Who's Online
We have 384 guests and 1 member online
  • Fleetaves
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6536
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6538
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53610
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933177
Login



HOUSE HUNTING IN DUBAI....
Written by Mange   
Tuesday, 27 July 2010 21:04

Wow i loved this Villa....

love my car...lol...

the stairs are to die for.....

 

then looked at apartments by the beach at JBR right on dubai marina....

my hubby thought this is too crowded...i like it though...

 

loved the guest room...

this is another place, by Jumerah lake tower...awesome classic furniture...

 

 

WOW, i loved this apartment its on the PALM JUMEIRAH...

 

I finally picked one place out of the 4…can u guess which one???

Well my hubby and I have decided to live in Dubai ,Abu Dhabi is a bit too laid back for us…too bad he has to drive to Abu Dhabi everyday…

for those that love to invest in property. NOW is the time to buy real estate in Dubai.....yani bei zimeshuka hadi basi...unbelievable..2 yrs ago all these apartments were untouchable but now very affordable..


 

 

Comments
Add New Search
Noelle   |2010-07-27 16:47:40
I guess should Jumeirah lake tower. I loved the furniture and view. I agree
with your hubby the other is too heavily stuffed, typical arabian
taste.

Rents in AD are beyond your imagination, it worth living in DXB.
Anonymous   |2010-07-27 16:57:37
MDAU u are so right rent in AD is crazy and the houses are OLD and the areas are
not posh....dont know how my hubby lived there for all those
months....lol...anyways, there are areas like Khalifa city were rent is
reasonable....i loved AD the first week or so, after my hubby gave the option of
moving back to Dubai i was like yeeiiii.....
Anonymous   |2010-07-27 17:04:14
AD rent zitashuka in a few months ila mange ungeishi Abu dhabi ningeshangaa
sasa, abu dhabi kuna club moja tu, Dubai ndo panakufaa.
ukikaa Dubai Marina
utakuwa juu sana wangu,matajiri wa Dubai ndio wanaishi Dubai marina.
mange   |2010-07-27 17:08:36
MDAU u are so right rent in AD is crazy and the houses are OLD and the areas
are
not posh....dont know how my hubby lived there for all
those
months....lol...anyways, there are areas like Khalifa city were rent
is
reasonable....i loved AD the first week or so, after my hubby gave the option
of
moving back to Dubai i was like yeeiiii.....

Mange
Anonymous   |2010-07-27 17:36:14
i hope u picked that house...u are about to be a mother with a growing fam.
mambo ya apartments achana yayo
Anonymous   |2010-07-27 17:52:32
Baso unatema mate?!?!
Anonymous  - re:   |2010-07-27 17:57:42
Anonymous wrote:
Baso unatema mate?!?!


yap mdau....basi naendeleza libeneke la mate...yani its torure....
Anonymous   |2010-07-27 18:17:31
at least umekua mstaarabu hautemi mate chini every where u go! lol
Anonymous   |2010-07-27 18:18:02
tuambie basi,,,which one did u choose?!?!?!
Anonymous   |2010-07-27 18:18:43
Hizo appt zinakuja na fanicha?!!?
Anonymous   |2010-07-27 18:29:45
nunua nyumba bana achana na apartment.Mie nilifikiri unaishi hapo kumbe umeenda
kupaangalia. tuonyeshe basi unapoishi sasa hivi.
Anonymous  - re:   |2010-07-27 18:33:28
Anonymous wrote:
nunua nyumba bana achana na apartment.Mie nilifikiri unaishi hapo kumbe
umeenda kupaangalia. tuonyeshe basi unapoishi sasa hivi.


akikuonyesha anapoishi alafu? navyomjua mama mpenda makuu atakua kanunua
hilo vila hapo juu
Anonymous  - re: re:   |2010-07-27 18:36:05
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
nunua nyumba bana achana na apartment.Mie nilifikiri unaishi hapo kumbe
umeenda kupaangalia. tuonyeshe basi unapoishi sasa hivi.


akikuonyesha anapoishi alafu? navyomjua mama mpenda makuu atakua kanunua
hilo vila hapo juu


Anunue au akope?Ubavu wa kununua cash hapo hana.
Anonymous   |2010-07-27 19:02:43
that will be quite a drive to and from work......i drive 15 miles one way daily
to work, but i always wish my house was just 5 miles away at most ...

i am
assuming he doesnt go to office everyday....otherwise atakuwa anachoka habakishi
hata nguvu za other activities .... wink!
Anonymous   |2010-07-27 22:21:49
Mange

Mwenzio nilivyokuwa mtu wa kupiga teke kila kona kuna kipindi
nikaweka kambi hapo and to be honest japo niko bongo Im aware kuwa things
have not really changed much unless kwa hao washamba wapya wanaokuja
lakini kwa taarifa yako japo huyo Hubby wako yuko hapo mda kiasi
nakubaliana naye that appartment looks cheap however hiy
nayo itategemea mfuko wenu in short ni kuwa:




Palm – wala msijisumbue sana kwani its still overpriced, and nothing very
special once your there. Lots of construction....


Beach Area – Jumeraj/Umm sequim (kwa shemeji yako) – looking favorite for me at
the moment. Would like to be near the beach. Lakini nataka
nifanye upgrade maana tushaanza kuzinguana...(hapo nazngumzia Umm
Sequeim


Mirdiff – to be honest pako reasonably priced, lakini kaa tayari kupokea kero za
ndege ma harufu mbaya....kwa sie watoto wa Essex
tun...
Sura.   |2010-07-27 23:37:58
Hizo furniture na curtains uwiii.
Anonymous   |2010-07-28 03:00:11
the first one ni bomba sanaaaaaaaaaa,sasa mama Kitumbo umechagua ipi hebu
tuambie basi tupate raha..mm nilivyoingia tu humu nakuona haya majumba nkapata
rahaa kusafisha macho... hicho kigaun chenye vidoti kimekupendeza..haya tuambie
basi which one did u choose
psycho  - mrs.   |2010-07-28 03:41:50
pwahahah griiiiiiii men apartments would like to see her buy a house in dubai my
friend works in emirates rich husband but lo still cant buy a house in dubai
nimamam pewa pese kila siku ata afford with one ATM?????
Juliana   |2010-07-28 04:16:02
The villa the villa the villa!!! I feel like i'm watching an episode of house
hunters international! The furniture in the second one was horrendous, i'm not
surprised your husband didn't like it..however the view was stunning! Let us
know dear...and show us progress of the nursery for your little prince.
xo
Juliana USA
Anonymous   |2010-07-28 04:32:09
Yaani watu wanakuwa waambea, choyo wivu na mambo yote yaani hata swali
tuliloulizwa tumeshindwa kumjibu tunataka kuonyeshwa anapoishi sasa..kama
anapenda makuu na kujionyesha angewaonyesha hiyo nyumba ya dar
n.k...

Nimeipenda hiyo villa ya kwanza kabssa mambo ya babque../itakuwa ni
poa..ila huko marina nahisi mijengo inakuwa haina nafasi mambo kama hizo
loool...karibu dubai...
margy   |2010-07-28 05:28:27
ooh this is sweet Mange,
i gues umechagua nyumba palm jumeirah...tutakuwa
tunakuja kunywa maji tukija Atlantis hotel..i loved the place when i visited
Dubai.
xoxo
Anonymous   |2010-07-28 06:20:35
mange ilo bag lako kuuubwa unalipenda vipi umepaki @ thing Just in case
Hahaha ha ha , kusema kweli hata mimi nalipenda Unalicross kwenye shingo haa
misele kama kawa . alafu nimegundua wanawake tukiwa wajawazito tunakuwa very
free to wear what u feel no complication . I like that !!
Anonymous   |2010-07-28 07:16:25
dada upo juu, sasa nimekukubali, wenye wivu mbona watakonda sana mwaka huu!! LOL
Anonymous   |2010-07-28 09:42:30
Selfish utamjua tu, sasa kamfanya kaka wa watu awe anaendesha kila siku umbali
wote huo? kuna kupendana kweli hapa au kuumizana?!!
Anonymous   |2010-07-28 14:10:52
yy si mama wa nyumbani jaman ana shida gani,muache siku hubby akichoka anasema
analala uko uko kazini kumbe yuko nyumba ndogo ahaaa ila mage kweli why nt
tafuta sehemu ya yy ku drive mwendi mdogo
Anonymous   |2010-07-28 09:45:41
KWANI JAMAA ALIKUWA ANAKAA GHETO MPAKA MTAFUTE NYUMBA NYINGINE? YAANI MADEMU WA
KIBONGO KWELI NI MA-OPPORTUNISTS! au utadai hela zipo....? all da best then.
Anonymous   |2010-07-28 10:36:48
duu mbavu zangue eeeeee. hukukwenye hii blog ni kufurahisha macho na kupunguza
mawazo. wadau mpooo WAKE ZA WAZUNGU HAOOOOOOO WAACHENE MSISHINDANE NAO
Anonymous   |2010-07-28 11:11:53
Jumeirah Lake Tower looks owesome. got for it! the villa is ok but looks too big
for the three of you. When your hubby ain't around u might get bored in it.


Kama anapanga au ananunua what matters is that u have a place to call home.
hata ukila dagaa ama kushinda njaa una kwako. congrats gal
ney  - hunting for a house     |2010-07-28 11:29:06
tehteh! i wonder how us human being are created!inakuaje m2 unakua na wivu kwa
m2 ambae ht humjui..yan maendeleo yake yanakukasirisha tuu..ht kama unamjua
unadhan wivu ndio utamdondosha!duh!wish wa2 wote wangekua na roho km yangu.hua
nasoma sana comments za humu though sijawah ku-comment..bt all i can c 2most of
pple is jealosy,envy n hatredmange !keep doin ur thng gal...am ur no.1 fun
Anonymous  - re: hunting for a house   |2010-07-28 12:15:30
ney wrote:
tehteh! i wonder how us human being are created!inakuaje m2 unakua na wivu
kwa m2 ambae ht humjui..yan maendeleo yake yanakukasirisha
tuu..ht kama unamjua unadhan wivu ndio utamdondosha!duh!wish wa2 wote
wangekua na roho km yangu.hua nasoma sana comments za humu
though sijawah ku-comment..bt all i can c 2most of pple is
jealosy,envy n hatredmange !keep doin ur thng gal...am ur no.1 fun


Unawashwa na matako wewe.Subiri usifiwe usijisifie.
ney     |2010-07-29 09:29:51
Nisifiwe na nani?kwa mfano wewe ulivyo na wivu unadhani moyoni mwako
hujijui?Nawashwa matako kwani nina vipele?wala siwashwi matako dia..matako yangu
meupeee soft!tofauti na ya kwako yaliyo na vinyweleo na vipele..hahahaaa!
Anonymous   |2010-07-28 12:34:18
Dubai now kupangisha nyumba imekuwa cheap balaa..rafiki yangu kapangia mansion
hutaamini yaani mtu yoyote anaweza kupanga dubai!!!
Anonymous   |2010-07-28 16:08:50
Yeah...right...hope you'll do so soon.
Anonymous   |2010-07-28 12:47:23
yaani patakavyokuwa mbali na kazini daddy hawezi hata kuchepuka kidogo kupata
kisusio kwa mamaa
Anonymous  - re:   |2010-07-28 14:13:47
Anonymous wrote:
Dubai now kupangisha nyumba imekuwa cheap balaa..rafiki yangu kapangia
mansion hutaamini yaani mtu yoyote anaweza kupanga dubai!!!


wewe inaelekea hujafika dubai, hiyo mitaa aliotaja mange apartment ya
bedroom moja sio chini ya 3,000 dollars kwa mwezi , bedroom
mbili 4500-5500 usd,

watanzania wote wanaoishi dubai wanakaa deira
ama bur dubai sio mitaa hiyo.upashkuna tu
Anonymous  - re:   |2010-07-28 14:16:37
Anonymous wrote:
Selfish utamjua tu, sasa kamfanya kaka wa watu awe anaendesha kila siku
umbali wote huo? kuna kupendana kweli hapa au kuumizana?!!


kwahiyo na wenye waume wanaoishi mbezi beach wanadrive kila siku 2hrs
kwenda town na 2hrs kurudi pia selfish? kudrive 1hr ni
poa tu?mnapendaga kuongea tu saa zingine
Anonymous   |2010-07-29 13:16:25
mbezi siyo mbali kihivyo it is only 10 to 20km to mjini ni barabara ndo not
richabo.....dubai to abu dhabi is like 120km one way. tuna-compare distance
here siyo traffic na makorongo ya barabara yanayochelewesha.
Anonymous   |2010-07-28 14:19:20
watanzani,wakenya, wanaigeria,wahindi,wapakistani wote wanaishi deira, huko
dubai marina na palm jumeirah wanaishi wazungu .kama unaishi dubai jaribu
kujipitisha hiyo mitaa ya dubai marina ukiona ngozi nyeusi piga picha utuletee.
Anonymous   |2010-07-28 16:09:40
Haaaaaaa haaa...
Anonymous   |2010-07-28 14:36:37
:shock: nyie endekezeni tu kukaa karibu na bahari ma inchi mengine yamekwisha
kulaaniwa mara mafuriko hayo ndo msombwe vizuri :woohoo: :woohoo: mie
akuuuuu!!!!!!!! :D
Anonymous   |2010-07-28 16:02:31
hivi kwanini watu wanapenda kukaa na kudanganyana au ndio yale mambo y akujion
auko juu?
from the houses to the apartments,daubai sasa markte ya nyumba
imeshuka..na kuna mjinga sijui asiye jua mambo ya huko au ndio kukaa na kudakia
usiyoyajua...rent in dubai is 4000 -6000 usd yearly rent ...sasa kama una akili
sana na ukaa na kufanya research zako pcm.
i used to lve in emirates hill dubai
na hapo just because our compnay used to pay for the accomodations so najua bei
za nyumba za huko.na i used to work na wamarekani kibao huko.kwanini tusiach
kudanganyana.miajengo mengi dubai yako hivi sasa i dont even know wat the fuss
is all about
Anonymous   |2010-07-28 16:14:25
hivi jamani watu ndio kushobokea vitu wasivyovijua au ndio basi hata passport
mtu huna kwahiyo ndio unaona vitu kwenye picha .rent za dubai aint that much
jamani muache kujipa vichwa.i have lived in jumeriah lake towers na rent was 15k
yearly rent na that was a nice place.kwanini watu mnapenda kujidanganya
sana
huo mshahara ule upendeze ulipie gari uende gas station bills zinakusubiri
tutafika bwana tusidanganyane .
dubai its just a nice place to live its hot,has
some fab coffee places and most drop dead malls to adore.lakini swala la kuishi
tusidanganyane kabisa .labda watu wa bongo amabao hawajawahi hata kutoka hapo
kenya ndio wadanganywe hivo
Anonymous   |2010-07-28 18:04:11
mdau unaedai kwamba dubai rent ni 4000-6000 usd kwa mwaka naomba uingie humu
www.dubizzle.com alafu tafuta apartment iliyopo dubai marina ya bei poa kama
hiyo.unacheza nini wewe. kama ni hivyo mablack wote na wahindi wasingeishi deira
wote wangehamia huko dubai marina. the cheapest apartment nimeona ni dola 3000
kwa mwezi.hizo apartment za palm jumeraih ndo hata tusiziongelee bei yake per
month kama kununua corola.

bei za nyumba dubai zimeshuka ukifananisha na miaka
miwili au mitati iliyopita ila bado bei zipo juu sana kwa mtu wa kawaida.
Anonymous   |2010-07-29 05:59:44
U know Mange wanatoa comment wengi ni hao waliovamia ULAYA hawana maisha no
ELIMU hawana lolote kutwa Majungu walitoka TZ kujidai wanaenda KUSOMA kumbe
hamna kitu wanajidai WAULAYA ULAYA wanashindana wewe una Degree yako anytime
utapata kazi na maisha yako Super wanaishia huko kusemamane jamani wadada wa
ULAYA hasa UK ambao hamna elimu focus ya life in Skul in stead kutwa mko FB aua
Kwenye Bloggz za watu kucomment ujinga ....Mange atapanga tuuu apapartment
atakayo MSONYOOOOOOOOOOOOOo elimu ni kitu cha bure na vingereza vyenu vya
kuombea mmamma,Walioelimika utajua comment zaooo..
Anonymous   |2010-07-30 13:18:13
wewe mjinga mkubwa @ anony 04.59;44 usiejua kutafuta maelezo ukikaa
kufagilia mange usiejisifu na yako wewe unanini, kama yeye ana degree wewe una
centigrade au.?....bora hao waliokuwa ulaya wamepanda ndege na wamefika kwa pesa
na wana akili ya kutafuta maisha ndio maana wakawa ulaya kuliko wewe umeruka
sana umepanda kibajaji kama sio mabembea ya mfano wa ndege, acha wenye maelezo
waeleze, wenye wivu waendelee kuwivuka, unaongelea elimu aliekwambia elimu ya
shule ndio maisha ni nani? kuna elimu dunia pia which i guess that;'s what ur
missing mjinga mkubwa we, ulieshindwa kufundika, mwanaharashi usie pakwa marashi
ukafukizika, nyamafu mkubwa na ole wako uweke comment ya watu wa ulaya tena
utajitafuta! kobe kasoro manyoya!
Anonymous   |2010-07-29 08:02:32
Mdau wa 04:59 natamani nikupe Zawadi looh wadada wa Uk wataaibika wallahi
subirini wakirudi TZ na hivi elimu 0 watakuwa mahousegirl wetu wanajiona tuuu
kumbeee Ushuziiii mtupu CHAFYAAAAAAAAAAAAAAAA looh namnukuuuu Dida "Binadamu
wagumu kama ngozi ya futi kwa maneno ila jua maneno ni kama mkanda utazunguka
nao mchana usiku utauvua"
Anonymous   |2010-07-29 08:14:35
:woohoo: baelezeeee anoy wa 04:11 & 04:59 hawajui hao wanatka kufanya our blog
km Ze Utam eeeh mtupishe msiokuwa na kazi za kufanya mnasubiria vya bureee looh
mwendage College basi kukaa Ulaya sio Kupata Exposure ya Elimu au unajiona uko
Ulaya unajiona una Degree looh Pyuuu uchafu mtupuuu Gal acha nao Mange I swear
UK km Manzese maana watu wanajiona eeen mie siwaoni wanalolote ujinga tuuu
Anonymous   |2010-07-29 09:50:13
jamani anony hapo juu mimi napenda kukueleza kwamba unajua kisomo kinahitaji
kipaji kuna watu hawana vipaji vya darasani kabisa nina rafiki yangu mmoja yaani
baba yake kamlipia shule mpaka kachoka kila kukicha anabadilisha course tu leo
computer , kesho design, kesho kutwa journalism yaani kwa kweli kila anapoingia
hafanikiwi so mimi nafikiri hao ambao hawajasoma au hawataki kwenda shule
watakua na sababu zao za msingi wanazozijua wao sio kwamba ada hana ila anajua
kwamba hataki kupoteza ada yake wakati atatok akapa. so afadhali avaeeeeeeeee na
kufanya mambo mengine ambayo kwa kweli siwezi kuita upumbavu coz hiyo ndio kitu
pekee anayoweza na ndio fani yake , sababu hata mimi hapa ninachokifanya
atakiona ujinga mtupu kukaa ofisini masaa saba na maendeleo yangu taratibu . so
ndugu zangu watu tuko tofauti . mange mdogo wangu nyumba uliyochagua kwa kweli
mimi binafsi sijaigundua .
Anonymous   |2010-07-29 20:29:47
kweli kumbe una kuna watu wana uchungu sana na watu wanaokaa ulaya nini?kwani
vipi mbona mnakuua na hasira sana?kama nyie maisha mmeyapatia sana mbona mna
waste so much time kukaa kwenye blogs kuuwa watu wanaokaa ulaya au ndio wivu wa
kichiini chini.
Anonymous   |2010-07-29 20:31:49
nyie mnaouwa watu wa ulaya aliyekuambia nani anakuja kuishi huko?watu wanakuja
kutembea na kuondoka sasa kama mna wivu nao sijui ndio mmewapania inabidi
mbadilishe mawazo.
si mmeambiwa ukweili lakini au
mdau   |2010-07-31 13:02:20
mange unamoyo wa peke yako watu wamekuambia uweke nyumba dubai na wewe umeweka
safi sana ndo maana naipenda blog yako kwa ajili hujali mtu na unajua
kutufurahisha hata wakikunanga hubani wewe unaweka una moyo jasiri na utaendelea
mimi ni mdada napenda kuiga mfano wako naona nitaendelea zaidi na zaidi
nisipojali sana walimwengu wasemayo na napenda zaidi kampani yako,nitakuadd
urafiki kwenye facebook napenda watu kama nyinyi na uzuri ulionao na unajua
kujipangilia walahi nimekeadmire sana,endelea hivohivo ukiona friend request
usishangae wala dont ignore one day i will tell u am the one naekuaadmire.
lisa   |2010-08-02 16:25:09
So beautiful I like your style , ila Mange unawarusha watu roho waelimishe
watu , hawajui ulikotoka unafikiri ulilala eee kupata vyote hivyo razima nguvu
ilitumika , then ni bahati yako watu wanataka kulingana na wewe wanasaka
wazungu,
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook