Who's Online
We have 400 guests and 1 member online
  • Fleetaves
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6577
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6579
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53651
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933218
Login



NILIFATA USHAURI WA MANGE....NIKABAHATIKA SASA NIFANYEJE??
Written by Mange   
Tuesday, 27 July 2010 21:45

hi u turners....

need a quck advise...

sometime back mange ali post some advise on how you could catch yourself a wonderful partner..well mengi watu walisema wengine walimponda but i decided to give it a try..just last friday after work i decided to treat myself to a drink at one of our best hotels around here, accompanied by a galfriend..well sitting next to us were a few people having a dinner meeting or so...ill cut the story short,one of them got attracted to me and we hooked up..nachoweza kusema zaidi ni kwamba i had one of the best weekends on earth mpaka narudi kazini jumatatu people could see the glow in me..unfortunately this guy has left, we still communicate but naumia..i do feel him but i never got the chance to tell him..we acted like long time lovers though non of us has broken it out to the other whether we are in love or not....i have found my feelings and i feel i should tell him ila naogopa maybe he was just having fun and has forgotten about it..je nimwambie au nisimwambie?please advise..

mange dont publish my email nor my name please...

Comments
Add New Search
Memoi'   |2010-07-27 18:14:24
What do you mean yo are in love?? how can you fall in love with someone over the
weekend....tena kama ni mzungu wala usimwambie you are in love with him, yaani
atakimbia mile 1000. it takes them long time to fall in love with someone, but
once they do fall in love with you its for real. Trust me nimeolewa na mzungu.
Anonymous   |2010-07-27 20:28:01
Sasa ushauri wa nini si ummwambie feelings zako??? mbona wasichana mnapenda
kuzungusha mambo hivi?? kama ulivyotupa hii story na huyo mzungu mwambie hivyo
hivyo ya moyoni mwako, hayo ndio mambo ya wazungu wanataka kusikia, zunguka
zunguka na ushauri wa blogini utakua list kwenye one night stand yake. Mnataka
wazungu wakati kujieleza feelings zenu hamuwezi kuwa muwazi dada hayo ndio
mapenzi ya wazungu. B)
Anonymous   |2010-07-27 18:15:57
Unaposema may be he was just having fun, does that mean umesha lala naye??
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! if so that was qick!!!
nay     |2010-07-29 12:14:50
hata mimi cjaelewa and then amesema the guy is gone,wapi,back to his country or
after eating up ur pussy?did mange advace u to sleep with a man cku ya
kwanza?hell no,hujafata vizuri ushahuri wa Mange maana ungefata ungekua nae
mpaka sasa,
Anonymous   |2010-07-27 18:26:26
:0 :0 :0 :0 :0
Anonymous   |2010-07-27 18:35:59
cool down shoga,take thngs slowly n patienty,a man can do all that a woman needs
at da end utalia kilio cha mbwa,take tngs easy baby gal...kama yupo far na ww
endelea kufahamiana nae thru contacts za kawaida time wil tell,inawezekana ni
suden feeling yakuweuka baada ya muda ukaona kawaida au hat ausimsikie
tenaa
mhh hay aushauri wa mange nao umefanyiwa kazi..wazungu oyeeeee kama uyo
wako bi dada ni mzungu
Anonymous   |2010-07-27 18:51:23
Kama ulilala nae one night stand basi kiss him good bye, atakua amekuona u r
such a cheap piece of rug na harudi tena na kama atarudi tena basi take nice and
slow and don't you ever tell him that you love him, it is better to tell him
that you like him and you want to know him better however, time will answer
what the future holds. Bottom line punguza speed dada pia hakuna cha ushauri wa
mange wala nini fortunate plays huge part is this love scene trust me cause i've
been there and done that!!
Goo Luck shwarty
Anonymous   |2010-07-27 18:56:00
duh,kweli mademu wakibongo mmeamua kuwa gold diggers hadi mnawinda,what alovelly
story,play hard mama utashinda lakini angalia usija ukaishia one night
stand...hahahaaaaa go bongo girls.......msije mkajikuta mnajiweka kifungoni bila
kujijua..
Anonymous   |2010-07-27 20:01:31
mhh mange ule umbea wa facebook mbona umeutoa?
Anonymous   |2010-07-28 08:02:17
na mie nimeshangaa leo siuoni. eti mange, daktari amekushauri kabla yule dada wa
facebook nae hajajibu mashambulizi kwako? unalo bidada, siku nyingine fikiri
mara mbilimbili.
Anonymous   |2010-07-27 20:36:46
jamani, dadangu mwache huyo mkaka akutafute. usimwambie utaaibika kweli, huyo
alikuwa tu ni wa one night stand au fling kwa lugha nyingine, lakini bahati ni
yako kwa hiyo endelea naye
Anonymous   |2010-07-27 21:35:02
DESPAAAAAAAAAAAARATE.
Anonymous   |2010-07-27 21:37:04
okay, u still communicate ryt? in that case ask him when his comming down next,
say you would love to see him again and if his intrested in you then he will
come down either for his busines or to see you and you guys go out for a meal or
so, dont rush things, if his into you then just enjoy urselves at the mean time
other wise if u go ahead and tell him that u love him? atafikiri wats wrong with
this woman, u know try to kinder play hard to get ili akutake even more.

And
kama umelala nae on night stand then just jitetee kua i loved that night but
sorry i was kinder drunk or havent slept with someone as attractive as you are
and it was kinder hard to let go of you and shit like(or make something up).


GOOD LUCK. been there done that (it helped)
Kipapa   |2010-07-27 22:46:57
Jamani mange please mrudishe LULU CLARA humu tumchambe mm sipati usingizi kabisa
nataka kumaliza kinyongo ña wewe mdau acha kua penda penda utaishia pabaya
Anonymous   |2010-07-28 08:04:05
UNAMCHUZA MANGE WAKATI WEWE UNATUMIA KIVULI.
Katarine   |2010-07-28 02:56:11
NAOMBA UKONFIRM ULILALA NAE ?? HOW OLD ARE YOU

THEN TUNAWEZA KUKUSHAURI
Steph   |2010-07-28 05:49:56
There's one thing i'll never understand,kwa nn watu wanakua wepesi sana kujudge
mtu without looking at the 2 sides of the coin??And who said its wrong to sleep
with someone on the first day you meet??Kama you got feelings for each other
then go ahead and make the most of it,just don't live to regret it later coz
trust me a lost chance never comes back.Well the 2 of you hit it off real quick
and you had a wonderful time but be warned,speak for yourself,huyu jamaa
humjui,you only spent the weekend with him so don't lay your judgement on
that.My advice,don't rush it gal,take your time,get to know each other and with
time you'll know if you truly in love with him ama you are simply infatuated
with him.Most of us confuse love with lust ama infatuation,you can't really fall
in love with someone the first time you meet,i kol it lust which eventually
grows into love ama hate,wateva!!!Just take it a step at a time,he ain't the
only ...
Anonymous   |2010-07-28 06:13:16
That was purely a one night stand..keep in touch with him if is interested if he
is not don't push it...if he enjoyed being with you like the way he enjoyed
being with him believe me darling he will be back...but don't be too desperate
play hard to get kidogo
mamu   |2010-07-28 06:14:19
MWAMBIEEE USIMFICHEEE BADO ROBO SAAAAAA
Anonymous   |2010-07-28 08:09:43
wanawake wengine cheap kweli,wanawake mna ndoto za ajabu
lisa   |2010-07-28 08:14:12
this is very simple, men go on business trips across the globe, they do their
business and usiku, they get kinda lonely.sasa some go out to look for
"extra curricular activities" and so on.
wewe tayari ulikua katika
hoteli yake, business kesha maliza,toto la kibongo linameremeta infront of her,
wat da hell, ofcoz he made a move..isingekua wewe angekua mwingine..im sure u
get the drift
hamna cha love wala nini..the guy showed u a gud time, in a five
star hotel, and im sure u used all the facilities that a 5 star hotel has to
offer. to him, he was killing time and spicing up his work
trip..PERIOD.
ningekushauri to continue keeping in touch, lightly.kama he liked
u that much atarudi tena tu..trust me on this.when a guys realy likes u atafanya
juu chini kurudi tena bongo, again and again..i have evidence of this so just
take it that it was a great weekend,thats it..whatever happens afta that,he shud
make it happen, k...
Anonymous   |2010-07-28 09:20:35
na akirudi tena anakula tundi halafu anaondoka hivyo hivyo mpaka tundi likichoka
yeye huyooooooo tehetehtehtehtehe kha
Anonymous  - re:   |2010-07-28 15:30:29
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hhhhhhhhaaa!Yaaani umenimaliza...nafwa kwa kichecko!!
Anonymous   |2010-07-28 18:12:03
cheka mwanawane cheka weeeeeeee wala hugombwi akkha maana watu wengine
wanashangaza kama si kustaajabu acha ampe..mwaga maufundi haya pepeta haya
twanga sasa haya..maana next utaomba ushauri umridhisheje mwenzio huko anawaza
dolari ngapi zaingia we wawaza yaliyopita kwa usiku mmoja kugeuzwa kisusio toa
tundi hilo mpaka uzeeke usipoangalia hehehehehehe
Anonymous   |2010-07-28 09:19:26
JAMAA KALA BATA YA CHAP CHAP THEN KAISHIA. YAANI TENA ANGEKUWA ANAMJUA MK KUWA
NDO ALIETOA USHAURI, NADHANI ANGEMTAFUTA KUMPA "UJIRA" WAKE. POLE DADA
NDO MAISHA SOGEA MBELE NA MENGINEYO SASA.
Anonymous   |2010-07-28 09:20:21
USIONE WENZAKO WANAKULA RAHA, UJUE WAMEPITIA NJIA HIZO, UNACHEZEWA KAMA MARA 10
HIVI YA 11 HUENDA IKA-TICK!
BE REAL WIT CHA   |2010-07-28 10:42:53
AND HOW OLD IS HE????..........THAT IS THE QUESTION!!!
Anonymous   |2010-07-28 16:13:21
And isn't he attached?Or committed rather..
Anonymous   |2010-07-28 10:50:48
thanks people..just a correction though..this person is BLACK!who said only
wazungus go to the five star hotels?and in answering the other question no i
didnt sleep with him but what we had was more than sleeping with him.
Anonymous   |2010-07-28 12:57:55
hhhhhheya mah wacha we kwa hiyo more than sleeping mhhhhh mdadavuo huo full
vuvuzela hehehehehehehe mfate huyo aliekupa ushauri akushauri vizuri au katege
tena kipenzi safari hii akija mjapani haya twende, mzungu haya achia
hiyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa patamu hapo poyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
kimeo   |2010-07-28 13:21:55
1 .uli lalal nae kama yethi si alikulipa basi kaahivo biashara kwishnei kazi na
dawa yaghe
Anonymous   |2010-07-28 16:11:02
Bahati yako hiyo dada wewe kaza kamba tu kuwasiliana naye na hata kumpa minofu
kwani ndiyo fashion ya siku hizi unaliwa kwanza hadi uchakae ndipo wazungu
wakuokote ukale raha.

Mkazie buti dada ni siku yako njema wala usikate tamaa.
Anonymous   |2010-07-28 18:17:18
hilo nalo neno..gawa tu bidada wala hugombwi kwani unalipia vat au kodi ya
kichwa utabaki na harufu tu ya pafyumu wanazopaka wenyewe wanakamata ngoma
wanapiga halafu waleeeeee kumbe mwenzao umebaki bado waota....tehetehetehe ota
weeeeeeeeeeee ukija kuzinduka ngoma hiyo jioni full mdebwedo
Anonymous   |2010-07-28 17:01:18
of all comments hapo juu, lisa ana ubongo unaofanya kazi.tafadhali mdau, dont be
too desparate, msikize lisa
Anonymous  - re:   |2010-07-28 18:45:28
Anonymous wrote:
okay, u still communicate ryt? in that case ask him when his comming down
next, say you would love to see him again and if his intrested in you
then he will come down either for his busines or to see you and you
guys go out for a meal or so, dont rush things, if his into you then just
enjoy urselves at the mean time other wise if u go ahead and tell him
that u love him? atafikiri wats wrong with this woman, u know try to kinder
play hard to get ili akutake even more.

And kama umelala nae on night
stand then just jitetee kua i loved that night but sorry i was kinder drunk
or havent slept with someone as attractive as you are and it
was kinder hard to let go of you and shit like(or make something up).


GOOD LUCK. been there done that (it helped)






aah shost una point sana kula kumi kabsaa, watu wanajidai tu kumrusha
roho mwana wa w...
Anonymous  - re:   |2010-07-28 18:50:30
Anonymous wrote:
thanks people..just a correction though..this person is BLACK!who said only
wazungus go to the five star hotels?and in answering the
other question no i didnt sleep with him but what we had was more than
sleeping with him.


baasi huyo atarudi tuu, si ajabu akasema we ndo umfate huko aliko trust
me
lisa   |2010-07-29 06:58:16
mhh, na akishauri umfate huko aliko then naomba ukatae kijanja and
politely..mambo mengine ni bora ufanye kwenye himaya yako kuliko ugenini..simply
because U DONT KNOW HIM THAT WELL.
kufunga safari kwenda kwenye nchi ambayo
maybe hujawahi kufika, humjui mtu, hela mbuzi mfukoni ukimtegemea a weekend dude
kuwa yo saviour is highly riskyyyyyyyyy.
narudia tena, kama anataka kukuona
tena atakuja tu bongo,tena again and again,hata kama anaishi mwezini..trust me
on this one.
Anonymous   |2010-07-29 09:19:19
yaani lisa una akili wewe mwaah mwaaah mwaaah alaji alaji mbondombondo mbondo
yaani hilo uno kama uwanjani nalimwaga especially for you...mwaaaaaah sasambu
sasambu hiya hiyaaaaaaaa

dada msikilize lisa lisa ohhhoooooo wenzio
walijaribu wakaishia kukimbilia balozini japo wapewe tiketi za kurudi usilete
michezo na ugenini eti umfuate atakufunyula uzzuri halafu na bill ya vinywaji
ulivyoomola usiku mzima uikute counter wakati wa ku check out maana unamkuta mtu
yuleeeee kashakisanula ohoooooo chunga mwanawani
BE REAL WIT CHA   |2010-07-29 07:12:37
Answer me gyal HOW OL IS DA MAN n you claim you don give booty, Sister me no
born yesterday y know. Bombaclattt!!!!!!
Anonymous   |2010-07-29 09:21:26
hehehehehehhehe nafwasaaaa uwwiiiiiiii jamani wadau mtampa presha mwenzenu
Anonymous   |2010-07-29 07:18:21
ndiom maana yake kwani kumlipia tiketi ili akajibobojolee tundi kazi basi akha
mbunye ya bureeeeeeeeeee kama ananawaaaaaaaaaaa poyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Anonymous   |2010-07-29 07:48:32
Nani kasema ukilala na mtu siku ya kwanza ndio anakuacha...unaonekana cheap????
Si kweli, si wote wanakuona hivyo depends na mtu mwenyewe, mbona mimi nililala
na mtu on a first date and he is my husband now and with one kid...and very
happy together....the thing is kama haikupangwa muwe pamoja hata mkidate for 10
years haijalishi.....
Cha muhimu girls tusiwe so cheap....u can sleep with
anyone u like for fun ilas sio ulale nae wit expectation kwamba atakuoa o u'll
last long that will torture you if huyo mtu ana hit n run....lol...go gal,if yo
kipin in touch endelea at the same time unaendelea na maisha yako...if he was
meant for u doesnt matter mlikutana vipi na mlilala lini coz mwanaume kama ana
nia ya kukuchezea hata ukimringia siku ya kwanza anaweza kukufuatilia akakukula
na akakudump......byeeeeeeeeeee
chichi   |2010-07-29 09:17:17
ur are not in love sweety... u felt wanted and u had fun thats all... wewe u
just miss him but with time you will get over it.
Belin  - busy     |2010-07-30 07:01:25
Kama ulilala nae or not dada sioni Tatizo ila swala la kumwambia mapema
naliogopa..mie nilienda sehemu kikazi ooh Gosh wakati napata chakula kaka mmoja
anaingiaalikuwa so cool ,kumbe mwenyewe kafikia hotel na begi laki begani
niliyofikia kikazi..Jeez..Kaka alikuwa na mvuto wa ukweli was single kwa
kipindi kile..mara akatoka then akaja tena..akaniangalia nikamwangalia mara kaja
kukaa na mie kaniuliza Mam kuna mtu hapa nikamwambia hayupo..basi kaagiza
chakula kala story ,story mwisho tukaondoka kenda kwake kulala nami kwangu saa
sita kanigongea Mam niko macho natamani angalau angenikiss kisha kulalal..akakaa
tukapiga story saa saba kanisogelea kanikiss ,hata sijui ilikuwaje bahati nzuri
ile hotel kuna salama tukala tunda kwa raha zetu.. kesho yako kila mtu na 50
zake ..na ameoa sasa nimeolewa huwa tunacheka tu tukikumbuka.

ila wako mmh
anony  - re:   |2010-07-31 07:53:02
BE REAL WIT CHA wrote:
Answer me gyal HOW OL IS DA MAN n you claim you don give booty, Sister me
no born yesterday y know. Bombaclattt!!!!!!


His age is not YOUR DAMN BUSINESS!!!!!!!!!
Anonymous   |2010-07-31 10:38:05
hey inategemea kama unampenda mwambie ukweli tu (mfano mzuri mie nilikuwa
wa kwanza kumwambia mchumba wangu hisia zangu kwamba nampenda
na nimefall kwake....mpaka sasa niko nae hatujawahi kugombana na
angalia tumebakisha mwezi na nusu tu tunafunga ndoa na ananipenda
sana..mpaka nahisi simpi upendo ule ambao anastahili so its
depend kama wakwako wakwako tu mamaaaa
lisa   |2010-07-31 10:45:54
thank u mdau wa alaji sijui alachi..i love that song..hua nafurahi sana
nikiusikiliza..
kiki  - Old is gold   |2010-08-01 02:38:48
Jamani nyie wa dada wakileo mbona mnaacha maadili ya zamani yalikuwa mazuri.
Mwache mwanaume akutafute ww shosti. Kuna ule wimbo unasema " When a man
loves a woman, He will do anything" including kukutafuta popote ulipo.
Mwache akutafute ww, that is the only way utajua sio one night stand. Na kama
hajakutafuta mpaka leo shosti weka alama ya kuuliza. Old is Gold jamani ile ya
kutafutwa mwanamke ina hishma yake na pia hata ww utajisikia unapendwa. Tulia
dada chema chajiuza, kibaya chajitembeza. Mie nilifanya hiyooo ya old style mume
ninaye mpaka leo mwaka 14. Shoga Muombe Mungu akushushie wako tulia yu aja.
Siunaona akina mama wetu wali hold STD zao ndoa zao zilitulia.
Goodluck
nakuombea heri na baraka upate wako.
abby  - feelings   |2010-08-04 14:10:26
hi there, wat i can tell u my sister is that if u lav someone let him go if he
comes back then it was meant to be if not my dia dont regret it wasnt urs for
real.. evrything happens 4 a reason lav..
Anonymous   |2010-08-11 14:54:35
keep alive communication btn you....and warning do nt tell him that u love him
it was very shot period to be sure that ur in love wit him....so just calm
things wil be as they shud be wit time slowly...if u meat to be together u
will.... but nw wat i can say is you are in desperate situation and NOT IN
LOVE. love takes time to be sure OR to grow to that extent u explained....ALL
THE BEST.
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook