HAFLA YA KUTOA TUZO LIGI KUU YA VODACOM
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Bw.Kelvin Twisa akiongea wakati wa hafla ya
kutoa tunzo kwa msimu ulioisha wa ligi kuu ya Vodacom.
Waziri Mkuu Mstaafu Bw.Frederick Sumaye kushoto akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni hamsini
Mh.Mbunge wa Tabora mjini ambae ni Mwenyekiti wa Simba Sports Club wakati wa hafla ya kutoa tunzo kwa msimu
ulioisha wa ligi kuu ya Vodacom,katikati ni Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bw.Kelvin Twisa.

Waziri Mkuu Mstaafu Bw.Frederick Sumaye akipiga picha yaukumbusho na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania
wakati wa hafla ya kutoa tunzo kwa msimu ulioisha wa ligi kuu ya Vodacom.
Iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania katika hoteli ya Dobble Tree Jijini Dar e Salaam.


Comments (13)
Anoni
Anonymous
Loveness from Atown
ck
ck
Anonymous
lee
Anonymous
Delina
Delina
Butterfly
Anonymous
Anonimas