sababu,yakishapunguzwa,siku nyengine
atakwambia,makalio yako madogo,na siku nyengine atakwambia k yako haina
test.fikiria kabla ya kuamua.
Anonymous     |2010-08-03 07:26:44
jamani mbavu zangu mie mdau juu hapo umenimaliza kbsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa walai
mh Mange Mrungu akughenje na hii blog lol
anony   |2010-08-03 10:10:30
sasa cha kukumaliza nini hapo???
Anonymous   |2010-08-03 07:36:00
Acha ujinga wewe, mwambie hilo ni zigo lake, usiende kupunguza wala nini, wakati
anakutongoza hakuyaona, wenye maziwa madogo si wapo kwanini asiwafuate mshamba
nini achana nae, msiuuuuuuuuuuuuuuuuuu
nancy   |2010-08-03 08:14:49
i don prefer kwa wewe kufanya surgery ..unaweza pata madhara baadae huyo mmeo
akupende vile ulivyo..
Ni kweli mungu hapendi wewe mdau hapo juu usimdanganye
mwenzio
solange   |2010-08-03 10:05:11
hiyo pesa akasaidie kwao kjjn, nani kamwambia mwnaume anaridhishwa?
Anonymous  - re:   |2010-08-03 10:09:01
nancy wrote:
i don prefer kwa wewe kufanya surgery ..unaweza pata madhara baadae huyo
mmeo akupende vile ulivyo..
Ni kweli mungu hapendi wewe mdau hapo
juu usimdanganye mwenzio


kwani wewe hujawahifanya dhambi?? unafiki tuuu afanye kitu roho
inapendaaaaa
Anonymous   |2010-08-03 10:26:36
haaa unafanya kumridhisha mwanaume?Hahahahahaha akikuacha ukapata mwingine
anaetaka makubwa yaliolala utafanyaje??jamani jiridhishe na kujipenda mwenyewe
binafsi sikushauri ufanye surgery zina complications sana if u can avoid it
better do that! fanya kama kuna ulazima yani inakuathiri afya yako haya mambo ya
urembo hapana. Tafuta bra nzuri uvae udunde mwanaume akupende unconditionally
kama hayapendi maziwa yako atambae mbele!!
Anonymous   |2010-08-03 10:42:30
I just got mine redused like two years ago. I had some severe back problems so I
had to, sikuwa na jinsi. Ilinigarimu $7000 lakini kwa vile nilikuwa na
insurance, I ended up paying $1000. This was in Virginia, USA.B4 that, I was a
size 44DD. Kama unajua size za bra, thats a very huge size. Kupata bra za size
hii ni ngumu sana.Nilikuwa nakoma. Ukizingatia mie ni mfupi (4feet 8").
Nilikuwa sithubutu kuvaa tube outfits.Now I'm a size 34C. Nina bra kama 100 hivi
maana its soo easy kupata bra ndogo. Watu walinitisha kuwa I might not be able
to breast feed. Dr. wangu akaniambia thats a lie. A year later I had a baby boy
na nilinyonyesha bila wasiwasi na wala hayajalala. Bado yako vilevile.
Anonymous   |2010-08-03 23:51:47
It makes sense kama una condition kama yako. I knw mtu aliyekuwa na matatizo ya
mgongo pia na ilibidi afanyiwe. Lakidi do not do it kwa ajili ya mwanaume. Maake
kesho atakwambia miguu yako mirefu kaipunguze.
Mona   |2010-08-03 11:32:12
Hivi wewe unaenda kujitia kasheshe kuridhisha mwanaume? Dada naona huwajui
vizuri. Kama unataka fanya lakini sio sababu ya mwanaume.
Anonymous   |2010-08-03 11:37:19
mama anajua wapi
Anonymous   |2010-08-03 11:48:06
Mhhh kwakwelio sikushauri ufanye kitu kumridhisha mwanaume...utafanya
vingapi....lol, wakati anakutongoza si aliyaona yamelala kama anataka ya saa
sita si atafute wako mtaani kibao, mama onyesha msimamo wako kama vipi atambae
zake....anatakiwa akupende for who you are and unatakiwa ujipende na kujiaccept
jinsi ulivyo otherwise mmmmmh shauriyo
katarine   |2010-08-03 12:43:09
KAMA WADAU HAPO JUU KUFANYA KWA KUMRIDHISHA MWANAUME UNACHEMKA BI
SHOSTI...UNGEKUWA UNAFANYA KWA AJILI YAKO MWENYEWE FINE
LOOHH!

WANAUME KWELI HUWAJUI EHEEEE
Anonymous   |2010-08-03 14:37:26
waulize wote waliofanya, wamefanya kwa ajili ya wanaume wawapende au vp? au
usuper star mambo ya wawamarekani
black and white??? michael jackson
Anonymous   |2010-08-03 14:44:42
mimi nimezaa watoto wawili kwa operetion na sikunyonyesha, sikutaka kupanuka
wala maziwa yangu yalale, kwani nchi niliyokuwepo unachangua wewe unataka kuzaa
kwa operetion au kawaida so my hubby and moi tukakubaliana hivyo na wala uwezi
kuona mshono kwenye tumbo langu maana wanakata kwa chini sio bongo shono hilo
shape ya tupo yote kwisha haaaa, lol
Anonymous   |2010-08-03 15:47:52
unasema usichokijua, mimi nimefanya operation bongo na wamenikata chini ya tumbo
mtu awezi ona, usidhanie kila kitu bongo ni mchemsho, nina mtu namjua kafanyiwa
huko wanaita majuu ni kutoka kitovuni hadi chini, unyonyeshe mwanao usinyonyeshe
hiyo ni juu yako wala sio sifa mbele ya watu waelewaji.
Salma   |2010-08-04 09:50:13
we mdada anon hapo juu!!!

pliz,,, Pliz, plizzzzz

naomba nielekeze
bongo sehemu gani ulifanya oprtn na haijaacha alama. Really I
need that 4 ma lil sis, jas email mi hiyo Hospital na Dr. wako
aliekufanyia. Ma email salmajuma30@yahoo.com ndo kujuzana huko.Maana nina rafiki zangu bongo walifanyiwa na kuna alama
imebaki ingawa cio kubwa na haionekani sanaaa bt cjapenda!!!!

Sal
Anonymous   |2010-08-03 19:27:58
wewe mdau acha kuongea usilolijua afu nje ya mada..kama K.. yako kubwa ni kubwa
tu ata uzae kwa operation! maumbile ya kike ni elastic baada ya kujifungua
ukipata after care nzuri hamna kitu kupanuka na inarudia size yake ile ile! acha
mashauzi mbuzi wakati vifaa huna! na kutonyonyesha mtoto sio sifa ksbb maziwa
ya mama ni zaidi ya hizo formula uzokuwa unalisha wanao. matokeo yake watoto
wanakua wajinga na afya mgogoro kumbe uliwabania kitu kidogo tu! Nyonyo! kafie
mbele mshamba mkubwa wewe!
Anonymous   |2010-08-04 11:14:00
inaelekea wewe anony wa hapo juu kimekuuma sana, dada wa watu kuandika vitu
vyake hee, wanawake wa bongo bwana ila akifanya mmarekani ni sawa utumwaa huo,
dada ni maisha yako umenyonyesha ujanyonyesha ni wewe na watoto wako, hakuna wa
kukusumbua. big up kila mtu anafanya roho inapenda wera weraaaaaaaaaa
Anonymous   |2010-08-04 13:00:44
jamani mnatia huruma unafanya operation ili usinenepe na kutokuwa na maiwa
makubwa>yote kwajili ya urembo?u have to pay a small prize for bringing ur
bundle of joy in the world mnapotea sana! nimezaa watoto wawili naturally( THE
SAFEST WAY) my post body is just fabolous..sina maalama nina figa nzuri sana
tumbo limeingia ndani nipo very sexy na wanangu wote wamenyonya mpk 2 yrs.
Anonymous   |2010-08-03 14:53:02
Mhhhhhhhhhh kweli dunia ina mambo jamani du!!! Yaaaaaaaaani sipati picha kabisa
hapo amua mwenyewe si kwa kumridhisha huyo dume maana si ajabu ameishakuwa na
jike lingine wewe anakuzingua tu hapo.
Anonymous  - re:   |2010-08-03 15:44:55
Anonymous wrote:
mimi nimezaa watoto wawili kwa operetion na sikunyonyesha, sikutaka
kupanuka wala maziwa yangu yalale, kwani nchi niliyokuwepo unachangua
wewe unataka kuzaa kwa operetion au kawaida so my hubby and moi
tukakubaliana hivyo na wala uwezi kuona mshono kwenye tumbo langu maana
wanakata kwa chini sio bongo shono hilo shape ya tupo yote kwisha
haaaa, lol



Wewe nawe upo off topic badala ya kumpa mtu ushauri unaanza mashauzi
kwamba hukuzaa natural umeulizwa?Au ndio kujishembenua hapa nani
anakujua hapa......... Ovyoooo hebu jibu topic hukoooooooo
Anonymous   |2010-08-04 09:20:15
WEWE ULIEMJIBU HUYO ROHO INAKWIPITA BONGO NANI ATAKUSIKILIZA, MWACHE AONGEE
ANAVYOTAKA WANGAPI WANAENDA NJE YA TOPIC AU KUANDIKA YEYE KAFANYA HIVYO NI WIVU,
MBONA MASUPER STAR WANAFANYA HIVYO JLO? KWA KUWA MMBONGO KAFANYA HIVYO AFAHI???
HOVYOOOOOOOOO UTAJIBEBA NI MAISHA YAKE, NA WEWE FANYA
Anonymous   |2010-08-05 01:29:13
wewe ndo muusika nini? weraaaaaaaaaa! sisi hatujali wewe kufanya operation
lakini hii point iko nje ya mada.. na usijishebedue hapa eti mbona kina JLO
wanafanya.. hata wao hatuwafagilii vile vile.. they are just mere people in our
lives as they dont help us with anything! :angry:
Anonymous   |2010-08-03 15:57:41
Kwa nini watu wanapenda kuwalaumu wanaume? Na wanawake je, wanaume
wakiwatongozeni nyie mnacheka cheka tu badala ya kutilia mkazo kuwa hutaki. Na
Ukiweza ng'ang'ania kuwa u-mean it. Hutaki lakini ukishaombwa namba unatoa
akikupa ofa unachukua likija kutokea la kutokea unabaki kusimulia na kulaumu
wanaume. Akili za wanawake bwana fupi kuliko na wakiwa na akili basi zinazidi
kipimo wana-endup kulaumu wanaume. Damn usibadili umbile lako. Wameshasema wadau
hapo next will be complication ktk sajari yako.
Anonymous  - re:   |2010-08-03 19:19:08
Anonymous wrote:
haaa unafanya kumridhisha mwanaume?Hahahahahaha akikuacha ukapata mwingine
anaetaka makubwa yaliolala utafanyaje??jamani jiridhishe na kujipenda
mwenyewe binafsi sikushauri ufanye surgery zina complications sana if u can
avoid it better do that! fanya kama kuna ulazima yani inakuathiri afya
yako haya mambo ya urembo hapana. Tafuta bra nzuri uvae udunde mwanaume
akupende unconditionally kama hayapendi maziwa yako atambae mbele!!

unaweza kuniambia what was involved in your surgery?mimi pia I have back
pain and also i get eczema nikiwa sivai sidiria nafikiria
kwenda kufanya surgery soon kupunguza also not happy with myself jinsi
maziwa yangu yalivyo sivuagi sidiria mbele ya mtu yoyote yule
Anonymous   |2010-08-03 23:10:16
na in the future akisema miguu yako mibaya uende ukaikate utembelee wheel chair
kabisa tujue moja! Ivi kina mama tutajikomboa lini?
nancy  - re: re:   |2010-08-04 03:54:06
Anonymous wrote:
nancy wrote:
i don prefer kwa wewe kufanya surgery ..unaweza pata madhara baadae huyo
mmeo akupende vile ulivyo..
Ni kweli mungu hapendi wewe mdau hapo juu
usimdanganye mwenzio


kwani wewe hujawahifanya dhambi?? unafiki tuuu afanye kitu roho
inapendaaaaa


Na wewe hebu acha unafiku kumdanganya mwenzio mnajifanya Ulaya life
style ..wapi na wapi kufanya surgery na wewe dada kama utaenda kufanya
hiyo surgery akili yako itakuwa haitoshi kisa umfarahishe mme na
madhara mwenyewe uyapate baadae.Michael J kaishia wapi na kurekebisha
pua zake.?
Anonymous   |2010-08-04 11:00:13
kila mtu atakufa na wewe piaaaa, mtu afanye kitu roho inapenda we ni mnafiki
sana kama mama muuza gongo ati michael j unamjua huyo tu ndo alokufa? kuna miss
brazil pia haijalishi kifo kimeumbwa ajali kazini wanakufa watoto wachanga
sembuse waongeza makalio bin nyonyoo? huna nyimbo wewe kakojoe ulale
mfyuuuuuuuu!!! shwain by the way nimechonga pua niko juu sio lile lipua langu la
zamani utadhani kibanga kampiga mkoloni loo uta jijuuuu ka huna hela kimpango
wako
Anonymous  - re: Mmmh   |2010-08-04 11:04:11
Renee wrote:
Jamani kweli kazi sana, mi nataka kuongeza manyonyo maana nikivaa nguo
sipendezi kwani nina kitambi so kinatangulia hivyo inabidi nivae
bra zenye masponge na bado naongezea na toilet paper ili yawe makubwa.
Pia ningepata nafasi ningepunguza mashavu maana ni makubwa kama
mimba ya panya haaa haaa haaa ila mume wangu anayapenda mwenyewe!!!!
ngoja nijikune kifiesta raaaaaaaaaa raaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!



njoo majuu mama kila kitu kinawezekana na hayo madhara wala sio ya
kihivyo mzungu bwana acha kabisa wana maujuziiiii
Anonymous  - re:   |2010-08-04 03:54:39
Anonymous wrote:
mimi nimezaa watoto wawili kwa operetion na sikunyonyesha, sikutaka
kupanuka wala maziwa yangu yalale, kwani nchi niliyokuwepo unachangua
wewe unataka kuzaa kwa operetion au kawaida so my hubby and moi
tukakubaliana hivyo na wala uwezi kuona mshono kwenye tumbo langu maana
wanakata kwa chini sio bongo shono hilo shape ya tupo yote kwisha
haaaa, lol


JAMANI HUYU NAE VIPI? OVYOOO MBONA UELEWEKI. NANI KAKUUULIZA. WE
MSAIDIE MDAU ALIYEOMBA USHAURI. ACHA KUJISHEBEDUA BIBIE. Na watoto
wako wakikuwa usije thubutu kuwaambia eti huku wanyonyesha kisa maziwa
yasilale. Watakuchukia sana. kunyonyesha ni njia nzuri ya kujenga
ukaribu wa mama na mtoto. labda mtu uwe na matatizo kama HIV na mengineyo
ndio usinyonyeshe. lakini sio makusudi halafu bila aibu
unajisifia. Pambafuuuuuuu
Anonymous   |2010-08-04 09:16:47
pumbafuuu mwenyewe kama wewe bado uko bongo pole, utaenda muhimbili au temeke
wenzako ndio hivyo mzungu anakusikiliza hata kama ni black ni uwamuzi ni wangu,
sio lazima kunyonyesha, sasa mbona hao wanaweka maziwa si wameamua cha ajabu ni
nini??? kalala kule utazeekea huko huko tu
Anonymous   |2010-08-05 01:39:07
matako wewe kuzeeka ni process hata uwe ulaya itakukuta tu.. mashauzi wakati
huna vifaa.. weka picha tukuchambue na manyonyo yako kama kweli bado saa sita au
yashafika saa tatu usiku unaogopa kuyaongezea! mpe mwenzio ushauri alioomba,
ukitaka hii iwe mada mtumie mama kitumbo wetu akurushe hewani.. na usisahau
picha.. nina imani una sura ngumu kama umekula simenti.. lione kwanza!
Anonymous   |2010-08-05 06:47:30
Mhh! mdada unaonekana mshamba sana wewe..unafagilia wazungu na kutoka nje ya tz
umeona deal..watu wamezaliwa huko na kukulia huko lkn they are proud na nchi yao
tz..wewe umetoka unaponda temeke na muhimbili..je ukoo wako wote umetoka.?..nyie
ndo walewale mnakataa hata wazazi wenu sababu ya uzungu eti coz ur parent
wametoka kaishozi..popote ulipo kama wewe ni mtz ni mtz tu u cant change
anything ur black and that it is.be proud of yourself and your country
mama..acha MISHEBEDUO. SORRY PEOPLE FOR GOING OUT OF THE TOPIC KANIBORE SANA
HUYU...mshamba wa sijui wa kijiji gani..kajiona kapata matako yamelia bwata.
:silly: :woohoo: :whistle: ;) :D :angry: :(
Renee  - Mmmh   |2010-08-04 04:55:34
Jamani kweli kazi sana, mi nataka kuongeza manyonyo maana nikivaa nguo sipendezi
kwani nina kitambi so kinatangulia hivyo inabidi nivae bra zenye masponge na
bado naongezea na toilet paper ili yawe makubwa. Pia ningepata nafasi
ningepunguza mashavu maana ni makubwa kama mimba ya panya haaa haaa haaa ila
mume wangu anayapenda mwenyewe!!!! ngoja nijikune kifiesta raaaaaaaaaa
raaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
Anonymous   |2010-08-04 04:56:36
mmmmmmh acheni hizoooo kwa nini watu wanapaka make up? ni kwa ajili ya
kuwaridhisha wanawake wenzao au wanaume? watu wanasuka sijui mawig malace wig
mazagazaga kibao ni ili muwe na mvuto mbele ya ma menii msijidai ati usifanye
kumridhisha mwanaume, sasa inakuwaje watu mnaenda kwa waganga wa jadi ili
mpendwe? ebu mkute binti akiwa home yani hana hata lip shine ila akisikia jamaa
anakuja weee mbio kwenye kiooo asikwambie mtu kashfa zinauma sana na ngoja haya
makalio yangu kama redio ya philps lazima yabinuke tuu mwaka huu, tena nachoma
sindano na haina madhara sababu watanyonya mafuta yangu kwenye mapaja , tumboni
then wanachoma kwenye matako baada ya miezi sita nitakuwa kama jlo au kim
kadrdashian full mvutoooo kwa raha zanguuuuuu nikipita nitizamweee, hata kama
fekii mbele kwa mbele ndo mana ya urembo, shostito kayapunguzeee hayo juu ya
nini mama raha jipe mwenyeweeeeeeeeeeeeeee
Anonymous   |2010-08-04 13:06:50
wewe huwezi linganisha kupaka make up na kufanya surgery yani una upeo mmoja
mdogo sana kweli illiteracy is a bitch! kungekuwa na make up ukipaka ur boobs
look smaller sawa ila uende ukatwe uanwekea anaesthesia mnajua amdhara gani yapo
for just kuwekea anaesthesia?alafu kumridisha mwanaume??mie sipaki make up na
kwakuwa mimi mwenyewe sitaki najua watu wanapaka make up kwakuwa wanataka
kupendeza wneyewe sio kumfurahisha mwanaume. sipaki make up i like my natural
self na kama mwanaume hataki aende zake i dont give a fuck
Anonymous   |2010-08-05 07:35:24
huna lolote nyama wee , huo upeo wako mkubwa umewahiafnya nini cha maana??
kujisheua tuu hupaki make up uringe? huna lolote dhiki zimekujaa tuu na wala
kuongeza tako si lazima ukatwe ingia google sio unakurupuka ka kibaka wa simu
mwanahizaya mkubwa, kwa raha zetu tutafanya anaekereka asage chupa anywe, mind
yo fuckin business paka usipake who care? na wala hauko kivile wa kawaidaaaa
kama maji ya bwawani suralo halina mvuto ni hayo tu chakubimbi, watu wanaomba
dua wasiachwe wanajipitisha wanahangaika wapate mtu wwe ndo wajishebedua humu
ndani ebu tupishe huko hatutaki joto!
Anonymous   |2010-08-04 09:13:39
[size=large]hata Dubai nimeona Emirates hospital wanapunguza hayo maziwa, tumbo na
kubana huko kwa bibi. Kwa hiyo mama pesa yako tu, kimbilia Dubai kwa
Mange ukatengenezwe bibie uwe full mvutooo.
[/size]
ritu  - re:   |2010-08-04 09:23:31
Anonymous wrote:
mimi nimezaa watoto wawili kwa operetion na sikunyonyesha, sikutaka
kupanuka wala maziwa yangu yalale, kwani nchi niliyokuwepo unachangua
wewe unataka kuzaa kwa operetion au kawaida so my hubby and moi
tukakubaliana hivyo na wala uwezi kuona mshono kwenye tumbo langu maana
wanakata kwa chini sio bongo shono hilo shape ya tupo yote kwisha
haaaa, lol

mpuuzi mwingine huyuu hovyooo!!! eti unajisifia ujinga zuzu mmoja
wewe??!! umewanyima watoto kunyonya sababu ya ujinga wako??mama wa aina
gani wewe ?? kumbe kuna wamama fyetuu hivi..pole bibi
Anonymous   |2010-08-04 09:36:13
mwanamke tindi babu wee
Nancy   |2010-08-04 12:06:54
Hivi hapa kwenye hii web huwa kuna wengine mataahira wanakosa vya kuandika
..mala Sijanyonyesha umeulizwa usitulete hapa usisitaduu utadhani kufa
hutakufa..watoto wanatakiwa wanyonye maziwa ya mama kwa afya.nimegundua wanawake
hatupendani hata baya tuna mshauri mwenzetu alifanye ..kweli tutakufa na roho
mbaya zetu...
Wewe dada nini hapo Juu utajiju...
Anonymous  - re:   |2010-08-04 15:08:11
Anonymous wrote:
pumbafuuu mwenyewe kama wewe bado uko bongo pole, utaenda muhimbili au
temeke wenzako ndio hivyo mzungu anakusikiliza hata kama ni black ni
uwamuzi ni wangu, sio lazima kunyonyesha, sasa mbona hao wanaweka
maziwa si wameamua cha ajabu ni nini??? kalala kule utazeekea huko huko tu


kumekucha. umeshauri kwa afya ya watoto wako si kwa mengineyo. mdomo
mchafu kama choo cha City
Anonymous   |2010-08-07 19:24:42
JIPANGUSEEEE, DADA SHUGHULI SIO YAKO WAIKATIA SARE. WERA WERAAAAAAAA
Anonymous  - re:   |2010-08-04 15:12:33
Salma wrote:
we mdada anon hapo juu!!!

pliz,,, Pliz, plizzzzz

naomba nielekeze
bongo sehemu gani ulifanya oprtn na haijaacha alama. Really I
need that 4 ma lil sis, jas email mi hiyo Hospital na Dr. wako
aliekufanyia. Ma email salmajuma30@yahoo.com ndo kujuzana huko.Maana nina rafiki zangu bongo walifanyiwa na kuna alama
imebaki ingawa cio kubwa na haionekani sanaaa bt cjapenda!!!!
Sal


Aga Khan HOSPITAL.Doctor SHafiq ni mzuri, anakufanyia operation hakuna
alama wala nini. tumbo linakuwa safi bila alama ya mshono.
Anonymous  - re:   |2010-08-04 19:12:34
Anonymous wrote:
inaelekea wewe anony wa hapo juu kimekuuma sana, dada wa watu kuandika vitu
vyake hee, wanawake wa bongo bwana ila akifanya mmarekani ni sawa
utumwaa huo, dada ni maisha yako umenyonyesha ujanyonyesha ni wewe na
watoto wako, hakuna wa kukusumbua. big up kila mtu anafanya roho inapenda
wera weraaaaaaaaaa


wamarekani ambao awanyonyeshi huwa wanapump maziwa na kumpa mtoto, sio
kwamba mtoto apati maziwa ya mama, wanaepuka mtoto asizoee
sana kunyonya toka kifuani wakati mama yuko bize na show mbalimbali na
shughuli za muziki na kuact filamu.
Anonymous  - re:   |2010-08-04 19:15:14
Salma wrote:
we mdada anon hapo juu!!!

pliz,,, Pliz, plizzzzz

naomba nielekeze
bongo sehemu gani ulifanya oprtn na haijaacha alama. Really I
need that 4 ma lil sis, jas email mi hiyo Hospital na Dr. wako
aliekufanyia. Ma email salmajuma30@yahoo.com ndo kujuzana huko.Maana nina rafiki zangu bongo walifanyiwa na kuna alama
imebaki ingawa cio kubwa na haionekani sanaaa bt cjapenda!!!!

Sal


Dr kapona yuko clinic ya wajawazito Muhimbili au Tumaini hospital
upanga, huyo aachi kovu tumboni.
Anonymous   |2010-08-06 21:00:07
hahhaha huyo mdada nimemjua hayupo bongo wala nini lol yupo uk kwa taharifa yenu
na mange najua unampata sana simuweki jina na tena ana watoto wawili wa kike
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook