Who's Online
We have 384 guests and 1 member online
  • Fleetaves
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6554
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6556
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53628
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933195
Login



NIACHANE NA HUYU MZUNGU AU???
Written by Mange   
Thursday, 29 July 2010 19:49

Pole na majukumu dada mange,

Naomba wadau wanisaidie kwa ushauri,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, kuna mzungu alitokea kunipenda na tukawa tunawasiliana kwa internet tu kwani yupo mbali na mimi, urafiki wetu umekuwa ni wa muda mrefu, kiasi kwamba tumetokea kuzoeana sana na kuambizana kila kitu, ahadi ni nyingi alikuwa ameziweka kwangu ikiwemo ahadi ya kunioa, ni mtu wa kusafiri mara kwa mara na ikitokea amepata safari yoyote ya Africa huwa ananitumia Ticket namfuata.

Tatizo langu ni kwamba kila tunapoonana hapendi kuongelea swala lolote la ndoa na pia sijawahi kumwomba hata hela na huwa ananipa kiasi ambacho hakikidhi hata mahitaji yangu ya siku, nimekuwa naumia mwenyewerohoni nikiamini ladba ananipima ajue mimi ni mtu wa aina gani.

Niliporudi TZ last week nikapata tatizo ikabidi nimwombe some amount ili niweze kusolve tatizo langu, nilipomtumia email hakunijibu, na tangu siku hiyo hanipigii simu wala haniandikii tena email kama mwanzo.

Wadau wote naomba ushauri wenu.

Thanx dada Mange but please maomba usipost email address yangu

Kuwasiliana na uturn tuma email kwenda  This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

 

Comments
Add New Search
mdau uk   |2010-07-29 15:21:21
POLE, Lakini mimi nashidwa kuwaelewa mademu wa bongo mnavyopapatikia wazungu,
let me tell you sio kila mzungu ni mkweli na mtu mzuri, huyo i can tell you knoe
kuwa lazima huko aliko atakuwa ameoa na anafamilia ya kuitunza . So get really
cut the crup ya huyo mzungu anakudanganya tuu. Wazungu nao ni waongo jamani sio
wote wazuri, usiwaone madem ambao wamepata wazungu wazuri na wewe ukazani
utaabatika. Yani ngoja niishia tuu hapa mana naweza andika hadi kesho. Ushauri
ni kwamba ACHANA NAE.
Anonymous   |2010-07-29 18:09:12
hetehtehtehthethe mnanichekesha kweli aachane nae wapi....hivi mmesoma vizuri
aaachane nae au kashaachwa hahahahhahaahaha kweli mkiendelea hivi mbona watu
wataendelea kuwanawa..kuwalamba halafu haooooo wewe kwa mtu mwenye hata
vijisenti mbuzi kukutumia tiketi umeona ishu..ukaachia mzima mzima
poyeeeeeeeeeeeeeeeeee mbunye fyenyu dada tafuta kazi ufanye au kama una kazi
ongeza juhudi mapenzi ya kutegemea mwanaume hamna hebu kuweni na akili vichwani
wandugu heee he he mtaminyuliwa mpaka kusikominyuka mkatoka kizazi mkiendelea
kuwaza hivo vijikosa rangi lakini hujachelewa ila usirudia
kisa   |2010-07-29 15:29:36
huyo uponaye just for fun dada.....lazima ana mtu huko....anakutumia once
anapokuwa na chance.

huyo usimtegemee sana...na kuweka handred
pasenti.

chuna na wwe usimsumbue kwa mail.....kama ni mtu mzuri atakutafuta
tena. chuna nawwe.

Akili kwa mkichwa ujue sio mtu...amebanwa huko na mtu.
lisa   |2010-07-29 15:33:11
Pole sana my dear, huyo yuko kwa kuplay tuu, dada tuwa na mzungu sio kuwin life
, nashangaa wadada Tz wamepamba moto na wazungu kwa kuwa Mange ana mzungu au?
bahati yake usifikiri ukimwiga na wewe utawin life, kila mtu na bahati yake

mimi niko in europe kwenye kiwanda cha wazungu na wala sishoboki, na pia life
yangu iko fresh
nashangaa nyie kila mtu mzungu mzungu, mungejua huku europe
mzungu akioa mwafrica anamfanya kama mtumwa mungeacha kuchobokea
MANGE
UNAWARUSHA WATU ROHO NA MAMBO YAKO, WATU HAWALALI WANAWAZA WAZUNGU NA UTAJIRI
Anonymous   |2010-07-29 18:11:22
waambie wakuelewa shosti waelimishe watambue thamani ya miili yao heeeeeeeeeeee
yaani hata uwapigie vuvuzela wapo tu mzungu wazungu acha waliwe kiboga mpaka
watepwete ndo wataelewa
Anonymous   |2010-07-30 15:49:12
"mungejua huku europe
mzungu akioa mwafrica anamfanya kama
mtumwa"


Alaaah!Wacha wee...I bet hiyo pande uliyopo...that's all you
get to see.
Anonymous   |2010-07-29 16:02:03
Kama aliweza kukutumia tiketi kwenda Africa kwa nini ashindwe kukutumia tiketi
ukapaone anakoishi, This is a playa with passport to me it sounds like ana
majukumu ya kifamilia ndo maana ulipomuomba pesa ameona you are becomig a
liability to him. Ushauri wangu move on hana future na wewe.
mTuKuTu  - NOT ALL SHININGS ARE GOLD..   |2010-07-29 16:03:32
Poleee weee mdada.. kwa yaliyokupata.
si kila mdhungu basi ni pedejee fulu
mijihela. wengine ni WADHUNGU RANGI.. ujue hata hao watu weupe wapo maskini kama
wakina siye..jiulize kwani weye ulimpendea pesa, au ulimpenda kwakuwa aliahidi
kukuoa.au uliamini utaukata kimaisha..jiulize kwanza kwanini ulikuwa unavuka
mipaka kuacha wakaka wote wa bongo..kumfuata mdhungu huko alipo...kama si tamaa
na ulimpenda kweli basi pole manake moyo wako utakuwa umejeruhiwa..

JST 4GET
ABT HIM...move oon gal.. nakupa kibao cha ALFA kinaitwa Songa
mbele..kikuburudishe.
Anonymous   |2010-07-29 16:52:34
Mie namzungu naishi europe kwa maxima kama utanipata, na mzungu wangu very mjaja
sana nilimkomesha nikapiga shule na kazi yangu juuu sasa tupo 50/50 hana mdomo
wala nini . Uwe na bahati yako na mzungu wako ukijitia omba omba
haujishughulishi atakudharau sana ila hii nadhani hata bongo ipo wka wanaume
zetu wa kibongo ukizubaa unanyanyasika kweli so mwanaume ni mwanaume tu iwe
mzungu au vipi. N awewe dada umefanya kosa unamuomba mtu hela wka email why not
facehim direct?? tena wazungu usianze na makuomba hela wanajua sana
wanappatikiwa kwa kudhani wao wanahela sanaaa NOP not all of them.
Muache kaa
kimya na shida zingine omba marafiki au ndugu kwanza sio bf tu !wanaume zetu wa
kibongo wanasifa fulani hivi wanatumia hela au material kukupata na wanajua
fika wadada wanapapatika wazungu NOP ! :unsure: :D
Anonymous   |2010-07-29 16:54:18
Mie namzungu naishi europe kwa maxima kama utanipata, na mzungu wangu very mjaja
sana nilimkomesha nikapiga shule na kazi yangu juuu sasa tupo 50/50 hana mdomo
wala nini . Uwe na bahati yako na mzungu wako ukijitia omba omba
haujishughulishi atakudharau sana ila hii nadhani hata bongo ipo wka wanaume
zetu wa kibongo ukizubaa unanyanyasika kweli so mwanaume ni mwanaume tu iwe
mzungu au vipi. N awewe dada umefanya kosa unamuomba mtu hela wka email why not
facehim direct?? tena wazungu usianze na makuomba hela wanajua sana
wanappatikiwa kwa kudhani wao wanahela sanaaa NOP not all of them.
Muache kaa
kimya na shida zingine omba marafiki au ndugu kwanza sio bf tu !wanaume zetu wa
kibongo wanasifa fulani hivi wanatumia hela au material kukupata na wanajua
fika wadada wanapapatika wazungu NOP ! :unsure: :D
gREEn MoNeY   |2010-07-29 17:42:56
Pole sana bidada cause you're done screwed up pretty good, damn gurl. I hear you
loud and clear and I hear a voice of determination and courage.
Your mission
with tht white dude is not impossible road but a long one, two things came to my
mind..one is you're dealing with a liar cause he can't tell you that either he's
married or seeing some else at the same time and two... you're in love with
immature simply a boy with noises.
Ushauri wangu kwako just write him a letter
or email and tell him how you feel about the way he treats you and also demand
truth, the whole truth and nothing but the truth from him and so god helps you.
Tell him tht you're not a candy store so he gotta choose you or the others tht
making him quit talking to you just because you asked him some money. If he
can't comply with your demands then tell him to hit the road juck ass!!
Good
talking to you mdau and too good for him
Mdau gREEn MoNey
Anonymous   |2010-07-29 18:48:24
Nyie dada zetu tangu lini wazungu wanahonga?waswahili ndio wanahonga,hapo kaa
usubirie kuhongwa mwaka,hao waliolewa na wazungu hawasemi tu,naongea na
experience
Anonymous   |2010-07-29 19:02:01
I AIN'T SAYIN SHE A GOLD DIGGER BUT SHE DONT MESS WITH NO BROKE. HIYO STATEMENT
YAKO YA ALIKUPA PESA LKN HAITOSHI MATUMIZI YAKO. LOH KAZI IPO.
Anonymous   |2010-07-30 07:58:39
Lemme help ya sweeeety she aint a GOLDDIGGER aaaaaaaaaaaah coz she would have
smell where the Gold is...She sounds a GOLDDREAMER babe hollllllllla
Anonymous     |2010-07-29 19:03:25
Pole sn ila hili limenifuraisha mana litawastua akili wengine. Jamani kwenye
mambo ya Teknolojia mzungu tumtukuze na tumkubali hasa hapo sikatai
ILA kwenye mapenzi jamani sio kwamba tusiwaamini la
hasha tujue tu kwamba wababaishaji wapo napa wanaume wote wazungu waindi waarabu
tabia ni sawa hawa watu km wamezaliwa tumbo moja.
Kuhusu
swala lako mi nakushauri piga bunda mana mapenzi ni kusaidiana na kwamaelezo
yako humuombagi pesa at the same tym km akikupa anakupa kdg sn umeomba juu una
tatizo anakupotezea pumbavu zake ye anachotaka ni K tu na sio kukusaidia mama
piga bunda
Anonymous   |2010-07-29 19:52:50
mamaaa hicho ni kimeo kama karata umeramba GARASHA period, kishit hicho hakina
mpango
Anonymous   |2010-07-29 20:45:31
Mie namzungu naishi europe kwa maxima kama utanipata, na mzungu wangu very mjaja
sana nilimkomesha nikapiga shule na kazi yangu juuu sasa tupo 50/50 hana mdomo
wala nini . Uwe na bahati yako na mzungu wako ukijitia omba omba
haujishughulishi atakudharau sana ila hii nadhani hata bongo ipo wka wanaume
zetu wa kibongo ukizubaa unanyanyasika kweli so mwanaume ni mwanaume tu iwe
mzungu au vipi. N awewe dada umefanya kosa unamuomba mtu hela wka email why not
facehim direct?? tena wazungu usianze na makuomba hela wanajua sana
wanappatikiwa kwa kudhani wao wanahela sanaaa NOP not all of them.
Muache kaa
kimya na shida zingine omba marafiki au ndugu kwanza sio bf tu !wanaume zetu wa
kibongo wanasifa fulani hivi wanatumia hela au material kukupata na wanajua
fika wadada wanapapatika wazungu NOP ! :unsure: :D
Anonymous   |2010-07-29 21:18:23
dada tambaa huyo alikuwa anataka K nyeusi tu,atakuwa anafamilia yake huko
ulaya,masikini dada kama nakuona ulikikatika kweli kweli ku impress mzungu pole.
Anonymous   |2010-07-30 08:01:18
uwiiiiiiiiiiiiii hahahahahahaah nafwa jamani yaani hoi kwa kicheko ....nini
kukatika kama hakutoa na kimbunye kidogo kabisa....mfyonzoooooooo get a life
girlfriend watu washatoboa K na kula kimduara tafuta maisha fanya kazi eti
ananipa pesa hazitosha ulisikia ATM hiyo mnatutia aibu wapuuzi kabisa
nyie..machangu wasio rasmi
Anonymous   |2010-07-29 21:26:47
Hakuna watu wabahili kama wazungu,hasa wazungu wanaoishi europe,kwani na wao
wana bills kibao za kulipa.wazungu wanaoishi nje ya europe kidogo
afadhali.Mzungu hapendi kuombwa akiamua mwenyewe atakupa zawadi kama siku maalum
kama b.day,valentine or anniversary,na hawapendi uwe tegemezi.
Anonymous   |2010-07-30 09:56:16
Mnachosahau kuwa mbele ya mzungu ni haki sawa. Sio rahisi mzungu akupe pesa bure
sana sana akukopeshe, ukngekuwa unakopa angekutumia.
Makosa yako:
1. Ticket
alinunua yeye
2. chumba alilipa yeye
3. chakula na matumizi ya huko
mlikoonana
4. unaondoka akakujaza ndururuu kiasi fulani ingawa unasema
hazikutosha
5. sasa umekuja unahamisha bill za matatizo uya familia yake kwake?
nani kauambia kuwa amekuwa BOT?
6. hujawahi kumpa hata kitu zaidi Ya K

Kosa
ni lako dada
Anonymous   |2010-07-29 23:56:10
ITS FUNNY KILA ANAYEPATA MZUNGU ANAMPA HEADACHE.....KAENI NA WAMATUMBI WENU
JAMANI!

MIE NINA LIBWANA LANGU LA KIBONGO LINA UPUUZI WAKE LAKINI LITAMU
KAMA PIPI YA KIJITI.....i just can never trade my my dark hot chocolate with
some vanilla little punk, tutabanana hapa hapa....jamani hakuna wanaume watamu
kama wanaume wa kibongo!!! tulieniiiiiiiiii
MARICHUI   |2010-07-30 03:09:18
Dada unaonekana unapena mambo makubwa kwanini useme hela aliyokupa
haikutoshi ni kiasi gani kinatosha

Ameshakuona kwakwambe na
ameshasepa angalia wa Bongo sasa

Pole sana ...kuteleza si kuanguka
hizi shida zetu wakati mwingine!!!!!!!
Anonymous   |2010-07-30 07:02:40
hee makubwwa kumbe hata wazungu wabaili niacheni mie na mswahili wangu.
Anonymous   |2010-07-30 08:03:13
TENAAAAAAAAA SHIKILIA HAPO HAPO SHOSTITO ACHA NA VIJ:::: VYA WAZUNGU WAO
AMBAVYO HAVIENEI HATA KIDOLENI HAAAAAAAAAAAAA WAPIIIIIIIII
Anonymous   |2010-07-30 07:35:20
Kwakweli hata mimi nashangaa nowadays wadada wa kibongo damudamu na watasha,
wanadhani kila mzungu ana hela na anajua kupenda, acheni kurushwa roho na wakina
mange au wale walioolewa na wazungu na maisha yao mazuri, wazungu nao ni
binadamu kama sisi, kuna wazuri,wabaya, matapeli na kila uchafu...lol. utakuta
dada mzuri kang'ang'ania mzungu mzeee kisa ni mzungu...lol acheni hizo kuna
wabongo wazuri tu,just move on bidada kama anakupenda atakuja ila usimfuatefuate
sana atakuona mzigo...
Anonymous   |2010-07-30 09:17:29
Men are Men regardless to their skin colour. Wa2 hawako na wazungu kisa eti
Mange ana mzungu. and some will still get them not because her, so it ain't a
fashion. kila mtu anachaguo lake.
Anonymous   |2010-07-30 20:10:45
sio kila mtu anaeolewa na mzungu kisa mange kaolewa na mzungu nyooooooooooo,
watu tuko europe tumeolewa na wazungu tuko kwenye ndoa mwaka wa kumi na watoto
wawili sasa utasema tunamwiga mange kaolewa juzi na yuko kwenye relationship
miaka minne, labda wewe ndio unatamani wenzio tulishaanza utajibeba ndugu
unalooo
Anonymous   |2010-07-30 09:33:02
mi nilimpata mzungu, hata sijamchelewesha, after months nikaomba hela, hata
hajanikatalia,akaniambia baada ya masaa mawili atakuwa ameshatuma kupitia
western union,basi bibie acha ningojee,masaa ikawa siku, siku ikawa week,
miezi,na sasa miaka miwili, sijamuuliza wala kumtafuta, eti anarudi baada ya
kuwa heart broken huko alipokuwa eti i wanna marry u, marry my black mbunye,
nikamtimulia mbali, washenzi hao majitu.uzuri ni kwamba na mimi nipo europe ila
nchi tofauti
Anonymous   |2010-07-30 12:16:47
kwani hao wa nje ya europe hawana bils? :shock: huyo mzungu mwenyewe ndo huyo
hapo kwenye picha na bi dada ama? kama ndiye huyo baba anaonekana ana roho
mbaya! pole dada nakushauri tu kwamba maombi ndo siraha ya kila kitu muombe sana
Mungu bila kukoma mweleze shida yako yeye anajua anamhitaji mtu wa aina gani
mambo yakwenda kutega mingo ama kujiuza kutafuta wazungu kama ambavyo baadhi
wanafanya nikujisumbua matokeo yake ndo hayo unamweleza mtu shida yako
anachikichia.
mwenzio namweleza Mungu shida yangu kila wakati na nipo nasubiri
kwani mambo ambayo amekwisha kunitendea ni makubwa naendelea kusubiri na hayo
mengine. :kiss:
Anonymous  - re:   |2010-07-30 12:19:30
[quote=Anonymous]hee makubwwa kumbe hata wazungu wabaili niacheni mie na
mswahili wangu.[/quote

we aliwkwambia wazungu ni wabaili ni nani? wazungu
waishi kwa budget na kufa kwa budget. they make sure watoto wao wana pesa za
kuwasomesha hapo baadae na malezi pia, waafrika hatujui kubudget life, kazi
kgawa hele tu kwa ndugu na jamaa na kununua vitu ambavyo hatuviitaji. so big up
mzngu. mie nimeolewa na mthungu 12 yrs now we have 3 kids and 300000 dolas saved
for them plus a house each, kila kitu tunachonunua must be on sale or cheap
stuff!]
Anonymous   |2010-07-30 12:52:18
eti anakupa hela haitoshi, kwani umeitolea jasho? tatizo wewe mwanadada ulikuwa
unatafuta buzi la kuchuna kumbe buzi lenyewe liko broke...
Anonymous   |2010-07-30 15:25:04
Miaka 24 unaichezea kwa kungoja mzunngu akuoe au akujaze mapesa?? nenda shule
acha kukomalia wazungu hao.

Wewe ni binti mbichi acha kuchezea kuma yako
ikachakaa bure pasipo faida. Mange kawachanganya akili basi mnajipeleka na ndoto
za kupata wazungu hadi hamjihurumii wenyewe kwa kumegwa kama hamna akili
jamani.?

Kina dada maisha hayaji kwa kutegema mzungu au mbongo!! chukua
tahadhari mwenyewe kujijengea maisha yako usije nyanyaswa na mtu kwa kuchezea
raslimali ya akili zako kwa kuwaza kuolewa na wazungu.
Anonymous   |2010-07-30 22:53:34
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
lisa-wa bongo   |2010-07-31 11:00:19
dada yangu..pole sana.in my opinion mimi naona ni hivi,
kwake jamaa ulikua a
friend with benefits..nikimaanisha kua ulikua rafiki yake ambae alikua ana uwezo
wa kula tunda lako wakati wote anapopata chance.
angekua anampango na wewe wa
baadae angekutumia ticket uende kuona maisha yake huko aliko, uone watu muhimu
kwake and so on,sio maisha yake ya hotelini tu.
wewe uliweka kua the 2 of you
are very close,mnashare kila kitu, ukweli ni kwamba si ajabu alikuficha kua ana
mwenzake kule,na hata watoto.
itakuaje awe na uwezo wa kukutumia ticket za
kumfuata mahotelini nchi zingine lakini asiwe na uwezo wa kukutumia ticket ya
kukualika kwake? jiulize hilo
lisa-wa bongo   |2010-07-31 11:10:45
by the way,hela ya "kihivyo'' haiombwi kwenye email, unless ni email kwa
mzazi wako, wengine wote tumia njia nyingine.
siku ulivyomuomba hela u turned
into a liability..umekua mzigo kwake na kukaa kwake kimya may means 'ur not
worth it'' yuko tayari kukupoteza na urafiki uishe kuliko kukusaidia..najua hii
statement itakuuma ila ndio maisha hayo ndugu yangu..na in the future akija na
mbinu za kua hakuipata email yako ya shida please ignore him, ni anataka tunda
tu,nuthin else
Anonymous   |2010-08-01 19:10:51
watu bwaju...ng´´weng´´wesa nge nge nge lainiiiiiiiiiiiiiiii halafu wale
utasikia kwenye bomba
makaveli   |2010-08-02 07:16:15
achani kupaptikia wazungu,njoo nikupe hifadhi hapa 0713521150
lisa   |2010-08-02 16:20:28
jamani mwenye kutaka mzungu anitumie mail yake hapa isiwe tabu nina
marafiki wengi wazungu toka Canada, Uk Holland etc kama uko inerested nao
tuma mail yako then ntawapa maana sasa mzungu mzungu imekuwa kero
Tatizo ya
waschana wa kibongo wanapenda vya bure anajua akipata mzungu kawin
atakuchukuaje wakati sio msomi?
Mambo yangu yako safi, na sina mzungu
nikiweka blogoni ntafkuzana na Mange, usikubari mtu akutumie eti kisa mzungu
Anonymous  - MI NATAKA MTASHA.   |2010-08-03 10:08:40
Mi nataka mzungu ila awe wa kike alafu awe kanizidi au tumelingana umri then
ajue kabisa mi namtaka kwa ajili ya mapenzi tu na si kingine mana sijawai kula K
ya kizungu.
Anonymous  - re:   |2010-08-03 10:18:08
[quote=lisa]jamani mwenye kutaka mzungu anitumie mail yake hapa isiwe tabu
nina marafiki wengi wazungu toka Canada, Uk Holland etc kama uko inerested
nao tuma mail yako then ntawapa maana sasa mzungu mzungu imekuwa kero

Tatizo ya waschana wa kibongo wanapenda vya bure anajua akipata mzungu kawin
atakuchukuaje wakati sio msomi?
Mambo yangu yako safi, na sina mzungu
nikiweka blogoni ntafkuzana na Mange, usikubari mtu akutumie eti kisa
mzungu[/quote

Mi nataka mtasha ila awe either kanizidi au tumelingana umri na
ajue kabisa namtaka kimapenzi mana sijawai kula K ya Kizungu.E-mail yangu ni
mmapedo@rocketmail.com
Anonymous  - re:   |2010-08-03 10:25:33
lisa wrote:
jamani mwenye kutaka mzungu anitumie mail yake hapa isiwe tabu nina
marafiki wengi wazungu  toka Canada, Uk Holland etc kama uko
inerested nao tuma mail yako then ntawapa maana sasa mzungu mzungu
imekuwa kero
Tatizo ya waschana wa kibongo wanapenda vya bure anajua
akipata mzungu kawin atakuchukuaje wakati sio msomi?
 Mambo yangu
yako safi, na sina mzungu nikiweka blogoni ntafkuzana na Mange, usikubari
mtu akutumie eti kisa mzungu


Hayo ndo mambo sasa mi nataka mtasha ila awe wa kike na either kanizidi
umri au tumelingana na ni kwa ajili ya mapenzi tu.Sijawai piga K ya
kizungu nataka na mi niwapelekee firestone ka wao wanavyowapelekea
dada zetu kina Mange.mmapendo@rocketmail.com
Anonymous  - re: re:   |2010-08-04 04:03:26
Anonymous wrote:
[quote=Anonymous]hee makubwwa kumbe hata wazungu wabaili niacheni mie na
mswahili wangu.[/quote

we aliwkwambia wazungu ni wabaili ni nani?
wazungu waishi kwa budget na kufa kwa budget. they make sure watoto wao
wana pesa za kuwasomesha hapo baadae na malezi pia, waafrika hatujui
kubudget life, kazi kgawa hele tu kwa ndugu na jamaa na kununua vitu
ambavyo hatuviitaji. so big up mzngu. mie nimeolewa na mthungu 12 yrs
now we have 3 kids and 300000 dolas saved for them plus a house each, kila
kitu tunachonunua must be on sale or cheap stuff!]


SAFI MPIGANAJI. HAYO NDIO MAISHA BWANA. WATOTO WATAJIFUNZA VIZURI TOKA
KWENU WAZAZI
mdau   |2010-08-04 07:46:36
msimsakame mdada wa watu mpeni ushauri na sio kumsema,mange sio wa kwnza kuolewa
na mzungu by the way mapenzi hayachagui utaifa wala kabila :D :D :kiss:
:
Anonymous   |2010-08-05 04:58:29
DADA ZANGU TAFUTENI MAISHA, ACHENI KUSUBIRI KUPEWA. MZUNGU NA MWAFRIKA TANGU
LINI KUKAWA NA MAPENZI HAPO? HEBU ANGAIKA NA MAISHA YAKO, HUJAUMBWA KUPEWA BALI
KUTAFUTA.
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook