naomba sana unisaidie napenda sana kuwa mwanamitindo ila tatizo linalokuja mimi ni mnene sana, nina urefu wa futi 6.2 hivi, black, nina kilo 110 naomba uniambie mbinu uliyoitumia hadi ule mwili wako mnne ukaondoka, yani siuupendi huu mwili wangu naomba unisaidie ili nami niweze kuwa modal