Kuhusu Sisi

U-turn inatoa elimu kuhusu ununuzi wa magari bora na kwa bei nafuu mtandaoni bila kutapeliwa. Pia tunatoa ushauri kuhusu mambo ya kodi za magari na njia nzuri za kuagiza gari na kuokoa gharama.

Tunaendesha na kumiliki showroom jijini Dar es salaam kwa takriban miaka 2 sasa. Njoo showrooms zetu Sinza, Dar es salaam kwa maongezi zaidi na ushauri wa bure!