U Turn Blog
|
MAMA UTURN AENDA MATERNITY LEAVE...LOL... |
|
Written by Mange
|
|
Friday, 03 September 2010 20:58 |
|
Hey guys,
Im gonna take a break from blogging, just so I can catch my breathe, and concentrate on the new baby….
Will be back nitakapokuwa fit…
Mshindi wa milioni moja ilileta utata sana manake mpaka sasa tunawashindia kama 20 hivi, administrator anasema kuna issue ya time synchronization na kwamba ni kweli all these people walikuta the 1,000,000 count.
Sasa anachofanya administrator now ni kutafuta who was the first kukuta hiyo 1,000,000 mark.
Also kwa wale washindi mliosema kwamba hamtaki kutangazwa kwenye blog kama umeshinda na hutaKi jina lako litajwe ,samahani sana ila itabidi tuku disqualify,manake sasa watu wataaminije kulikuwa na mshindi kama tusipomtaja humu?
Mshindi atatangazwa soon….

|
|
FASHIONISTAS MZIGO MPYA UMEINGIA KIKIS FASHION TOKA MAREKANI....WAHI WAHI.... |
|
Written by Mange
|
|
Friday, 03 September 2010 20:50 |
|

|
|
BEFORE AND AFTER KENZO.... |
|
Written by Mange
|
|
Friday, 03 September 2010 15:56 |
|

Uncle Sheriff and daddy keeping mommy company while waiting for Baby Kenzo...

daddy to be waiting and waiting...lol

mommy,killing time watching grey's anatomy..i loved the American Hospital
first class hospital...just awesome....

4hrs after he was born...just hanging out...lol

hey cutie we r going home soon....

happy mommy...

my son,kenzo....my heartbeat...

leaving the american hospital....


about to leave




father and son...daddy cant cant stop smilling....

me and my boyz....

At home, Kenzo meets his full time nanny, dada Subira....
|
|
BABY KENZO KIMAMBI LOWREY..... |
|
Written by Mange
|
|
Friday, 03 September 2010 15:25 |
|



Hey U-TURNERS…
So so proud to introduce my lil’ soldier, my boy,my lil’ man, baby KENZO KIMAMBI LOWREY, born on the 2nd of September 2010 at 4:41pm, weighing 3.4kgs at the American Hospital…..
Mother and baby are doing great…
Thanks for your support and well wishes….
Mama Kenzo….
|
|
MDAU WA MILIONI MOJA....ZAWADI NONO YAKUNGOJA.... |
|
Written by Mange
|
|
Sunday, 29 August 2010 17:46 |
|

Haya guys, In the next 2 days or so uturn itafikisha 1,000,000 hits…
Sasa yule mdau atakae ingia humu na kukuta counter ikihesabu 1,000,0000 kamili ndie atakae kuwa mshindi wetu…
Na sie tupo tayari kumpa zawadi nono..anyways, I wanna hear from you guys, mnaona mshindi apewe zawadi gani???
update
cha kufanya ni hivi, kama wewe ukitokea kulog humu ukakuta wewe ndio visitor wa 1,000,000 take a snap shot of your screen and email it to
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
|
|
BIG BROTHER AFRICA YAPAMBA MOTO, WIFI YETU KWA MWISHO NI BALAAA.... |
|
Written by Mange
|
|
Sunday, 29 August 2010 17:30 |
|
siku njema mama kitumbo
Jamani big brother Africa ya mwaka huu inanoga, manake huko ndani tuna malesbian wawili wasio na aibu yani wanatifuana mbele ya kadamnasi
Kinachosikitisha ni kwamba mmoja wa hao malesbian ni wifi yetu merly, ambae ndie girlfriend wa mwisho.
Hivi ni kweli mwisho hajui girlfriend wake analiwa na mwanamke mwenzie?
Ingia humu mdau kuona video
Na
Humu pia
Dunia hii imekwisha kwa kweli, hivi hawa wanawake hawana familia?
EDNA
|
|
GLOBALPUBLISHERS WANGE EDIT KAMA MIMI NILIVYOEDIT...LOL.. |
|
Written by Mange
|
|
Sunday, 29 August 2010 17:11 |
|

mimi pia wamenikera sana hao walio iba picha yaani kampuni kubwa wameshindwa ata tumia akili sasa mbona mala nyingi watu husema picha kwa niaba ya any ways mimi nawarekebisha tuu wangeedit angalau kama nilivyo edit apo sasa tafautisha uone kama kuna kasoro..........nilikua tuu nawashirikisha kama ukipost poa sana maana iwafikie na wakomage lol
siku njema mama kitumbo
FROM RATIFA
|
|
HAPPY BIRTHDAY BIJOUX...... |
|
Written by Mange
|
|
Saturday, 28 August 2010 13:18 |
|

MY BEAUTIFUL , SEXY FRIEND BIJOUX IS CELEBRATING HER BIRTHDAY TODAY…..
HAVE A GOOD ONE SWEETIE!!!
|
|
FLASH BACK FRIDAYS....TUPAC- HIT EM UP...... |
|
NATAKA KUJUA TABIA ZA WANAUME WA KIARABU.... |
|
Written by Mange
|
|
Thursday, 26 August 2010 19:03 |
|
Niaje mama U-turn? wadau wa u-turn naomba mnisaidie katika hili Ni kawaida kuwasikia watu wakianisha tabia za baadi ya jamii fulani,utasikia kabila fulani bwn wahuni,au wachoyo n.k.japo inakuwa si kweli kwa wote.Hasa hasa katika mapenzi nimeshawahi kusoma humu watu wakieleza tabia za waswahili na wazungu.Mm sasa shida yangu ni kujua tabia za wanaume wa kiarabu na tena akiwa anatoka na msichana mswahili..
Uturn
Ntakusaidi kidogo hapo kwa vile nimeshaishi uarabuni kidogo…kwa miaka michache niliyoishi huku sijawahi kumuona mwarabu na msichana mweusi…ukweli ndio huyo…sio mall wala sio barabarani wala sio kwenye hoteli sijawahi kuona…
Wanaume wa kiarabu hawadate wanawake weusi openly.sana sana anaweza kukudate kisirisiri akakupa kila kitu unachokitaka ila hawezi kwenda na wewe popote au kumwambia mtu yoyote…
Mwarabu akiwa na mwanamke ambae sio mwarabu ni mara chache sana tena maran nyingi wanachukua wazungu, wale mablond kabisa, I have seen a couple of arabs hapa at dinner with Caucasian blonde women….
Labda kama unaongelea waarabu wa bongo.ila waarabu wenyewe wa urabuni umkute na mwanake mweusi…sijuiiiiii
Ila wako very attracted to black women,kuna shogangu flani alikujaga kunitembelea huku kipindi flani mbona palikuwa hapatoshi yani walikuwa wanamshangaa huyo rafiki yangu wanatamani wamfate ila wanashindwa,huyo shogangu kafungasha kweli kweli,mambo ya serious junk in the trank…lol …yani walikuwa hawaaamini kuwa yote yak wake…that was the first them niliona mwanaume wa kiarabu totally mesmerized by a black woman and still hawakuweza kusogea kumuomba hata number ya simu…
|
|
|
|
|
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>
|
|
Page 1 of 102 |
|
|
|