kwa wale wanaopenda mkorogo uzuri sio lazima ujikwatue mwangalie dada huyu amependeza. acheni mikorogo jamani dada zangu wakibongo ndio maaana wengine sura zimekoo kama vibibi
wamdanganye nini jamani mbona ana rangi nzuri we unataka wamwambie aanze mkorogo au
fide anajiamini sana ndo maana hasikizi ya mtu muacheni aaishi vile apendavyo
love you fide
kama nguo za wazi hata mama k anavaa na k tumbo chake watu wote nguo za nyuchi wanavaa au kwavile big size? muacheni avae jamani mambo ya fashion