have been visiting this site for quet long now but today i need to ask...hiii site ni kwa ajili personal issues ,,your real luck to have what your having but dont show too much....na aina haja ya kufumba fumbo kwa mtu yeyote..if your happy be happy ,dont give people chances.thats all what i can say..keep it up and all the best.cheers-
wanapoelekewa WAKINA NANI?????msijifanye wazungu nyoo! khanga hazina class ni utamaduni wetu watanzania waone hamna hata haya leo khanga mnaona uswahili nyooo! wakati wenzenu wakina beyonce wameanza kuzivaaa mchewww
ushambaaaaaaaaaaaaaa tu na sikingine ushamba ulio nao wewe kijana hata kama ukaaaaaaaaaa uko uliko kwa miaka 20 utakua hivyo kwasababu ni mshamba sasa ni vitu gani unatuwekea hivyo
UTAJIJUAAAA
ULIONA WAPI SUPER STAR BEYONCE ANAULIZA WATU AFANYEJE VITU VYAKE????? UNATAKA TUJUE ULICHONACHO???? HAIHUSU SHOST COOL DOWN WATU HAWANA SHIDA YA HIVYO UNAVYOFIKIRI,
let a child be a child mnakuwa kama sio wanawake ndio nini kusakama watoto wasio na baba.any way hamna mtoto asiye na baba kwani hiyo mimba ilitungwa na mwanamke.shezi type nyie mnaosagia
Jamani natoka nje ya maada naombeni mtu anayejua mchora ramani za nyumba mzuri? niko nje nataka kuja nyumbani kuanza kufanya mambo kidogo, au website zao
Mhhh sasa hii jali mambe, kuna vingine unavipotezea...nakubaliana na Anony wa pili....Mungu kakujalia mume na maisha mazuri bt dnt show too much coz si kila mtu anakutakia mema...lol
mange message sent japo ujazitoa mimi niko palepale tuonyeshe maisha yako na mtot wako miaka kumi iliyopita the tucompare na adelina
miaka 10 iliyopita mange alikuwa hajazaa alikuwa anakula bata kwa mzee kimambi, sio wewe adelina miaka kumi iliyopita tayari ulikuwa unatembea na waume za watu ,yule lawyer wa zimbabwe, mpaka ikabidi uhame zimbawe,, huwezi kulinganisha maisha ya bastard wako sallyrose na mtoto wa mange, mtoto wa mnage alizaliwa marekani, sio wako umezalishwa na wajinga hapo bongo kwenyew vumbi, mtoto wa mange kakulia london sio wako kila siku anaonyeshwa baba mpya mara nicky,mara moses sarakikya sasa ndo anakula good time?mtoto mpaka leo hamjui baba yake? pambaf wewe, besdei za mtoto zenyewe zinakupelekesha mpaka ukatunywesha juice za ndooo..lol

JAMANI MAMBO YA ADELINE SI YALISHAPITWA NA WAKATI. MBONA BA...

fuck off u guys with these issues za watoto,tulishazimaliza zamani!!! watu wazima hamjieshimu.midomo kama vuvuzela.who cares about mtoto kuzaliwa wapi or wapi? so tuliozaliwa TZ sio watu? who ever wrote that shit hapo juu alaaniwe
mimi nazani mange kaweka tuu hii khanga kama wengine walivo taja zao sidhani kama kamtumia mtu fumbo jamani .
ok mimi napenda hii "MAMA NIPE RADHI KUISHI NA WATU KAZI"
au NANI KAMA MAMA?????
sasa na hizo pia ni uswahili????.mbona musicians wanachambana kwenye nyimbo zao mafumbo kibao mpaka wa kizungu sasa swahili cultural ni kwenye khanga msiponde uswahili limbukeni nyie.MAMA ZENU NA BIBI ZENU WAMEZIVAA NA WANA ZIVAA KHANGA.
mange message sent japo ujazitoa mimi niko palepale tuonyeshe maisha yako na mtot wako miaka kumi iliyopita the tucompare na adelina
miaka 10 iliyopita mange alikuwa hajazaa alikuwa anakula bata kwa mzee kimambi, sio wewe adelina miaka kumi iliyopita tayari ulikuwa unatembea na waume za watu ,yule lawyer wa zimbabwe, mpaka ikabidi uhame zimbawe,, huwezi kulinganisha maisha ya bastard wako sallyrose na mtoto wa mange, mtoto wa mnage alizaliwa marekani, sio wako umezalishwa na wajinga hapo bongo kwenyew vumbi, mtoto wa mange kakulia london sio wako kila siku anaonyeshwa baba mpya mara nicky,mara moses sarakikya sasa ndo anakula good time?mtoto mpaka leo hamjui baba yake? pambaf wewe, besdei za mtoto zenyewe zinakupelekesha mpaka ukatunywesha juice za ndooo..lol
Jamani, wamama chonde chonde ikiwa kama ulizaliwa na mwanamke, tafadhali tusiingize mambo ya watoto humu nyie wenye mabifu yenu gombaneni wenyewe waacheni watoto maana hao ni malaika hawajui chochote
Wadau wa UTURN (Wakina dada, mama, mabinti na n.k.) MJADALA KUHUSU ADELINE ULIFUNGWA SIKU NYINGI SANA. NAOMBA TENA NAWAOMBA NIKIWA NIMEPIGA MAGOTI SI VIZURI KUENDELEA KUMWANDIKA VIBAYA MTOTO WAKE. HAKUNA MTOTO ASIE NA BABA WALA HAKUNA MTOTO HARAMU, WATOTO WOTE NI WA MUNGU. MTOTO WA ADELINE HAKUPENDA KUKATALIWA NA BABA YAKE, NDIO WOTE TUNAJUA NI UPUMBAVU WA MAMA YAKE JAMES KAMKATAA MTOTO, LAKINI TUSIMHUKUMU MTOTO YY NI MALAIKA WA MUNGU HAJUI LOLOTE MASKINI. KUWENI NA MOYO WA KIKE, SISI WOTE NI WAZAZI TUNATAKIWA KUWAOMBEA WATOTO WETU. SIO KUWANYOOSHEA VIDOLE WATOTO WA WENGINE. MAISHA NI SAFARI NDEFU, WATOTO WETU BADO WADOGO, JE! TUNAJUA WATOTO WETU HUKO MBELE WATAKUAJE? MRUDIENI MUNGU, ACHENI KUMWANDAMA SALLY ROSE.
Mbona mnamsingizia kaka wa watu Joseph Kahama? kwa joseph ninayemjua mimi na dharau zake za kihaya hawezi kuwa na mtu kama Adeline. si vizuri kusingizia watu. Peter nakubali anaweza kuwa walikuwa na uhusiano.
Wanawake mkoje mbona mnatabia mbaya kiasi hicho, acheni ujinga wenu, hv mnadhani sifa kubishana kwa mambo yasiyo na maana, mange huwa nafurahi sana kuingia kwenye blog yako kila siku, hata kama nimechanganyikiwa nikipita humu nasahau kila kitu ni kucheka tu, jinsi wadada wanavyo jiachia sidhani kama kuna blog ya kushindana na hii kwa hapa tz jinsi inavyochangamsha, nyumbani sina computer nategemea ya ofcn bas j1 na j2 huwa nakosa amani kabisa, lakini mada hii ya watoto inamenikera sana naomba tuongee mambo mengine hii mada tuiache,
mi naona wote wanaomshutumu mange mswahili wao ndo waswahili. Mange kaweka kipande cha khanga anadumisha mila yetu nyie tayari mshachukulia anamsema mtu kwakuwa akili zenu ndivyo zilivyo.Mnawazakuchambana na kusutana day in day out. Badilikeni
PS: its wonderful that mange kaolewa na mzungu na bado anadumisha USWAHILI safi sana mange mambo ya kuwa limbukeni wa westerners is kutukuza SLAVERY!
my son was born in America ila nimempeleka bongo ale vumbi kidogo na kujifunza tradition ya kwao hadi imkolee ndo arudi. watoto wanaolelewa america or UK hawana adabu kupita kiasi, mtoto wako mwenyewe anaweza kukuzaba kibao mbele ya kadamnasi ukamwangalia tu maana ukimchapa unajikuta jela

WANAMWONEA MANGE, WALA MANGE SI MSWAHILI WASWAHILI SIE TUNAOKURUPUKA KUMPA ETI ANA MAFUMBO. Mama Cassandra uko juu, ebu ona watu wanavo data usipo post kitu.
wanachizika kabisaaa wakati blogu ziko zaidi ya mia, lakini hii tuu ndo mama lao funga kazi, kweli mti unaotupiwa mawe sana ndo wenye matunda ya ukweli!
my son was born in America ila nimempeleka bongo ale vumbi kidogo na kujifunza tradition ya kwao hadi imkolee ndo arudi. watoto wanaolelewa america or UK hawana adabu kupita kiasi, mtoto wako mwenyewe anaweza kukuzaba kibao mbele ya kadamnasi ukamwangalia tu maana ukimchapa unajikuta jela
mmmmh sema umemrudisha kulea majuu na box inakuwa ngumu na huna maid wa kumlea tutokee hapa

Alikuambia hawezi kusaidiana na aliyetafuta nae huyo mtoto! kutokuwa na maid na box alikuzuii kuwa na mtoto mbona wengi wanawatoto wao wanafanyaje?
umrudishe basi US kama we kijike kweli usituchoshe hapa huna ishu kakushinda umepeleka kwa bibi yake, na sio cha maadili wala vumbi mbona watoto wengi tu wa kibongo wamezaliwa huku na wana adabu zao??? unaloooooo
my son was born in America ila nimempeleka bongo ale vumbi kidogo na kujifunza tradition ya kwao hadi imkolee ndo arudi. watoto wanaolelewa america or UK hawana adabu kupita kiasi, mtoto wako mwenyewe anaweza kukuzaba kibao mbele ya kadamnasi ukamwangalia tu maana ukimchapa unajikuta jela
mmmmh sema umemrudisha kulea majuu na box inakuwa ngumu na huna maid wa kumlea tutokee hapa
Alikuambia hawezi kusaidiana na aliyetafuta nae huyo mtoto! kutokuwa na maid na box alikuzuii kuwa na mtoto mbona wengi wanawatoto wao wanafanyaje?
mange pliiz gurl..najua hapo juu watu wamesema khanga tradition,sijui unaendeleza and bla bla bla....sawa but whats up na hiyo title "WAOSHA VINYWA" inaletata utata.... i thought u said your 2010 resolutions ni hakuna beef....but it SEEMS ndyo kwanza unaendeleza.... ACHA HAO HATERS WAONGEE TU MAA.